Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Labda tusubiri hawa wateule wapyaHuko Tanesco kuna kitu hapipo sawa
Unakuta uwezo wa mambwawa kuhifadhi maji umepungua pengine kwa 60% ila hawaji na mikakati ya kusafisha mabwawa kipindi cha kiangazi ili mwaka unaofuata tatizo lisijirudie
wao mwua zikinyesha tu, wanaona problem solved.....
Ndugu Maharage washamsafisha
Muda wa kwenda kuuza line na bando hiyo kazi ataweza