Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha.

Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30.

Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala.

Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu

Mahari ipo tayari narudia tena hata kesho asubuhi natoa na kubeba mke sisubiri harusi

Inbox iko wazi karibu.
Kwani uliko hakuna wake wa kuoa
Uende Musoma hapo Dodoma au Singida wapo tele nimeepua mmoja juzi kati hapa bei sawa na bure
 
Kwani uliko hakuna wake wa kuoa
Uende Musoma hapo Dodoma au Singida wapo tele nimeepua mmoja juzi kati hapa bei sawa na bure
Nipe ramani father of cats na mimi nijipatie shombe shombe from singidani..

kuchanganya dam ndio mpango
 
Back
Top Bottom