Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

Duh!
 
hawapendi watu wenye akili za ubunifu...bora tutafte katiba mpya tu
Hili li nchi lina watu wa hovyo sana, hata katiba mpya lazima itakuwa ya hovyo tu.
 
Hili li nchi lina watu wa hovyo sana, hata katiba mpya lazima itakuwa ya hovyo tu.
Uhovyo wa watu huanza na wewe, kwanini unajitoa,? Watu mkiwa humu mnaonekana kuchukizwa na yanayoendelea nchini, lakini hatujawahi kuwaona Live mnapigania mabadiliko ya Nchi. Asante ndugu Keyboard warrior kwa kutukana Watanzania kuwa niwa hovyo.
 
Uhovyo wa watu huanza na wewe, kwanini unajitoa,? Watu mkiwa humu mnaonekana kuchukizwa na yanayoendelea nchini, lakini hatujawahi kuwaona Live mnapigania mabadiliko ya Nchi. Asante ndugu Keyboard warrior kwa kutukana Watanzania kuwa niwa hovyo.
havina Muda maumivu yataisha
 
Umeandika mambo meengi sana, lakini haujatuambia Maharage ameboresha nini na nini pale Ofisini hadi kuwa bora kuliko watangulizi wake!,?
kwahiyo umesoma kichwa cha habari tu hapo kwenye uzi hujasoma!? Hujaelewa nn, hayo niliyoandika mkurugenzi gani alishawahi kuyafanya?
 
wafanyakaz tanesco wengi wamefurahi nazan jamaa aliwasimamia ipasavyo naunga mkono hoja mtoa mada jamaa arudishwe Tanesco
Mkuu kuroga wenzako sio mpaka uvae kaniki ama umiliki matunguli.

We unaumia nn kuona binadamu wenzako wanafurahia mtesi wao kuondoka.
 
Kwa kweli hat mm nilifanya hyo kazi kipindi hicho na ilinisadia snaa nikapiga pesa Kama million. 5
 
meter zina zoanzia na 24 ni ovyoo inakataa kuingiza umeme hata ukikaa siku 4 bado inagoma na ndio huyo mkurugenzi alizileta
 
mimi niliomba luku tangu bei elfu 27 survey wao wa ilala malima akanikatalia mpaka leo shiit
 
Hapa unasema hujui kusifu. Ila tuliopitia taarifa yako ya Kwanza tumejidhihirisha pasi na shaka kwamba unajua sana kusifu tena sana.
Hapana. Unajua sana tena sana kusifu. Rejea taarifa yako hapo juu kabisa utaliona hilo. Hongera sana.
 
TANESCO kusema kweli swala la umeme kukata ovyoovyo linakwamisha maendeleo yetu.
Tafadhalini sana acheni hizi mambo cz tumeshawachoka aiseh.
Alf majuzi wafanyakazi wawili wa Idara ya maji nilisikia wakiongea leo tunawakatia mtaa fulani keaho kutwa mtaa fulani, Si makusudi kabisa khaaaaa.
 
Maharage akipewa uwaziri pananyooka ila kosa ni kumuweka chini ya january
 
Basi sawa .. ndio maana akaaminiwa akapewa shirika la posta.. Hongera Mr Chande Maharage
 
Ukianza kufuatilia huyu Maharage anakitu ndani yake mbona jamaa wanampiga vita sana
Yawezekana kweli Mandondo ana kitu na competent ila Mwezi January ulimwingiza chaka. Pia kumbuka shirika la TANESCO kama mashirika mengine kuna siasa ndani yake na Mwezi Januari uliompendekeza Mandondo kuwa mkurugenzi TANESCO ulikuwa na agenda za upigaji TU. Hivyo Mwezi Januari ndio uliomuingiza chaka Mandondo hadi akaonekana fala na hatimaye swala.

Kwa kuwa mama ana mkataba wa kuulinda mwezi January basi akaona bora auhamishe mwezi Januari ili usizidi kumletea aibu ya kushindwa.
 
Vyote kaweza ila umeme!
 
Hapa unasema hujui kusifu. Ila tuliopitia taarifa yako ya Kwanza tumejidhihirisha pasi na shaka kwamba unajua sana kusifu tena sana.

Hapana. Unajua sana tena sana kusifu. Rejea taarifa yako hapo juu kabisa utaliona hilo. Hongera sana.
kwani nilichoandika ni uongo? kabla ya Maharage zamani watu walisubiri umeme miezi 6 hata mwaka kipindi chake si tumeyaona mabadiliko,

Unamtumbuaje mtu kama Maharage kama uko serious na maendeleo ya wananchi!
Shida ya mgao wa umeme ni ya kiwizara na serikali, ilitakiwa wizara itoe majibu kwa kina lakini wameona watumie mbinu ya kumtoa kafara mtu asiyehusika ili kujisafisha na kweli wananchi wasiyo elewa wanaweza kushangilia.

Bora nafasi za ukurugenzi zingesimamiwa na utumishi tu kuna wakati tumbua inaondoa watu mhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…