Lilishamfunika from day oneBiteko kapewa jumba bovu litamuangukia tu.
Yaani hawa jamaa wamefanya nimeua vifaranga wengi sana kwa kujipa moyo umeme utarudi muda si mrefuBoss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Hahaaa, hii noma mkuu, nimecheka sana! ππ€£π€£Jamaa anakaa high table afu umeme aka electricity hauko mtaani
Ila anajiamini
Ningekuwa Mimi ningeanzia site hata kinyerezi kuzuga tuπ€£π€£
Kipindi cha Prof Muhongo, umeme ulikoma kabisa kukatika na ulikuja kuanza kukatika tena baada ya Muhongo kumaliza muda wake. Ushahidi wa hili upo kwa sababu Muhongo yupo kule BungeniBoss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Hiki unachokisema kinawezekana endapo umeme utakua wireless!! Haya magunzo na manyaya ya TANESCO moja yanatukera, je yakiwa 5 times??TANESCO inaendeshwa kisiasa.
Watanzania hawalipii gharama halisi za umeme, wanalipa gharama ndogo sana, halafu, wakati kawaida ni watumiaji wakubwa wa viwandani kufidia tofauti, uchumi hauna watumiaji wakubwa wa kutosha wa kulipia the difference.
Matokeo yake, it's a vicious circle of poverty.
Umeme kukosekana inadumaza uchumi, na uchumi kudumaa kunafanya watumiaji wakubwa washindwe ku support matumizi ya umeme ya general population na umeme ukosekane.
Kwa msingi huo, hawa kina Maharage, they are set to fail.
Kitu cha kwanza kinachotakiwa ni kuondoa ukiritimba wa TANESCO kuwa na monopoly kwenye umeme.
Unategemea vipi ufanisi kwenye biashara ya monopoly?
Achia kuwe na makampuni matano ya umeme yanagombea wateja, halafu angalia competition ya kibiashara unavyomaliza matatizo.
Unategemea vipi efficiency kwenye monopoly?
Kutafuta USD waaagizaji wa mafuta wapate unafuu!!Kwani Biteko kapelekwa kufanya nini Nishati?
Dr magufuli ndio aliweza kumudu Hili la umeme msoga hi wizara hawaiwezi wao wanawaza kula na kuiba tuBoss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
NonsenseLabda alikuwa na bifu nae si unajua wabongo kwa kulipiza
Aachie nafasi kwanini wasiachie nafasi CCM ambao wamekuwepo madarakani kwa muda wa miaka60 na wameshindwa kutatua matatizo ya nchi ikiwa ni pamoja na hili la umeme?.Vitendea kazi hana tangu 2021 anafanya nini ofisini? Analipwa mshahara wa nini? Aachie nafasi
Wewe acha upumbavu, si support hata kidogo kukatiwa umeme, Maharage ni kafara mmoja tu. Shughulisha akili yako ku pinpoint the point. Miaka hii kwa hatua ambayo dunia imefikia maendeleo ya kiteknolojia ni aibu kwa taifa kuwa na mgao wa umeme!Wewe acha ujinga umeme kukatika katika mara kwa mara unaona sawa?