Mahakamani leo uligeuka uwanja wa huzuni na machozi

Haya. Subiri hapo hapo. Ntakukuta natoka kusikiliza hukumu ya Lissu kunyongwa hadi kufa!!
 
Kilio sio utetezi....maneno yake yamepelekea 500 + kwenda 6 feet under.
Tuchunge ndimi zetu haswa tunapokua na haiba ya uongozi.
 
relax na upunguze mihemko na makasiriko useless jukwaani gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
Nachukia sana mtu mzima anapokuwa hajitambui, kama mtoto mdogo!
Unafikiri hapa duniani utaishi muda mrefu?
 
Polepole na kiburi chake chote kile akiwa mwenezi, alidakwa kama kuku tuu. Hii system sio ya kuishabikia kifala fala ni ya kuipinga. Leo Nchimbi katibu mkuu hajulikani alipo.
Ni kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…