Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

Na mimi sijui kama uchawi unafanya kazi ila watuhumiwa wanatumia waganga kweli kupunguza makali ya kesi zao. Namjua kigogo mmoja alikua na kesi ya kula miaka mingi gerezani ila alichomoka. Alikua anaroga yule baba jamani. Alikua ananiambia asiporoga atafia gerezani. Alihukumiwa miaka michache na sasa hivi yuko uraiani
 

Kuna nyumbu atapigwa muda sio mrefu
 
Wakati wanaweka madawa milango walinz wanakuwepo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi ipite sensa magereza i kujua kuna waganga wangapi waliokwisha fungwa...
 
Mambo ya siri ni ya siri, umeuliza swali la kitoto sana, kama wanaweza mloga hakimu sembuse mlinzi? Mlinzi kila sekunde anaganda mlengoni?
Unajua kumloga mtu lazima ujue majina yake Matatu ili ujue nyota yake, sehem kama hizo za watu wengi lazima tu uongee na mlinzi umpe hela ili akupe ruhusa ya kuweka madawa maana haya mambo yanaakiwa mfano ukaweke mahakamani Saa Saba usiku au umeambiwa ukaweke mlangon siku ya jumaosi saa kumi na mbili unafikil bila kuwaomba na kuwapa pesa walinz utafanikiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekubali siku hizi kuna njia nyingi sana za upigaji.....yaan mtoa mada lengo lako ni kwamba watu waamini story yako ili wajae PM uwatandike unavyotaka...fake story mimi binafsi nimechulu a.k.a nashukia njian
 
yako imekubalika ila ya yule bhana...mmmh mi nimeshikia njian
 
hapo kaka na wewe inabidi utushushe sasa ....polisi wa nchi gan anapewa fungu la kujiweka sawa? ajiweke sawa wakati serikali yako yenyewe haiamini uchawi" hv kuna sector yeyote nchini hapa hata na nchi zilizoendelea umeskia kuna kitu kinaitwa fungu la kujiweka sawa? hoja iyo ya fungu la kujiweka sawa haina mashiko kaka
 

Bibie za miaka?
 
nimekubali siku hizi kuna njia nyingi sana za upigaji.....yaan mtoa mada lengo lako ni kwamba watu waamini story yako ili wajae PM uwatandike unavyotaka...fake story mimi binafsi nimechulu a.k.a nashukia njian
Mimi ni mwana ccm kindaki ndaki na ni mtu mzima kwa sasa tupo Udom na watoto wangu hapa kuna mambo tunayapitia pitia

Hakuna maisha rahisi mkuu, MIMI ni Mkinga na nafanya biashara kariakoo hivyo nafahamu mambo mengi sana, Mbinu safi na chafu

Nimefanya kazi ya ubunge sana

Kama wewe ni Chadema Hakika huwezi kushinda nafasi ya Urais iwe mvua au Jua, Hatutakubali
 
Waganga wapo ila kuwapata ni nadra sana, sema siku hizi kuna upigaji tu na mganga halisi huwa ajitangazi utamjua kwa kazi zake kupitia watu aliowahudumia na so vinginevyo.
Eti waganga wanaishi mjini mmmh hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…