Sana, kibaya kabisa kabisa Maharage kaharibu mno kama jinsi yalivyo maharage. Na Mh. Biteko asipojua pakubonyeza he will never get better results. Kalemani alikuwa siyo kiongozi mzuri ila kwenye motisha ya kazi aliwaacha ila sasa huyu kaja na theory zake za eti kutoa gawio serikalini wakati watumishi wako hawana hata morali ya kazi
Hao wasukuma waliojaa Tanesco ndio chanzo cha matatizo.Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Rafik wa makamba[emoji1787][emoji1787]Jamaa anakaa high table afu umeme aka electricity hauko mtaani
Ila anajiamini
Ningekuwa Mimi ningeanzia site hata kinyerezi kuzuga tu[emoji1787][emoji1787]
Hapana Kalemani hakuwa kiongozi mzuri, tatizo lake kubwa ni ubinafsi ila watumishi hakuwaharibia maslahi yao kama Maharage.Ngoja tumwambie Rais amrudishe Kalemani.
-Kaveli-
Makamba si alisema ni miundo mbinu chakafu jamani ,maana alikuwa haish visingizioHuyu maharage hana sifa wala uwezo kuendesha tanesco. Tatizo hawa wahuni aliyowaamini mama wanamshauri kupeana teuzi kishikaji. Wameondoa watu waliyosimamia tanesco vizuri team ya kalemani na CEO wake wakapangana waswahili wenye kujua kupiga watoto wa mujini eti sio washamba kama kina magufuli. Team ya majaliwa na biteko wapange upya kuanzia bodi tanesco. Ujuzi itikadi sahihi na uzalendo ni muhimu. Kina gachuma majaar na barhesa yote ni maslahi tu ya wafanya biashara.
Hela zikafsnye nin nan amekuambia tatizo ni helaMwambie Biteko atoe hela apeleke Tanesco,kumtimua Chande kwenye kikao hakujaleta umeme Hadi saizi asilete mambo ya kijinga hapa
Mtoto wa Maharage Juma, mpigania uhuru aliyepambana pamoja na wazee wa miaka ile kina Ally Sykes na wengine wakongwe.Mtu anaitwa Maharage utegemee ufanisi
Huyo ni rafiki yake na Makamba ni mjinga mwenzie,uwezo hakuna na ndio maana anaitwa maharage.Sijui huwa wanawatoa wapi watu wa hovyo hovyo kama akina maharage.Nchi kubwa kama hii inatakiwa ipate watu serious sana na sio mazwazwa.Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
uo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Makamba anasemaje?Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Kwa nchi hii ilivyo haihitaji mtu kama SAMIA inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu ili mambo yaende hebu fikiria watu wanapanga mgao wa umeme ili waziri mteule aonekana hafai ila yule kilaza aliyeondoka ndio bora na ndio mchezo uliopo hapo,hii michezo ni ya siku nyingi na inajulikana toka enzi za kikwete.JPM aliimaliza sasa imerudi kwa kasi.Na waendelee kuwafukuza kwenye vikao hivyo hivyo maana huweza kukaa na mtu mpumbavu mezani anayefanya KAZI ya kupanga ujinga tu.Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Ivi aliyeboresha Bima ya afya Kwa wafanyakazi wa tanesco ni kelimali AU JanuaryHapana Kalemani hakuwa kiongozi mzuri, tatizo lake kubwa ni ubinafsi ila watumishi hakuwaharibia maslahi yao kama Maharage.
Maharage Chande anawaaminisha Kamati ya Bunge kuwa bila mvua lazima mgao unakuja.Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.
Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam
Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.
Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo
Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"
Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.
Tumuombee presha yake isipande.
Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Waliokuwepo kabla ya maharage walikuwa na miundombinu hiyo hiyo na ukame huu huu na hatukuambiwa kuna mgao. Of course wameshindwa ku manage. Jibu hii hoja ndo uoneshe hiyo blahUnaongea upuuzi tuu na blaa blaa zisizo na msingi.
Kwa akili Yako unadhani Umeme haupo Kwa sababu ya MD?
January kwa za ndani hakuwa na tatizo kabisa, ni kiongozi mzuri, ila shida ni kuwa maharage anawasiliana moja kwa moja na Dkt Samia, na ndiyo maana kawekewa kigingi kikubwa lazima ajikwae, ndiyo maana January alikuwa anaonekana anapwaya dogo mahara moja kwa moja kwa rais akijipendekeza kumbe hajui mkubwa wako ni bosi wako tu.Ivi aliyeboresha Bima ya afya Kwa wafanyakazi wa tanesco ni kelimali AU January