Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Watu wana uchungu na ardhi yao, wakati sisi tunauza ardhi kwa malipo ya tendeHata digidigi hawaishi hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana uchungu na ardhi yao, wakati sisi tunauza ardhi kwa malipo ya tendeHata digidigi hawaishi hivi!
picha?Wadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa kamili hapo
Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27
An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.
The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
Huyo naye panya tuTofautisha kati ya handaki na vile vichochoro vya magaidi kule Gaza
Shin Bet sio idara ya ujasusi. Ni idara ya usalama wa ndani. Of course nao ni wakaksi tu kama walivyo majasusi wenyewe wa MossadWadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa kamili hapo
Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27
An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.
The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
Huyo Ayatollah ndiye atakuwa next target ya IDF maana huyo ndiy ibilisi kabisaHizo bunkers zipo tayari tangu siku Taifa la Israel limeanzishwa. Hofu yangu, Ayatollah analo? Ahahahahaha!!!
Mwaka 1972 tulikuwa tuniashi Musoma. Kutokana na chochoko za Amin wakati huo, iliamuliwa kujenga handaki kubwa sana pale katikati ya sokoni na stendi ya wakati huo. Lilijengwa kama nyumba likawekewa na umeme. Tulihama Musoma mwishoni mwa mwaka 1973 na sijafika tena pale mpaka leo ingawa lakini nadhani handaki lile bado lipo ingawa sina uhakika kama ni salama tena na umeme unafanya kazi. Liko sehemu hii niliyozungushia.Enzi za Mwalimu aliangiza kila kijiji lazma kiwe na handaki incase kama itatokea vita wanakijiji wote waingie humo..
kijijin kulikuwa na chunel kutoka Kimara hadi Wami hadi leo lipo
Nyinyi kama mmetahiriwa na ni wanaume anzishen hio vita mnayosema mnaanzishaMahandaki ya nini tena si tulikubaliana humu sisi Wayahudi weusi kuwa Iran hawana uwezo wowote.
Asa viongozi wakijificha ivo wale wanajeshi walioko front unazan watakua na morali ya kupigana ?Hao sio wapiganaji , viongozi wakuu
Wadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa kamili hapo
Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27
An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.
The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
taifa teule,IDF kiboko kumbe nao wana mahandaki ili iweje na wana uwezo uliotukukaWadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa kamili hapo
Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27
An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.
The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
Wanang'ang'ania nini Hawa magaidi si waondoke kwa Poland ona wanavyouwawaWadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa kamili hapo
Shin Bet prepares underground bunker for leaders in case of war
Today, 5:17 pm
27
An underground bunker in Jerusalem where senior leaders can remain for an extended period during a war has been prepared by the Shin Bet security service, the Walla news site reports.
The bunker can sustain hits from a range of existing weaponry, has command and control capabilities, and is connected to the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv, the report says.
Netanyahu kajikunyata ndani ya handaki,kisa ayatollahTofautisha kati ya handaki na vile vichochoro vya magaidi kule Gaza
Haijalishi inaonesha nawao ni madigidigi tuTofautisha kati ya handaki na vile vichochoro vya magaidi kule Gaza
Kila nyumba iliyojengwa Israel kuanzia 1990 ina safe room. Uko hamna makombora na mabomu yanafika.Ya wananchi yako wapi?
Kuchukua tahadhari ni muhimu. Vita haina macho na mfumo wa kuzuia makombora hauwezi kufanya kazi kwa asiliamia 100Haijalishi inaonesha nawao ni madigidigi tu
Netanyahu amemvua nguo ayatollah kwa kumuua kibaraka wake haniye ndani ya IranNetanyahu kajikunyata ndani ya handaki,kisa ayatollah