Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
CCM wote ni Matapeli
 
Huyo Maharage anaonewa bure tu, kuongoza taasisi za ki Africa ni kazi sana. Unafikiri angewagomea huyo aliyem suggest na yule aliyemtoa DSTV na kum appoint pale Tanesco.
Aliemtia DSTV ni rafiki yake binafsi na wamevuta mpunga wa kutosha na hapa nahisi kama anamfanyia surbotage naibu waziri mkuu. Wahuni hawana maana hao.
 
Hiki unachokisema kinawezekana endapo umeme utakua wireless!! Haya magunzo na manyaya ya TANESCO moja yanatukera, je yakiwa 5 times??
Unaangalia tatizo hili kutoka upande mbaya.

Monopoly ndiyo tatizo.

Ukiwa na makampuni mengi ya umeme, kampuni moja likiwa na tatizo, kampuni lingine likatatua hilo tatizo, wateja wataamua kuondoka kwenye kampuni lenye tatizo na kuhamia kampuni lenye ufanisi.

Sasa hivi, TANESCO inafanya itakavyo, kwa sababu haina competition.
 
Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu?
View attachment 2756107
Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima.

Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

Tarehe 25 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kutokana na Mgao Mkubwa wa Umeme unaoendelea Nchini, Maharage anadai hakuna Mgao bali ni Upungufu wa umeme.

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Maharage Chande aliwaomba Wananchi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho kuna Upungufu wa Umeme unaosababisha baadhi ya Maeneo kuwa na Umeme na mengine kukosa Huduma hiyo

Maharage alisema "Katika Mtandao wa Umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara na pale zinapotokea Wateja wetu huwa tunawataarifu. Tunapopata upungufu sio Nchi nzima inakuwa haina Umeme ila ni kwa baadhi ya maeneo na huwa tunatoa taarifa"

Sasa baada ya kwambiwa aende kushughulikia umeme, nilijua ataenda site. Cha ajabu yupo Ofisini kwake Ubungo kakaa huku tai ameilegeza, inaonekana ana mawazo sana.

Tumuombee presha yake isipande.

Baadhi ya Watanzania wamesema mgao wa umeme umekuwa ukisababisha hasara katika biashara zao mara kwa mara. Na wamelitaka shirika la umeme (TANESCO), kutoa taarifa rasmi ya jinsi mgao huo unavyoendeshwa. Je, kwa sasa Tanesco inazalisha kiwango gani cha umeme? Ni upungufu wa aslimia ngapi?
Maharage kama Maharage
 
Mi namuhurumia Sana Biteko akija kushtuka atajikutanje ya Siasa za Nchi hii inshort hawezi kuongoza hiyo wizara kwa style hiyo amuite January wayajenge vizuri la sivyo 2025 atajikuta amemalizwa Kisiasa japo mteuzi ameaminishwa hilo ni turufu lake la Kanda ya ziwa lakini nachelea kusema Inaweza kuwa ni anguko lao Kisiasa kuelekea 2025.

Borntown ni Master mind tena wa level za Kimataifa naona anguko la mtu kuelekea 2025 Biteko kaa na Makamba akupe ramani ya ushindi vitani.
 
Yeye mwenyewe kachemka labda angekaa na yule aliyepita jina limenitoka kidogo
 
Karamagi ndo jina lake huyo wa zamani.
Unaamini January alishindwa? Siyo kweli zile ni hujma na biashara za wale waliompigia chapuo ya teuzi lakini hakushindwa huwa siamini katika hilo Kama kweli alifeli kuongoza wizara kwa tija bali alikuwa pale kimkakati na ameshatimiza malengo ya wahusika
Biteko ataangukiwa na jumba bovu bila kutegemea kumbuka ya Lowassa.
 
Ni kweli pia toka umezaliwa hujawai kushuhudia serikali ikifadhili uunganishwaji wa idadi kuubwa
Wa umeme kwa raia bila kulipa shirika uwezo wa kuzalisha vyanzo vipya vya umeme
Tuna viongozi wajinga hawana maono, vijini matumizi ni redio na kuchaji cm, wahi tusingetumia umeme wa solar?
 
Back
Top Bottom