Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Hivi kumbe Kuna watu mna akili za kipumbavu hivi? Wanaojiita baba Wana hasara ikiwa mwanaume unaweza amini Kila unachoambiwa kama mwanamke.Pole
Ila wewe uliyeaminishwa kwamba Crane ilikuwa inatafutwa sijui kutoka wapi na kwamba Bwawa likiisha bei hazitashuka (ingawa overheads zitapungua) sababu sijui wateja wameongezeka na tunahitaji kulipa vitu gani..., Au jamaa alikuwa hafanyi maitenance ndio maana kulikuwa hakuna mgao na sasa hivi wanasuka kampuni upya, kwahio vumilia mgao wa siku kadhaa ambazo hizo siku zinakuwa extended kila kukicha....

Ni yupi bora yule aliyeamini uongo (lakini umeme aliupata) au wewe unayeamini so called ukweli alafu upo Gizani....
 
Mimi siaminishwi Bali natafuta ukweli mwenyewe, habari za hearsay ni Kwa wenye akili za kushikiwa na ndogo kama wewe.
 
Unatafuta habari mwenyewe bila kuwa na hizo habari (nchi ambayo haina transparency unadhani hio habari utaipata wapi) utapiga ramli ? Hivi mpaka leo nani anajua madudu au mazuri ya Mkataba wa Bandari Bagamoyo - JPM alisema ni Mbaya wengine wakasema ni Mzuri ili kupata ukweli tunaupata vipi ?

Kinachobakia ni kuangalia outcomes...; JPM alisema watu wanazima umeme ili wauze Generators; watu na mimi nikiwemo nikajua ni porojo na propaganda..., ameondoka umeme unakatika kila kona na deals haziishi unadhani kinachobaki kitaa watu waamini nini ?!!!

Once you eliminate the impossible, whatever remains, no matter how improbable, must be the truth. Arthur Conan Doyle
 
Habari zipo tuu ikiwemo kwenda site.Pili Kwa teknolojia ya sasa utafungua mabwawa picha za satellite zisione?
 
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
majaliwa alikuwa Waziri mkuu enzi za Magufuli na Umeme haukuwa unakatika ovyo.

Samia alikuwa Makamu wa rais enzi za Magufuli na umeme haukuwa unakatika ovyo.

Sasa Shida ipo kwa serikali kusimamia au Uzembe uliokithiri wa Tanesco?
 
Habari zipo tuu ikiwemo kwenda site.Pili Kwa teknolojia ya sasa utafungua mabwawa picha za satellite zisione?
Kwamba kuzima mashine au ku-tamper na mashine unaona kwenye satellite ? Na wale kipindi kile waliokuwa wanachepusha maji ili wamwagilizie wakashikwa na kuambiwa waache zilikuwa porojo ?

Kwa nchi kama hii kweli mtu bado unashangaa upigaji au ufujaji wa aina yoyote ? Hii nchi kinachotokea ni Stranger than Fiction yaani unaweza kusoma kitu kwenye Kitabu cha Hadithi ukasema huu ni uongo na haiwezekani ukija Bongo everything is possible, na utashangaa kimefanyika...

Kama (Rais ambayo ni Taasisi eti alishangaa vipengele vimeongezwa from no where) ije kuwa wewe mdau uniambie unajua kila kitu ? Unless wewe ni Samia mwenyewe na pale ulijifanya unashangaa ila kumbe ni mastermind..... Bila kuwa na absolute transparency hii nchi tutaendelea kutafunwa....
 
Kwamba kuzima mashine au ku-tamper na mashine unaona kwenye satellite ? Na wale kipindi kile waliokuwa wanachepusha maji ili wamwagilizie wakashikwa na kuambiwa waache zilikuwa porojo ?
Kipi uta tember harafu kisijulikane na staff wooote ila nyie haters? Toa ujinga hapa

Unadhani maji ya bwawa Huwa yanafunguliwa kama mkojo? Toa ujinga hapa
 
Yaani ku-tamper na mashine kila staff atajua ? Na uki-schedule matengenezo au usafi wa kuondoa tope au routine check nani atabisha ?

