Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

picha?
 
Shin Bet sio idara ya ujasusi. Ni idara ya usalama wa ndani. Of course nao ni wakaksi tu kama walivyo majasusi wenyewe wa Mossad
 
Enzi za Mwalimu aliangiza kila kijiji lazma kiwe na handaki incase kama itatokea vita wanakijiji wote waingie humo..

kijijin kulikuwa na chunel kutoka Kimara hadi Wami hadi leo lipo
Mwaka 1972 tulikuwa tuniashi Musoma. Kutokana na chochoko za Amin wakati huo, iliamuliwa kujenga handaki kubwa sana pale katikati ya sokoni na stendi ya wakati huo. Lilijengwa kama nyumba likawekewa na umeme. Tulihama Musoma mwishoni mwa mwaka 1973 na sijafika tena pale mpaka leo ingawa lakini nadhani handaki lile bado lipo ingawa sina uhakika kama ni salama tena na umeme unafanya kazi. Liko sehemu hii niliyozungushia.

 
Mahandaki ya nini tena si tulikubaliana humu sisi Wayahudi weusi kuwa Iran hawana uwezo wowote.
Nyinyi kama mmetahiriwa na ni wanaume anzishen hio vita mnayosema mnaanzisha
 

Wateule wa Mungu , Mungu wao yuko wapi hata wajichimbie kwenye mahandaki ??
 
taifa teule,IDF kiboko kumbe nao wana mahandaki ili iweje na wana uwezo uliotukuka
 
Kipigo kinakuja tu hata Panya wabaki kwenye mashimo afu sio kipigo cha siku moja ni mfululizo mpaa ziishe missiles 10,000. Israel na US wamebaki kumbembeleza Iran jibu ni kipigo tu kwa time yetu, navyo sikia Iran kapanga tarehe 14/8 hio huwa siku ya huzuni kwa Israel ili waendelee kuhuzunika.


View: https://youtu.be/sptoFOjIoaM?si=8qdWXV7Oht8D5ir7
 
Wanang'ang'ania nini Hawa magaidi si waondoke kwa Poland ona wanavyouwawa
At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and wounded in the months-long conflict in the Gaza, according to Yedioth Ahronoth.
 

Attachments

  • IMG_20240805_170639.jpg
    51.1 KB · Views: 1
Ya wananchi yako wapi?
Kila nyumba iliyojengwa Israel kuanzia 1990 ina safe room. Uko hamna makombora na mabomu yanafika.

Tofauti ya safe room ya raia na ya viongozi, ya viongozi inatumika kama command centre. Ina vifaa vya mawasiliano na inapokea situation analysis na kutoa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…