Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

Unajua au unapinga tu, nenda kaulize vizuri, wale madereva wanaobeba manguzo kupeleka maporini na kushusha na winchi, mafundi mpaka wengine wanalipukiwa na transforms, hasa niongee ukweli napata faida gani.
Umeelewa nilichoandika lakini? Hivi unajua kuwa kulikuwa na vijana wanaolipwa kwa mkataba kila mwezi? Toka ameingia yeye wale vijana walipoteza hiyo fursa. Badala yake wakaambiwa waunde vikundi kitu ambacho kazi hawapewi au zinatoka kwa kuungaunga na upendeleo hivi sasa vijana wanaishi bila kuwa na uwakika wa kesho yao.
 
Tatizo ni kukata umeme na pia inasemekana eti ulikuwa unaenda kwa Dkt Samia moja kwa moja
 
Sasa nachozungumzia sio wa mkataba kulipwa kwa mwezi, mkataba ule mkubwa wa madereva, walikuwepo muda mrefu kazini, alivyoingia magu wakafanya interview Mtwara, bado kazi ya mkataba tu, baada ya magu kufariki wanapunguziwa mkataba mpaka leo na wengine wanakata tamaa wanasepa, huyo Maharage ubwabwa hakuwepo au hakuona Kama vijana wanataka kazi ya kudumu, ye alichokuwa anaangalia nguzo zimepelekwa porini, na mafundi wapo site, Bora punda afe mzigo ufike,na sio future ya hao wabeba nguzo na winchi, mpaka roli linataka kuanguka mlimani, ukweli tuseme,nachosema uhakika ninao na ingekuwa ukweli hata wanihoji na wahusika wapo.
 
duh
 
Mental slavery is the worst form of slavery.
It gives u the illusion of freedom, makes u trust, love and defend your oppressors while making an enemy of those who are trying to free u[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sasa Dogo Mimi sijakuelewa. Nilitegemea uoneshe namna gani Maharage Chande amekuwa Mkurugenzi Bora wa TANESCO ukilinganisha na wakurugenzi wengine. Mfano, tuoneshe namna Maharage Chande alivyo Bora kuliko Mkurugenzi Mwaituka ambaye kwa miaka yake minne au mitano umeme ulikuwa haukatiki ovyo.
 
Aliposema kuna upungufu wa umeme mama na January wakasema kuna marekebisho ya miundombinu ya umeme.
 
Mimi mwenyewe nimechukia sana

Jamaa kichwa sana.. binafsi nilifungiwa luku ndani ya 72 hours baada ya kufanya maombi
Kufungiwa LUKU huku unalala gizani kwa uhaba wa umeme Kuna faida gani? Kwanza uhakika wa umeme then ndio mambo ya LUKU yafuate
 
Chawa promax
 
Tangu lini ccm inataka mtu mzuri awawekee ka uzibe?
 
Haya yote yanawezekana.
Ukiwekwa mahali na mkubwa lazima utii maagizo yake.

Pili huyu jamamaa hakosi mazuri yake, mengi yaliyoorodheshwa ni kweli pia
 
Hebu tusaidie na hili swala kwamba anafanya biashara na TTCL ni biashara gani hiyo mkuu?
 
Kipindi Maja anatoa hotuba nkamuona mandondo kakunja sura huyo anatamani amrukie mwamba afu mwamba yuko karelax tu anawanyoosha tu hawa watoto wa kota.
 
Bora kwa kununua software India ya bilioni 70 na Bado haijaleta tija?
 
Ukianza kufuatilia huyu Maharage anakitu ndani yake mbona jamaa wanampiga vita sana
 
Ukianza kufuatilia huyu Maharage anakitu ndani yake mbona jamaa wanampiga vita sana
Brother huyu maharage ni moja ya C:E:O Bora sana , Kazi zake zinajieleza bayana sema kazungukwa na watu wa hovyo!
na i bet wakimwachia taaasisi za inje kimataifa zitamchukua fasta!
 
Umeandika mambo meengi sana, lakini haujatuambia Maharage ameboresha nini na nini pale Ofisini hadi kuwa bora kuliko watangulizi wake!,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…