Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

Na sisi ambao hatupati pisi kabisa ni kuwa shetani hatuhitaji kabisa au anatuogopa. Maana kama kufika hafiki,sijawahi kuonana nae.
 
How about a woman that carried you for 9 months in her womb?
Naye akitumika ni mbaya tu, hujaona akina mama wachawi wanamaliza familia zao? kuna mdau alilalamika hata sikumbuki sana ila alisema kila akimwambia mama yake mipango yake huwa hafanikishi
 
Ujinga tuu,
Nyuzi kama hizi mods wanaziacha tuu, nao wanapenda nyuzi za kijinga.

Wale wanaume wanaobaka watoto wao hapo napo mwanamke katumwa.

mToa mada wewe ni mjinga.
 
Na sisi ambao hatupati pisi kabisa ni kuwa shetani hatuhitaji kabisa au anatuogopa. Maana kama kufika hafiki,sijawahi kuonana nae.
Jichunguze vizuri brother inaezekana na wewe ni mwanamke na labda hujijui😅

Mwanaume kamili unakosaje pisi kwa karne hii ya 21 iliyosheheni wanawake lukuki
 
Back
Top Bottom