Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Vetting Authority na Appointing Authority , Mamlaka ya uteuzi kibongo bongo haiko duty bound na Vetting Authority.Timu ya vetting ni ya hovyo haijui hata inafanya nini, ni aibu sn leo unamteua huku kesho hapo yaani maza anajifuza kuteua
Noooo posta siku hizi ni outonomousPosta ni kitengo ndani ya Tccl so kutoka mkuu wa Tccl Hadi mkuu wa posta ameshuka sana
Kashuka kiwango ingekuwa timu tungesema kashuka darajaUmofia kwenu
Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo.
Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu
CC: Pascal Mayalla Erythrocyte Retired Mshana Jr johnthebaptist Kidu52 Money Penny Dr Akeelah masa2000 Kigogo333 raraa reree Extrovert FaizaFoxy ChoiceVariable Lucas mwashambwa
- Cheo cha Postamsta kina nafasi gani kwenye madaraja ya utumishi wa umma?
- Sababu zilizosababisha aondolewe TANESCO zinafanana na zilizopelekea aondolewe TTCL?
- Mteuzi yaani Rais, anatuma ujumbe gani kwa umma kwa teuzi hizi kanganyifu? Yaani leo unamteua huyu unamuweka mahala fulani lakini kesho yake unamuondoa hapo kumpeleka kwingine
- PostaMasta anafanyakazi chini ya Mkurugenzi wa Posta. Je kwa level aliyofikia Maharage Chande inampa hadhi hiyo ama inamshusha hadhi awe hivyo?
- Kama endapo kuna sababu zinazoligharimu Taifa kwa kumuondoa Chande TANESCO, je aendelee kuligharimu Taifa huko aendako au alipata ajali ta kiutendaji?
- Je tuendelee kuamini kwamba Rais yupo makini kusimamia utumishi wa umma au anatekeleza matakwa ya waliomzunguka bila kuzingatia manufaa ya Umma?
- Je, CCM sasa inatapatapa kulazimisha maji kupanda mlima baada ya kukosa kuungwa mkono na wananchi ambapo kupitia kauli za makada waandamizi kwamba hata ikishindwa uchaguzi haiondoki madarakani?
- Kwa utendaji huu wenye mashaka mengi wa marais wa CCM l, je ni mara ngapi CCM imeipindua serikali kwa kuiba matokeo ya chaguzi mbalimbali nchini?
- Mkeka wa teuzi wa jana, umeonesha uwepo wa ombwe la utumishi wa umma. Tutarajie nini kwenye utendaji wenye kuleta matokeo?
Naunga mkono hojaNi heri angebaki zake huko DSTV, huenda ni mtu professional tu sema ukiingia kwenye mfumo unaacha akili zako na kutumia mabox.
PostaMasta = DG wa shirika la Posta?Tarehe 21/9/2023 Mkurugenzi Wa TANESCO - Maharage Chande
Tarehe 23/9/2023 Mkurugenzi Wa TTCL - Maharage Chande
Tarehe 25/9/2023 Mkurugenzi Wa POSTA - Maharage Chande
Kuna Shida Kubwa Kwenye Mamlaka Ya Uteuzi... Kuna SHIDA KUBWA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kama mteuzi kagundua kosa mapema sibora kalisahisha kuliko kungoja mambo yaharibike.Tarehe 21/9/2023 Mkurugenzi Wa TANESCO - Maharage Chande
Tarehe 23/9/2023 Mkurugenzi Wa TTCL - Maharage Chande
Tarehe 25/9/2023 Mkurugenzi Wa POSTA - Maharage Chande
Kuna Shida Kubwa Kwenye Mamlaka Ya Uteuzi... Kuna SHIDA KUBWA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Akatafutiwa anakoweza kula kivulini kwa urefu wa kamba bila uwezo wa kufikiri, kuhukumu na kutenda...haya mawazo potofu unayatoa wapi?Huko Posta hakuna kukuru kakara zilizoko TTCL na TANESCO.
