Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

exactl wanaemchukia maharage hawana shukrani, jamaa kajitahidi sana kuonyesha reform ya tanesco kwa vitendo!
kuliko watangulizi wake wote!
Shirika lilianza kuonekana angalau lipo serious japo kwa ushapu mdogo wa kusikiliza wateja!
lakini sasa wamemuondoa tunaenda kulia huduma zitaanza kuwa foleni tena
Duh!
 
Hili li nchi lina watu wa hovyo sana, hata katiba mpya lazima itakuwa ya hovyo tu.
Uhovyo wa watu huanza na wewe, kwanini unajitoa,? Watu mkiwa humu mnaonekana kuchukizwa na yanayoendelea nchini, lakini hatujawahi kuwaona Live mnapigania mabadiliko ya Nchi. Asante ndugu Keyboard warrior kwa kutukana Watanzania kuwa niwa hovyo.
 
havina Muda maumivu yataisha
 
Umeandika mambo meengi sana, lakini haujatuambia Maharage ameboresha nini na nini pale Ofisini hadi kuwa bora kuliko watangulizi wake!,?
kwahiyo umesoma kichwa cha habari tu hapo kwenye uzi hujasoma!? Hujaelewa nn, hayo niliyoandika mkurugenzi gani alishawahi kuyafanya?
 
wafanyakaz tanesco wengi wamefurahi nazan jamaa aliwasimamia ipasavyo naunga mkono hoja mtoa mada jamaa arudishwe Tanesco
Mkuu kuroga wenzako sio mpaka uvae kaniki ama umiliki matunguli.

We unaumia nn kuona binadamu wenzako wanafurahia mtesi wao kuondoka.
 
Sidhani kama kuna ukweli chini ya uongozi wake ajira za vijana tanesco almaarufu kama STE zilikufa na vijana wakaanza kunyanyasika kwa kupoteza ajira zao za mkataba, hapo aliharibu maisha ya vijana wengi sana. Naomba mkurugenzi mpya arudishe ule utaratibu wa zamani wa ajira za wale vijana.
Kwa kweli hat mm nilifanya hyo kazi kipindi hicho na ilinisadia snaa nikapiga pesa Kama million. 5
 
meter zina zoanzia na 24 ni ovyoo inakataa kuingiza umeme hata ukikaa siku 4 bado inagoma na ndio huyo mkurugenzi alizileta
 
mimi niliomba luku tangu bei elfu 27 survey wao wa ilala malima akanikatalia mpaka leo shiit
 
bahati mbaya mwajiri ni mteuaji siyo mwananchi kama ulivyosema!

kwa hayo uliyosema MAHARAGE tayali alikuwa anayafanyia kazi, nilitembelea banda la sabasaba mwaka huu Tanesco mita zote mpya zinazofungwa ni Smart meter! yaani ni mita ambazo zinasapoti hiyo automatation Ambayo wana mpango kuunganisha taarifa na simu ili ukiweka umeme uchague uingie moja kwa moja au bdae!

Yote hayo huyu jamaa mkurugenzi kafanya,
kuhusu ishu ya taarifu tayali kaweka one stop center ya kupiga simu ukiwa nyumbani au kupitia application yao mpya ya nikonekt ambayo unaweza kutoa taarifa ya maombi na malalamiko na taarifa zikafika!

huyu jamaa kusema ukweli mimi sijui kusifu ila alikuwa mkurugenzi bora sana ningekuwa naweza Namshauri Rais Amrudishe huyu jamaa TANESCO
Hapa unasema hujui kusifu. Ila tuliopitia taarifa yako ya Kwanza tumejidhihirisha pasi na shaka kwamba unajua sana kusifu tena sana.

Hapana. Unajua sana tena sana kusifu. Rejea taarifa yako hapo juu kabisa utaliona hilo. Hongera sana.
 
Amini amini nawambieni!

Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE!

Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia kadhaa ukiringanisha na watangulizi wake wote!

IFAHAMIKE kwamba kwa sera na siasa za kitanzania, MKURUGENZI anayo mipaka ya usimamizi katika shughuli zake,

Majukumu ya kuleta umeme wa uhakika kwa wananchi ni ya wizara na serikali nzima yapo inje kabisa ya uwezo wa mkurugenzi!

Mkurugenzi ni mshauri tu kwa serikali lakini hana maamuzi yoyote ya kupika inje ya bajeti!

mkurugenzi wa shirika ni sawa na mgawaji wa chakula JUKUMU lake ni kugawa kilichopo, kikiwa kingi mtapata wote kikiwa kidogo mtapata wachache na akiamriwa asigawe chakula mnakosa wote!

Hivyo kwa ubora wa mkurugenzi Maharage angalau alijitahidi japo kuboresha baadhi ya mambo yaliyo ndani yake!

