Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Atumbuliwe tu. Kwa nini walimtoa mtangulizi wake yule aliyekuwa anafanya vizuri. Asipotumbuliwa hatutamuelewa mteule wake.
 
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?

Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Yaani hawa jamaa wamefanya nimeua vifaranga wengi sana kwa kujipa moyo umeme utarudi muda si mrefu

Hizi hasara ilitakiwa shirika liwe linazibeba ili wawe makini kwenye majukumu yao.

Haiwezekani changamoto ni zile zile miaka na miaka huku watu wakiingia hasara kubwa
 
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?

Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Kipindi cha Prof Muhongo, umeme ulikoma kabisa kukatika na ulikuja kuanza kukatika tena baada ya Muhongo kumaliza muda wake. Ushahidi wa hili upo kwa sababu Muhongo yupo kule Bungeni

Kipindi cha Muhongo umeme ulikatika pale mwanzoni tu wakati akiwa bado ni mgeni, baada ya hapo hizo stori zilikoma kabisa.

Kwa hiyo Waziri akiwa mkali, umeme haukatiki, na akiwa mpole, umeme unakatika
 
Safi sana anapata wapi nguvu x kukaa High table wakati Nchi iko gizani. Kweli maharage uyo kama maharage yenyewe Takataka tu
 
Hivi akitimuliwa anaendelea kuwa mtumishi wa UMMA? hivi kazi za uteuzi kutoka nje ya Utumishi wa UMMA inampatia sifa ya moja kwa moja kuwa mtumishi wa UMMA baada ya uteuzi wake kukoma? Naomba kujua.
 
😂😂😂😂😂 hiyo ya kulegeza tai imenivunja mbavu

Nimependa hicho alichofanyiwa yeye kama Mkurugenzi anakula tai anapenda kikaoni anakula per Diem huku watanzania wanahangaika na maisha umeme hamna biashara hawawezi kufanya

WATANZANIA tunataka umeme hatutaki bla bla za vikao waingie field wafanye kazi tuone matokeo
 
TANESCO inaendeshwa kisiasa.

Watanzania hawalipii gharama halisi za umeme, wanalipa gharama ndogo sana, halafu, wakati kawaida ni watumiaji wakubwa wa viwandani kufidia tofauti, uchumi hauna watumiaji wakubwa wa kutosha wa kulipia the difference.

Matokeo yake, it's a vicious circle of poverty.

Umeme kukosekana inadumaza uchumi, na uchumi kudumaa kunafanya watumiaji wakubwa washindwe ku support matumizi ya umeme ya general population na umeme ukosekane.

Kwa msingi huo, hawa kina Maharage, they are set to fail.

Kitu cha kwanza kinachotakiwa ni kuondoa ukiritimba wa TANESCO kuwa na monopoly kwenye umeme.

Unategemea vipi ufanisi kwenye biashara ya monopoly?

Achia kuwe na makampuni matano ya umeme yanagombea wateja, halafu angalia competition ya kibiashara unavyomaliza matatizo.

Unategemea vipi efficiency kwenye monopoly?
Hiki unachokisema kinawezekana endapo umeme utakua wireless!! Haya magunzo na manyaya ya TANESCO moja yanatukera, je yakiwa 5 times??
 
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?

Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Dr magufuli ndio aliweza kumudu Hili la umeme msoga hi wizara hawaiwezi wao wanawaza kula na kuiba tu
 
Vitendea kazi hana tangu 2021 anafanya nini ofisini? Analipwa mshahara wa nini? Aachie nafasi
Aachie nafasi kwanini wasiachie nafasi CCM ambao wamekuwepo madarakani kwa muda wa miaka60 na wameshindwa kutatua matatizo ya nchi ikiwa ni pamoja na hili la umeme?.
 
Wewe acha ujinga umeme kukatika katika mara kwa mara unaona sawa?
Wewe acha upumbavu, si support hata kidogo kukatiwa umeme, Maharage ni kafara mmoja tu. Shughulisha akili yako ku pinpoint the point. Miaka hii kwa hatua ambayo dunia imefikia maendeleo ya kiteknolojia ni aibu kwa taifa kuwa na mgao wa umeme!
 
Back
Top Bottom