Kipindi kile cha so called JPM alikuwa hafanyi maintenance na Makamba anafanya na kuleta mgao ni nani ali-cross check kwamba kinachofanyika ni deservedly na kinatakiwa kuchukua muda uliochukuliwa ?

Unaongelea haters ? (unadhani mtu mwenye akili zake mlipa kodi ambaye anapata mgao hence shughuli zake kusimama kwa kukosa nishati ataendelea kutoku-hate )!!!! ? Unless ni Punguani au anafaidika na upuuzi unaoendelea hakuna mtu anaweza kuchekelea huu ujinga; na kama yupo na hafaidiki anahitaji professional help (kichwa chake anafugia nywele tu na sio vinginevyo)
 
Umeshasema ni matengenezo kwani hayo matengenezo huwmfanywa kiholela? Toa ujinga hapa
 
Kwahio according to Makamba JPM alikuwa hafanyi matengenezo ndio maana kulikuwa kukitokea mgao unakuwa ni mgao wa umeme.....; leo hii wazee wa kufanya matengenezo wanatoa mgao wa Giza ? Yaani baada ya maintenance zao hali imekuwa mbaya zaidi ? Na wewe kwa fikra zako unaona this is adding up ?

Kweli bora nibakie na ujinga wangu kuliko kuwa na werevu kama wako...
 
Kwanza shida ya Sasa ni sababu kuu 3
1.Mwendazake hakuwekeza kwenye vyanzo vinginevyo wakati ujenzi wa bwawa unasubiriwa Ili ku absorbs demand Mpya na cases za ukame
2.Tanesco ilikuwa haifanyi matengenezo hususani ya kubadili njia za umeme zilizochoka na transfoma zake hivyo Kuzuia katika katika ya umeme.

3.Demand imeongezeka zaidi wakati supply ni kidogo na hiyo kidogo inakumbana na ukame

Kabla ya Makamba kuondoka tayari Tanesco imeshakamilisha Kingereza I extension baada ya shida ya Makaa Jana ila mahitaji yamekuwa Kwa hiyo ni kama shida Iko pale pale.

Mwisho Mwambie Biteko alete umeme badala ya kutoa matamko yasiyo na Tija.

View: https://twitter.com/tanescoyetutz/status/1699305645114016061?t=ahERUf8oFWef8_aFILWxPQ&s=19
 
Vyanzo vingine ni vipi na vinawekezwa vipi ? Hivi aliyekwambia when push comes to shove power generation ni tatizo ni nani ? Uzuri wa gesi au maji unaweza ukazilisha panapohitajika tofauti na solar au upepo unaweza wakati wa mahitaji kukawa hakuna jua wala upepo kwahio hapo bottleneck itakuwa ni storage ya hio nishati mpaka inapohitajika......

Ila kwa akili zenu nyie werevu ndio maana mnapigwa kila siku mkiambiwa matumizi yameongezeka tuwalete kina Symbion na Dowans mnapiga makofi au sijui tunaomba trillion kadhaa ili tusuke upya mnaona ndio maendeleo kumbe mnalishwa maneno kwa miradi lukuki ambayo haina tija
2.Tanesco ilikuwa haifanyi matengenezo hususani ya kubadili njia za umeme zilizochoka na transfoma zake hivyo Kuzuia katika katika ya umeme.
Kwamba hayo matengenezo ambayo yalikuwa hayafanywi yanayohitajika kufanyika yote at a go kwa masaa 24 tangia waanze kuyafanya hayajamalizika tu ? (Au hio ni moja ya excuses za Awamu hii iliyojikita kwenye ugavi wa visingizio visivyoisha)
3.Demand imeongezeka zaidi wakati supply ni kidogo na hiyo kidogo inakumbana na ukame
Demand imeongezeka unaweza kunipa numbers na hio demand ni ya Megawatts ngapi na ni akili ya wapi kuongeza watu kuliko capacity (na bado unachelewesha Bwawa) hivyo kupelekea watu wote kukosa wote kukosa..., Yaani unaongeza watu ili wagawane giza.... ?