Are you serious Mama Amon? Acheni utani jamani...yaani huo uwezo wa kufikiri, kuhukumu na kutenda hauhitajiki TTCL wala TANESCO bali POSTA?Sasa amepangiwa eneo la kazi linaloonekana kwendana na uwezo wake wa kufikiri, kuhukumu na kutenda.
Namba 4 kuna uongo mkubwa. Hujafanya home work yako vizuri. CEO wa Shirika la Posta ni Postamaster General. Hakuna Mkurugenzi.Umofia kwenu
Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo.
Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu
CC: Pascal Mayalla Erythrocyte Retired Mshana Jr johnthebaptist Kidu52 Money Penny Dr Akeelah masa2000 Kigogo333 raraa reree Extrovert FaizaFoxy ChoiceVariable Lucas mwashambwa
- Cheo cha Postamsta kina nafasi gani kwenye madaraja ya utumishi wa umma?
- Sababu zilizosababisha aondolewe TANESCO zinafanana na zilizopelekea aondolewe TTCL?
- Mteuzi yaani Rais, anatuma ujumbe gani kwa umma kwa teuzi hizi kanganyifu? Yaani leo unamteua huyu unamuweka mahala fulani lakini kesho yake unamuondoa hapo kumpeleka kwingine
- PostaMasta anafanyakazi chini ya Mkurugenzi wa Posta. Je kwa level aliyofikia Maharage Chande inampa hadhi hiyo ama inamshusha hadhi awe hivyo?
- Kama endapo kuna sababu zinazoligharimu Taifa kwa kumuondoa Chande TANESCO, je aendelee kuligharimu Taifa huko aendako au alipata ajali ta kiutendaji?
- Je tuendelee kuamini kwamba Rais yupo makini kusimamia utumishi wa umma au anatekeleza matakwa ya waliomzunguka bila kuzingatia manufaa ya Umma?
- Je, CCM sasa inatapatapa kulazimisha maji kupanda mlima baada ya kukosa kuungwa mkono na wananchi ambapo kupitia kauli za makada waandamizi kwamba hata ikishindwa uchaguzi haiondoki madarakani?
- Kwa utendaji huu wenye mashaka mengi wa marais wa CCM l, je ni mara ngapi CCM imeipindua serikali kwa kuiba matokeo ya chaguzi mbalimbali nchini?
- Mkeka wa teuzi wa jana, umeonesha uwepo wa ombwe la utumishi wa umma. Tutarajie nini kwenye utendaji wenye kuleta matokeo?
Mkurugenzi wa Tanesco haleti mvua, mvua zisiponyesha ,maji kwenye mabwawa yanapungua hatimaye mgao wa Umeme unafuata. Tanesco walishasema mapema kuwa mgao wa umeme unakuja. Tatizo hili litatokea hata kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere. Hizi ndoto za kuacha umeme wa gesi na kukimbilia umeme unaotokana na maji ndio zimetuleta hapa. Mabadiliko ya tabia nchi yapo na yataendelea, inatakiwa tukumbatie vyanzo vipya vya umeme , jua, upepo,gesi na uranium (Nuklia)Umofia kwenu
Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo.
Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu
CC: Pascal Mayalla Erythrocyte Retired Mshana Jr johnthebaptist Kidu52 Money Penny Dr Akeelah masa2000 Kigogo333 raraa reree Extrovert FaizaFoxy ChoiceVariable Lucas mwashambwa
- Cheo cha Postamsta kina nafasi gani kwenye madaraja ya utumishi wa umma?
- Sababu zilizosababisha aondolewe TANESCO zinafanana na zilizopelekea aondolewe TTCL?
- Mteuzi yaani Rais, anatuma ujumbe gani kwa umma kwa teuzi hizi kanganyifu? Yaani leo unamteua huyu unamuweka mahala fulani lakini kesho yake unamuondoa hapo kumpeleka kwingine
- PostaMasta anafanyakazi chini ya Mkurugenzi wa Posta. Je kwa level aliyofikia Maharage Chande inampa hadhi hiyo ama inamshusha hadhi awe hivyo?
