Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Huko Tanesco kuna kitu hapipo sawa
Unakuta uwezo wa mambwawa kuhifadhi maji umepungua pengine kwa 60% ila hawaji na mikakati ya kusafisha mabwawa kipindi cha kiangazi ili mwaka unaofuata tatizo lisijirudie
wao mwua zikinyesha tu, wanaona problem solved.....
Labda tusubiri hawa wateule wapya
Ndugu Maharage washamsafisha
Muda wa kwenda kuuza line na bando hiyo kazi ataweza
 
Huko Tanesco kuna kitu haKipo sawa
Unakuta uwezo wa mambwawa kuhifadhi maji umepungua pengine kwa 60% ila hawaji na mikakati ya kusafisha mabwawa kipindi cha kiangazi ili mwaka unaofuata tatizo lisijirudie
wao mwua zikinyesha tu, wanaona problem solved.....
Na pengine ukiuliza bajeti ya kusafisha bwawa unaweza kupewa gharama sawa na kujenga bwawa jipya
Hii point ya msingi sanaaa,
Ila muda mzuri wa kusafisha sio wakati wa mvua? Ili usafishe maji yajae mengi?
Anyway, walio ingia sasa wakasafishe tu hata jioni ya leo mwakani hatutaki hizi porojo za maji
 
0baf1dc815b44825a4529e4a6e6ab079.jpg
 
Back
Top Bottom