Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

Nimeskia wafanyakazi wa TANESCO wamefanya sherehe kuondolewa kwa mkurugenzi wake bwana MAHARAGE CHANDE.
Kwa ishara hii huku kwetu Tanzania inaonekana kabisa jamaa alikuwa mchapakazi.
Maana watumishi wengi wa serikali ni wavivu, akitokea mtu wa kuwapeleka mwendo wa ngiri mkia juu siku akiondoka lazima wafanye sherehe.
 
Maharage huyu anayedai hakuna mgao ilhali umeme ni 12hrs pekee kwa siku?

Porojo tupu, common mwananchi anapima ubora wa DG kwa upatikanaji wa uhakika wa umeme hizo zingine ni siasa tu.
 

Ndani ya Uongozi wake Alikodisha Kampuni Ya Erolink kitengo cha ‘Customer care’ ili apate 20%
 
Wa Nini maharage Wala ubwabwa kwa kazi gani ya roho Mbaya tu chini ya kapet, Kuna baadhi vijana wamefanya kazi vibarua muda mrefu kwa Moyo, kashindwa kuwapa ajira za kudumu, aende zake na maharage ya kulia ubwabwa, akaboreshe na ttcl Kama kweli mtendaji Bora.
 
Sidhani kama kuna ukweli chini ya uongozi wake ajira za vijana tanesco almaarufu kama STE zilikufa na vijana wakaanza kunyanyasika kwa kupoteza ajira zao za mkataba, hapo aliharibu maisha ya vijana wengi sana. Naomba mkurugenzi mpya arudishe ule utaratibu wa zamani wa ajira za wale vijana.
 
wafanyakaz tanesco wengi wamefurahi nazan jamaa aliwasimamia ipasavyo naunga mkono hoja mtoa mada jamaa arudishwe Tanesco
 
Unajua au unapinga tu, nenda kaulize vizuri, wale madereva wanaobeba manguzo kupeleka maporini na kushusha na winchi, mafundi mpaka wengine wanalipukiwa na transforms, hasa niongee ukweli napata faida gani.
 
Mkuu nilikua nakuheshimu sana lakini ata sisi tuliompo mapori pori tuliona kuwa bwana huyo alipwaya pakubwa kiutendaji tanesco panahitaji mtendaji na si mtu anayefuata upepo.
muda utaongea! Hadi naandika uzi humu nafahamu yule jamaa kapelekwa pale kukava nini mtakuja kulia na kusaga meno yule alokwenda ni garasa, Subirini muone maana hamuelew
 
....Wewe ni CHAWA wake ? Mgawo....[emoji57][emoji57]
 

Rubbish
 
....Wewe ni CHAWA wake ? Mgawo....[emoji57][emoji57]
kaka njoo na fact! Ishu ya mgawo ni ishu ya kiwizara ndugu, iko inje ya uwezo wa mkurugenzi,
yaani mkurugenzi ni kama dereva na wizara ndiyo bosi wa gari,
yapo mambo yanatatuliwa na dereva, lakini yale ya ubovu wa gari yana mhusu tajiri (wizara).

gari likigoma kwenda kwa uchakavu alaumiwe wizara maana ndiye bosi anapokea pesa na taarifa za matumizi
 
Mwisho wa siku Sisi Wananchi tunataka Umeme hizi ngojera ni ujinga.
Mwanzoni ulivyoanza ulitaka tuamini yeye ni mgawa Umeme tu lkn kwa maelezo yako marefuuu imeonyesha ana majukumu zaidi ya kugawa, ok. Sawa hizo smartmeter, nikonekt app zina kazi gani kama umeme haupo?
Ningemuona jiniasi kama angeshauri serkali namna mzuri halafu ikikataa ana resign.
Lkn nilikuwa namuona anavyo aminisha mgawo wa umeme ambavyo hautakuwepo kwa mipango mingiii tena akiiproject kwa screen tuone mbwembwe nyingi tu.
Haya mvua zimenyeshaa mwisho umeme haupo. Bogasi kabisa
 
Ukweli mtupu
Ngoja ipite miezi watu waanze kulalamika wanalipa hawapati huduma ndo wataelewa
Tatizo lipo enzi na enzi, lilikoma kwa wakati wa magufuli.
Al in all tunataka umeme unaowaka!, Haisaidii kuharakishiwa maombi ya kuunganishiwa umeme usiowaka!.
 
soma mada vizuri! mkurugenzi hawezi kutoa kitu ambacho kiko inje ya himaya yake, wapikaji wa wizara na serikali wana nguvu kubwa kuliko mkurugenzi.
Hapa suruhisho ni Rais na serikali mkurugenzi yeye ni wa kupokea maelekezo tu!
Enzi za magufuli Rais hukucheka na wapigaji
 
Tatizo lipo enzi na enzi, lilikoma kwa wakati wa magufuli.
Al in all tunataka umeme unaowaka!, Haisaidii kuharakishiwa maombi ya kuunganishiwa umeme usiowaka!.
sasa kwa akili yako mitambo anaagiza mkurugenzi? Miradi ya mabwawa inaratibiwa na mkurugenzi? Mikataba ya wakandarasi kuongeza uzalishaji unazani inasainiwa na mkurugenzi?

ukiona jambo la utata ujue kuna madili yamesetiwa! yakishapita hutasikia ishu ya mgao tena!
 
Hongereni TTCL kwa kuletewa jembe maharage chande, Pamoja na mapungufu madogo ya kibinadamu huyu jamaa ni mbunifu na msikivu!
... endelea kupongeza Mkuu! Maana kawa Postamasta Mkuu!
 
History ya mgao ni ya miaka.. na miaka.
 
Hana hizo akili unazosema. Hana hata kidogo. Yeye na February walikuwa ni wapiga dili. Na angeendelea umeme ungeendelea kutokuwepo na bro ingeendelea kupaa maana alishasema hata hilo be a waste
Hivi iliwezekanaje Milka mitano ya mwendazake kuepuka kutokuwa na mgao wa umeme mkali kiasi hiki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…