Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini kwa wanafunzi mashuleni hutaki, mahari nayo kwa wanawake hutaki. Natamani nikujueHabari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu lihitwalo “MAHARI”
Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa au kuolewa.
Mahari ni kitendo kinacho shusha utu wa watu hapa duniani kwa wake na kwa waume hauna tofauti na biashara ya utumwa iliyo kuwa imemea hapa duniani Karne za 19 kurudi karne nyuma iliyo husisha kununua watu walio thaminishwa kwa viwango mbalimbali vya kifedha na kimali kutokana na maumbile yao na uwezo wao wa kinguvu.
Duniani mpaka sasa kwa asilimia kubwa watoto wa kike wana thaminishwa kama bidhaa sokoni kwa kigezo cha mahari kama utamaduni kitu ambacho kinavunja utu wa mtu kwa kuwa mtu hawezi kuthaminishwa kwa kiwango chochote kile cha fedha au mali.
Sasa wazazi wameshikwa na viburi vya kitamaduni za kitumwa kwa kuwa thaminisha wanao kutokana na tabia nzuri walizo nazo wanao au uzuri wa rangi/ maumbile ya wanao na kutaja viwango mbali mbali vya kifedha au mali mfano [ Mzazi anasema“ hauwezi kuoa mwanangu bila million 5-10 au bila ng'ombe 10-2 ]
Huu utamaduni wa mahari ulio mbaya unao vunja utu wa watu hapa dunia umekaliwa kimya sana na dunia tofauti na tamaduni nyingine kama ukeketaji, ndoa za utotoni, biashara ya utumwa wakati wa ukoloni n.k hizi ni baadhi ya tamaduni zilizo pigiwa kelele na dunia mpaka kukoma nyingine kupungua kwa kasi sana hapa duniani.
Ushauri binafsi: Kwa nini fedha/mali zinazo tumika kukamilisha biashara hii ya utumwa[ mahari ] visiwanye wazazi wa pande zote mbili wakutane kwa pamoja na kukusanya fedha ua mali hizo kwa pande zote mbili na kuwa changia watoto wao fedha za kuanzia maisha yao kitu ambacho kitakuwa msaada kwao na kwa maisha yao.
Maswali:
1. Kwa nini dunia ipo kimya kuhusu komaa kwa biashara hii ya utumwa ya kuuza watu kwa kigezo cha tamaduni ?
2. Licha ya kuwa wanawake ndio waathirika wakuu wa biashara hii ya utumwa iitwayo mahari, kwa nini wame likalia kimya swala hili ?
3. Kwa nini wapiganiaji wakuu wa swala la usawa wa kijinsia na haki za binadamu wame likalia kimya swala hili la biashara ya utumwa linalo vunja utu wa binadamu kwa kigezo cha mahari ?
4. Je ni haki na ni sahihi mtu kuendelea kuthaminishwa kwa viwango vya kifedha au mali ?
5. Kwa nini wanawake walio wengi hawataki kuolewa bila kunuliwa ? Na hutambiana wao kwa wao kwa viwango vya kifedha au mali vilivyo tumika kuwa nunua ?
Karibuni wadau kwa michango yenu, Ila zingatieni zaidi mada husika na maswali tajwa.
Mwili wa mtu sio zawadi mpaka iletewe mahari, mwanamke kufurahia mahari ni kuto uthamini utu wake.Mahari si utumwa, Mahari haimnunui Mtu bali mahari ni shukrani kwa Wazazi baada ya kumtunza binti akawa mwenye tabia njema hadi ukapenda kumuoa na shukrani kwa Binti kwa kuutunza Usichana wake hadi Ndoa,
Kwa Waislam Mahari ni ya Binti yeye ndie hupanga aolewe kwa kiasi gani iwe cha fedha, madini au kitu kama Masahafu, n.k,
Kwa Makabila kila Moja lina utaratibu wake lakini pia Mahari inamuheshimisha Binti huko aendako wasidhani ameokotwa tu bali ametolewa kwa Wazazi wake na ukakabidhiwa akiwa mzima mwenye Afya sasa wewe nenda kamfuje Binti wa watu kwa kisingizio Umemnunua ndio utajua kilichomtoa Kanga manyoya ni nini.