MIONGONI MWA MAJUKUMU YA MKURUGENZI tanesco ni
  • kusimamia watendaji wake kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa nidhamu Kitu ambacho MAHARAGE kakitetendea haki kajitahidi mno ukiringanisha na huko nyuma
  • Chini ya uongozi wa maharage shirika lilifikiwa mahali wananchi wana haki ya kulitathimini huu ni uungwana mkubwa sana kwa wenye hekima (Assesment)
  • chini ya maharage aliweka lengo kufikia mwishoni mwa mwaka 2023/2024 Maombi yoyote ya umeme yahakikishwe yamefungwa ndani ya masaa 48hrs (nani huko nyuma aliweza haya)
  • Katika uongozi wa maharage alipunguza hasara za uendeshaji wa shirika kwa kupunguza gharama zisizofaa za Ofisi za wilaya kuendelea kupanga majumba bali wakae kwenye ofisi zao wenyewe
  • ndani ya uongozi wa maharage kapunguza gharama za mafuta kwa kuruhusu matumizi ya bajaji jambo ambalo liliwahi kupingwa huko nyuma na wakurugenzi wote!
  • ndani ya uongozi wa maharage alipunguza gharama za stationary na kazi nyingi kuwa online (paperless)
  • ndani ya uongozi wa maharage aliondoa umwinyi kwa watumishi wasiowaadirifu wanaweza kukwamisha maombi kwa hila binafsi.
  • Maharage chande ndiye mkurugenzi pekee aliyeamini siyo lazima kila meneja tanesco (W) aendeshwe na dereva (Unneccesary cost za matumizi ya magari ambayo yangeweza kwenda fild kupunguza kero, Mameneja walistahili wapatiwe alawance pekee watumie magari yao kuja ofisini kuliko kupewa magari ambayo wakati mwingine wana ya abuse kufanyia kazi zao binafsi na kuzurula! N.K

Ni wajinga peke yao wanaoweza kuamini mkurugenzi huyu bora kabisa ametolewa pale kwa sababu kachangia uhaba wa umeme!

Uhaba wa umeme ni jambo la kiserikali (wizara) na huwa lina baraka za wakubwa!

Maharage chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea tanesco.

Waliouza bandari ndiyo walewale wanaotuhadaa na maigizo ya panga pangua ya uongozi!

Magufuli alitoa maelekezo umeme usikatwe HAUKUKATWA, Wamekuja wale wanatoa maelekezo ukatwe NA UNAKATWA!

Hongereni TTCL kwa kuletewa jembe maharage chande, Pamoja na mapungufu madogo ya kibinadamu huyu jamaa ni mbunifu na msikivu!

MAOMBI; Kama mamlaka za uteuzi zinajali wananchi nashauri waangalie namna ya kumrudisha MAHARAGE TANESCO Hili shirika linahitaji kijana mwenye akili yake shirika lifanye kazi kama taasisi binafsi! Historia ya maharage inafiti sana;
Wana CCM wrnzangu mshaurini Rais Amrejeshe maharage pale TANESCO
TANESCO kusema kweli swala la umeme kukata ovyoovyo linakwamisha maendeleo yetu.
Tafadhalini sana acheni hizi mambo cz tumeshawachoka aiseh.
Alf majuzi wafanyakazi wawili wa Idara ya maji nilisikia wakiongea leo tunawakatia mtaa fulani keaho kutwa mtaa fulani, Si makusudi kabisa khaaaaa.
 
Maharage akipewa uwaziri pananyooka ila kosa ni kumuweka chini ya january
 
Basi sawa .. ndio maana akaaminiwa akapewa shirika la posta.. Hongera Mr Chande Maharage
 
Ukianza kufuatilia huyu Maharage anakitu ndani yake mbona jamaa wanampiga vita sana
Yawezekana kweli Mandondo ana kitu na competent ila Mwezi January ulimwingiza chaka. Pia kumbuka shirika la TANESCO kama mashirika mengine kuna siasa ndani yake na Mwezi Januari uliompendekeza Mandondo kuwa mkurugenzi TANESCO ulikuwa na agenda za upigaji TU. Hivyo Mwezi Januari ndio uliomuingiza chaka Mandondo hadi akaonekana fala na hatimaye swala.

Kwa kuwa mama ana mkataba wa kuulinda mwezi January basi akaona bora auhamishe mwezi Januari ili usizidi kumletea aibu ya kushindwa.
 
Amini amini nawambieni!

Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE!

Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia kadhaa ukiringanisha na watangulizi wake wote!

IFAHAMIKE kwamba kwa sera na siasa za kitanzania, MKURUGENZI anayo mipaka ya usimamizi katika shughuli zake,

Majukumu ya kuleta umeme wa uhakika kwa wananchi ni ya wizara na serikali nzima yapo inje kabisa ya uwezo wa mkurugenzi!