Ndio hapo naendelea kukwambia kwa werevu kama wako ni rahisi kulishwa maneno na ukayameza jumla jumla
Kabla ya Makamba kuondoka tayari Tanesco imeshakamilisha Kingereza I extension baada ya shida ya Makaa Jana ila mahitaji yamekuwa Kwa hiyo ni kama shida Iko pale pale.

Mwisho Mwambie Biteko alete umeme badala ya kutoa matamko yasiyo na Tija.

View: https://twitter.com/tanescoyetutz/status/1699305645114016061?t=ahERUf8oFWef8_aFILWxPQ&s=19

Ndio hapo nakwambia na kwa mwendo huu demand itaendelea kuongezeka wataendelea kufanya extensions ambazo hazina mwisho na itakuwa mwendelezo wa upuuzi ule ule (ila ndio hivyo nyie werevu kila mnacholishwa mnakimeza) no questions asked...
 
Yaani sijamaliza kusoma ila kama alifukuzwa ni vizuri aisee hakuna anachofanya anapata wapi furaha ya kutabasamu wakati huko Babati watu wanalamba mgao wa umeme wa siku mbili wamekataka toka jana asubh wakaleta leo saa saba sasa hivi wamekata tena haijulikani wanaurudisha lini kwa kweli hawa jamaa wameivuraga sana Tanesco sijawahi shuhudia mgao wa namna halafu kuna baadhi ya maeneo wamezidisha makali ya mgao.
 
Zero brain Chande ndio Huwa anafuta pesa za kutekeleza miradi ya Tanesco? Toeni ujinga hapa ,pelekeni hela Tanesco
Zipelekwe ela ili muendelee kuzipiga...miaka 6 ya kalemani wa magu hakuna mgao ulikuwa unaishi nje ya nchi au.
 
Kwanza shida ya Sasa ni sababu kuu 3
1.Mwendazake hakuwekeza kwenye vyanzo vinginevyo wakati ujenzi wa bwawa unasubiriwa Ili ku absorbs demand Mpya na cases za ukame
2.Tanesco ilikuwa haifanyi matengenezo hususani ya kubadili njia za umeme zilizochoka na transfoma zake hivyo Kuzuia katika katika ya umeme.

3.Demand imeongezeka zaidi wakati supply ni kidogo na hiyo kidogo inakumbana na ukame

Kabla ya Makamba kuondoka tayari Tanesco imeshakamilisha Kingereza I extension baada ya shida ya Makaa Jana ila mahitaji yamekuwa Kwa hiyo ni kama shida Iko pale pale.

Mwisho Mwambie Biteko alete umeme badala ya kutoa matamko yasiyo na Tija.

View: https://twitter.com/tanescoyetutz/status/1699305645114016061?t=ahERUf8oFWef8_aFILWxPQ&s=19

Inaonekana huelewi chochote kuhusu umeme bora ukae kimya sio kila jambo ni lakuweka propaganda.
 
Huko Tanesco kuna kitu haKipo sawa
Unakuta uwezo wa mambwawa kuhifadhi maji umepungua pengine kwa 60% ila hawaji na mikakati ya kusafisha mabwawa kipindi cha kiangazi ili mwaka unaofuata tatizo lisijirudie
wao mwua zikinyesha tu, wanaona problem solved.....
Na pengine ukiuliza bajeti ya kusafisha bwawa unaweza kupewa gharama sawa na kujenga bwawa jipya
 
Back
Top Bottom