Mahakamani: Paul Makonda ambwaga Saed Kubenea

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI

Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake.

====

Watafungwa Baba na Wajomba zenu ila siyo huyu hivyo acheni kupoteza muda na tutafute tu Hela.

Chanzo: Dar Mpya Blog
 
Hukumu ya haki hutoa Mungu, huwa naamini siku zote, hapa duniani tunadanganyana kwa vile sheria zipo na zimewekwa tuzifuate hasa maskini, kila nikikumbuka hukumu iliyotolewa kwa Godfather wake, wacheni Mungu itwe Mungu, nayeye Makonda kama kuna uhuni alifanya basi siku zake zinakuja, Mungu ndiye anajua.
 
Mama Samia hata sabaya anaonewa na genge la wauza madawa, wakwepa Kodi na wapenda ushoga.
Ana kesi za kisiasa tu Kama ilivyokuwa kwa mbowe, tunakuamini Sana sisi vijana
Dpp afute kesi yake please
 
I have no say on this because we are trying to touch untouchable and still having hope of touching it .
No one is untouchable, hio ni sifa ya Mwenyezimungu, wakati ni hakimu mzuri, wala usichkulie hay maigizo ukaona ndo uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…