Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

umemaliza yote akhy, hawa watu kwa kule kuwa wanapumua na wanapata rizki zao basi kunawapa kiburi cha hali ya juu mpaka wanaanza kuhoji taratibu alizoziweka allah kwa waja wake, sasa wameanza kuwaonea wivu wanawake kwenye mahari sijui wanataka wapewe wao?.
 
katika vijana wa hovyo huyu naye ni mmoja wao.

hii kitu hata vitabu vya dini vinakubali kuonesha kwamba ina uthamani sana kwa wote wawili.

kama hujui hilo mwanamke ambaye hujaenda kwao ukatoa mahari hata hawezi kukuheshimu kama mume wake sana sana kila ukikoroma atakuuliza umenitolea mahari ?

katika mada na mawazo ya kijinga toka mwaka umeanza hii kwangu ni namba moja
 
katika mada na mawazo ya kijinga toka mwaka umeanza hii kwangu ni namba moja
Kuliku hakuna sababu ya msingi ya wewe kushiriki katika mada hii, kama umeiona haina maana.
 
Safi Sana [emoji2958][emoji2958]apime Kwa mizani kabisa aangalie na upande wake[emoji3577][emoji3577][emoji3539][emoji3539][emoji3539]
 
Mimi ni mwanamke, ila napinga sana swala la mahali! Namshukuru marehemu Baba yangu aliyekataa kutoza mahali akisema mwanangu siuzi! Mpaka kesho nitamuhsehimu kwa hilo! Kutoa mahali, tena wakati mwingine kubwa sana, haina maana kuwa mke ataheshimika; na kutotoa mahali, haimaanishi mke atadharauliwa, hakuna uhusiano wowte!
 
Kwa hiyo ndugu wazungu na waarabu walikuwa sawa kushirikana na machifu kuuza mababu zetu kwa kuwa thaminisha kwa viwango vya kifedha/mali kutokana na maumbile yao na nguvu walizo kuwa nazo ?
Kwani wazungu na waarabu hawana mahari?
 
Hakika wanawake aina yako ni wachache sana kwenye jamii, wenda wengi wao wana uelewa finyu wa mambo au malezi yame changia kuwa hivyo? sifahamu kwa kweli.

Kuna safari ndefu sana kupingana na hili jambo kwa kuanzia kwa waathirika wakubwa wa hili jambo ambao ni wanawake, wa napaswa kwa asilimia kubwa waji tafakari namna utu wao unavyo dharilika kupitia swala la mahari wenda tu hawa fahamu.
 
Utashangaa india wahindu wanawake ndio hulipa mahari,
Mahari ni zaidi ya ufikiriavyo wewe, hununui wala hakuna kuuzwa ndio maana mkishindwana anarudi kwao yaani mnaachana na wengine wanatengana
Jitahidi kusoma, kusoma ni kuelimika
 
Utashangaa india wahindu wanawake ndio hulipa mahari,
Mahari ni zaidi ya ufikiriavyo wewe, hununui wala hakuna kuuzwa ndio maana mkishindwana anarudi kwao yaani mnaachana na wengine wanatengana
Jitahidi kusoma, kusoma ni kuelimika
Moja wa msingi wa elimu kwangu ni kuya tafakari mambo mbali mbali kwenye jamii kwa kina zaidi tofauti na jamii inavyo yatafakari na kuya tafsiri kwa hiyo usitilie shaka kuhusu swala la mimi kujielimisha maana ndio kitu nachopenda sana maishani.

Swala la mahari nimeli tafakari kwa kina kuliko unavyo dhani ndio maana maoni yangu yamekuwa tofauti kwa asilimia kubwa na jamii inavyo lichukulia jambo kiwepesi.
 
S
Sawa, hongera kwa kusoma, labda hujasoma quran na biblia,
Wala usingehangaika na suala la mahari lisingekusumbua

Au freemanson?
 
S

Sawa, hongera kwa kusoma, labda hujasoma quran na biblia,
Wala usingehangaika na suala la mahari lisingekusumbua

Au freemanson?
Asante kwa mchango wako, kuhusu freemason jibu ni hapana sifungamani na huo upande.
 
Yaani upewe uroda bureeee, na watoto waje bureeee, halafu uwaambie mimi mama yenu sikumpa chochote
 
naona unanipangia cha kufanya sasa baada ya kuninunulia bundle 😀
Hakuna mahali nilipo kupangia wewe matumizi ya data zako lakini kwa busara zaidi kulikuwa hakuna ulazima wa wewe kushiriki kwenye hii mada ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…