Mleta mada aombe Mungu saba amuondolee umaskiniNjaa ni hatari sana kwa afya ukiwa nayo, usiombee yakukute Ndugu yangu [emoji847]
Jitahidi kukuza uwezo wako wa kupambanua mambo, usichukulie kila jambo ni kasumba hata kama linajenga tafasiri isiyo sahihi ndani ya jamii.Mleta mada aombe Mungu saba amuondolee umaskini
Kwa mawazo yangu nashauri wanaume wote malofa hawatakiwi kuoa waende kuwa mapadri kanisa katoliki mambo ya kuoa na kuliipa mahali wawachie wenye uwezo wasio na manung'uniko yeyote ya mahari
Mahari yanahusu wenye nacho mleta mada kama huna nenda kanisa katoliki lolote lililo karibu na wewe uwaombe kuwa unataka kuwa padri au Bruda
Ya kuoa achana nayo utadaiwa mahari ambayo kwa ulofa wako huna
Mahari ni kipimo kama muoaji ana uwezo wa kutunza huyo anaoaJitahidi kukuza uwezo wako wa kupambanua mambo, usichukulie kila jambo ni kasumba hata kama linajenga tafasiri isiyo sahihi ndani ya jamii.
SahihiToa mahari mkuu, acha kulialia
Kama wewe ni mwanamume upo kwenye kundi lijulikanalo kama EFFEMINATE. Kifupi wanaume tunasema MAN DOWN!!Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu lihitwalo “MAHARI”
Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa au kuolewa.
Mahari ni kitendo kinacho shusha utu wa watu hapa duniani kwa wake na kwa waume hauna tofauti na biashara ya utumwa iliyo kuwa imemea hapa duniani Karne za 19 kurudi karne nyuma iliyo husisha kununua watu walio thaminishwa kwa viwango mbalimbali vya kifedha na kimali kutokana na maumbile yao na uwezo wao wa kinguvu.
Duniani mpaka sasa kwa asilimia kubwa watoto wa kike wana thaminishwa kama bidhaa sokoni kwa kigezo cha mahari kama utamaduni kitu ambacho kinavunja utu wa mtu kwa kuwa mtu hawezi kuthaminishwa kwa kiwango chochote kile cha fedha au mali.
Sasa wazazi wameshikwa na viburi vya kitamaduni za kitumwa kwa kuwa thaminisha wanao kutokana na tabia nzuri walizo nazo wanao au uzuri wa rangi/ maumbile ya wanao na kutaja viwango mbali mbali vya kifedha au mali mfano [ Mzazi anasema“ hauwezi kuoa mwanangu bila million 5-10 au bila ng'ombe 10-2 ]
Huu utamaduni wa mahari ulio mbaya unao vunja utu wa watu hapa dunia umekaliwa kimya sana na dunia tofauti na tamaduni nyingine kama ukeketaji, ndoa za utotoni, biashara ya utumwa wakati wa ukoloni n.k hizi ni baadhi ya tamaduni zilizo pigiwa kelele na dunia mpaka kukoma nyingine kupungua kwa kasi sana hapa duniani.
Ushauri binafsi: Kwa nini fedha/mali zinazo tumika kukamilisha biashara hii ya utumwa[ mahari ] visiwanye wazazi wa pande zote mbili wakutane kwa pamoja na kukusanya fedha ua mali hizo kwa pande zote mbili na kuwa changia watoto wao fedha za kuanzia maisha yao kitu ambacho kitakuwa msaada kwao na kwa maisha yao.
Maswali:
1. Kwa nini dunia ipo kimya kuhusu komaa kwa biashara hii ya utumwa ya kuuza watu kwa kigezo cha tamaduni ?
2. Licha ya kuwa wanawake ndio waathirika wakuu wa biashara hii ya utumwa iitwayo mahari, kwa nini wame likalia kimya swala hili ?
3. Kwa nini wapiganiaji wakuu wa swala la usawa wa kijinsia na haki za binadamu wame likalia kimya swala hili la biashara ya utumwa linalo vunja utu wa binadamu kwa kigezo cha mahari ?
4. Je ni haki na ni sahihi mtu kuendelea kuthaminishwa kwa viwango vya kifedha au mali ?
5. Kwa nini wanawake walio wengi hawataki kuolewa bila kunuliwa ? Na hutambiana wao kwa wao kwa viwango vya kifedha au mali vilivyo tumika kuwa nunua ?
Karibuni wadau kwa michango yenu, Ila zingatieni zaidi mada husika na maswali tajwa.
Soma hapo uelimike:Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu lihitwalo “MAHARI”

Kuwepo kwenye Biblia haimaanishi ni AMRI ya MunguMahari ipo mpaka kwa biblia tangu Yakobo alichunga kwa miaka saba kama malipo ya kuchukua mke, malezi ya mtoto wa kike sio kazi ndogo
Ukiwa na akili za kuvukia lami tu huwezi ng'amua tulichoking'amua sisi wazee wa CubaAndiko halizungumzii kushindwa kulipa kwa mahari, tuzingatie andiko.
Karibu kwa maoni yako ndugu.