Mkurugenzi ni mshauri tu kwa serikali lakini hana maamuzi yoyote ya kupika inje ya bajeti!

mkurugenzi wa shirika ni sawa na mgawaji wa chakula JUKUMU lake ni kugawa kilichopo, kikiwa kingi mtapata wote kikiwa kidogo mtapata wachache na akiamriwa asigawe chakula mnakosa wote!

Hivyo kwa ubora wa mkurugenzi Maharage angalau alijitahidi japo kuboresha baadhi ya mambo yaliyo ndani yake!

MIONGONI MWA MAJUKUMU YA MKURUGENZI tanesco ni
  • kusimamia watendaji wake kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa nidhamu Kitu ambacho MAHARAGE kakitetendea haki kajitahidi mno ukiringanisha na huko nyuma
  • Chini ya uongozi wa maharage shirika lilifikiwa mahali wananchi wana haki ya kulitathimini huu ni uungwana mkubwa sana kwa wenye hekima (Assesment)
  • chini ya maharage aliweka lengo kufikia mwishoni mwa mwaka 2023/2024 Maombi yoyote ya umeme yahakikishwe yamefungwa ndani ya masaa 48hrs (nani huko nyuma aliweza haya)
  • Katika uongozi wa maharage alipunguza hasara za uendeshaji wa shirika kwa kupunguza gharama zisizofaa za Ofisi za wilaya kuendelea kupanga majumba bali wakae kwenye ofisi zao wenyewe
  • ndani ya uongozi wa maharage kapunguza gharama za mafuta kwa kuruhusu matumizi ya bajaji jambo ambalo liliwahi kupingwa huko nyuma na wakurugenzi wote!
  • ndani ya uongozi wa maharage alipunguza gharama za stationary na kazi nyingi kuwa online (paperless)
  • ndani ya uongozi wa maharage aliondoa umwinyi kwa watumishi wasiowaadirifu wanaweza kukwamisha maombi kwa hila binafsi.
  • Maharage chande ndiye mkurugenzi pekee aliyeamini siyo lazima kila meneja tanesco (W) aendeshwe na dereva (Unneccesary cost za matumizi ya magari ambayo yangeweza kwenda fild kupunguza kero, Mameneja walistahili wapatiwe alawance pekee watumie magari yao kuja ofisini kuliko kupewa magari ambayo wakati mwingine wana ya abuse kufanyia kazi zao binafsi na kuzurula! N.K

Ni wajinga peke yao wanaoweza kuamini mkurugenzi huyu bora kabisa ametolewa pale kwa sababu kachangia uhaba wa umeme!

Uhaba wa umeme ni jambo la kiserikali (wizara) na huwa lina baraka za wakubwa!

Maharage chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea tanesco.

Waliouza bandari ndiyo walewale wanaotuhadaa na maigizo ya panga pangua ya uongozi!

Magufuli alitoa maelekezo umeme usikatwe HAUKUKATWA, Wamekuja wale wanatoa maelekezo ukatwe NA UNAKATWA!

Hongereni TTCL kwa kuletewa jembe maharage chande, Pamoja na mapungufu madogo ya kibinadamu huyu jamaa ni mbunifu na msikivu!

MAOMBI; Kama mamlaka za uteuzi zinajali wananchi nashauri waangalie namna ya kumrudisha MAHARAGE TANESCO Hili shirika linahitaji kijana mwenye akili yake shirika lifanye kazi kama taasisi binafsi! Historia ya maharage inafiti sana;
Wana CCM wrnzangu mshaurini Rais Amrejeshe maharage pale TANESCO
Vyote kaweza ila umeme!
 
Hapa unasema hujui kusifu. Ila tuliopitia taarifa yako ya Kwanza tumejidhihirisha pasi na shaka kwamba unajua sana kusifu tena sana.

Hapana. Unajua sana tena sana kusifu. Rejea taarifa yako hapo juu kabisa utaliona hilo. Hongera sana.
kwani nilichoandika ni uongo? kabla ya Maharage zamani watu walisubiri umeme miezi 6 hata mwaka kipindi chake si tumeyaona mabadiliko,

Unamtumbuaje mtu kama Maharage kama uko serious na maendeleo ya wananchi!
Shida ya mgao wa umeme ni ya kiwizara na serikali, ilitakiwa wizara itoe majibu kwa kina lakini wameona watumie mbinu ya kumtoa kafara mtu asiyehusika ili kujisafisha na kweli wananchi wasiyo elewa wanaweza kushangilia.

Bora nafasi za ukurugenzi zingesimamiwa na utumishi tu kuna wakati tumbua inaondoa watu mhimu sana
 
Back
Top Bottom