- Kama endapo kuna sababu zinazoligharimu Taifa kwa kumuondoa Chande TANESCO, je aendelee kuligharimu Taifa huko aendako au alipata ajali ta kiutendaji?
- Je tuendelee kuamini kwamba Rais yupo makini kusimamia utumishi wa umma au anatekeleza matakwa ya waliomzunguka bila kuzingatia manufaa ya Umma?
- Je, CCM sasa inatapatapa kulazimisha maji kupanda mlima baada ya kukosa kuungwa mkono na wananchi ambapo kupitia kauli za makada waandamizi kwamba hata ikishindwa uchaguzi haiondoki madarakani?
- Kwa utendaji huu wenye mashaka mengi wa marais wa CCM l, je ni mara ngapi CCM imeipindua serikali kwa kuiba matokeo ya chaguzi mbalimbali nchini?
- Mkeka wa teuzi wa jana, umeonesha uwepo wa ombwe la utumishi wa umma. Tutarajie nini kwenye utendaji wenye kuleta matokeo?
Hahahaha,Mkataba wa MwintongoNadhani tangu baada ya Mkapa, hakukuwa tena na suala la vetting. Neno MWENZETU au MTU WETU ndilo dira na mwongozo wa teuzi karibia zote.
Nayajua vizuri snKuna Vetting Authority na Appointing Authority , Mamlaka ya uteuzi kibongo bongo haiko duty bound na Vetting Authority.
Unahitaji kuyajua haya
Nilishawaambia mara kadhaa nchi inaongozwa na under age kulingana na majukumu wanayopaswa kufanya, wengi wanaomsaidia mteuzi ni type ya kina Gerson MsigwaTarehe 21/9/2023 Mkurugenzi Wa TANESCO - Maharage Chande
Tarehe 23/9/2023 Mkurugenzi Wa TTCL - Maharage Chande
Tarehe 25/9/2023 Mkurugenzi Wa POSTA - Maharage Chande
Kuna Shida Kubwa Kwenye Mamlaka Ya Uteuzi... Kuna SHIDA KUBWA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Try n error theorem !!!Lakini kama mteuzi kagundua kosa mapema sibora kalisahisha kuliko kungoja mambo yaharibike.
Je Magufuli aliwezaje bila kuleta mgao na wakati huo huo mvua dusko zilikuwa zinaleta ukavu?Mkurugenzi wa Tanesco haleti mvua, mvua zisiponyesha ,maji kwenye mabwawa yanapungua hatimaye mgao wa Umeme unafuata. Tanesco walishasema mapema kuwa mgao wa umeme unakuja. Tatizo hili litatokea hata kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere. Hizi ndoto za kuacha umeme wa gesi na kukimbilia umeme unaotokana na maji ndio zimetuleta hapa. Mabadiliko ya tabia nchi yapo na yataendelea, inatakiwa tukumbatie vyanzo vipya vya umeme , jua, upepo,gesi na uranium (Nuklia)
Hakuna Mkurugenzi wa posta bwana bali ni postamasta mkuu msitake kupambapamba wakati mtu kashushwaTarehe 21/9/2023 Mkurugenzi Wa TANESCO - Maharage Chande
Tarehe 23/9/2023 Mkurugenzi Wa TTCL - Maharage Chande
Tarehe 25/9/2023 Mkurugenzi Wa POSTA - Maharage Chande
Kuna Shida Kubwa Kwenye Mamlaka Ya Uteuzi... Kuna SHIDA KUBWA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Je Magufuli aliwezaje bila kuleta mgao na wakati huo huo mvua dusko zilikuwa zinaleta ukavu?
Je Magu alitudanganya kuwa wanafungulia maji ili kutengeneza punguzo la maji kwenye mabwawa kwa minajili ya biashara zao?