Unajua nini mzee, ngoja nilielezee hili from Islamic point of view,,
Uislam unafundisha kwamba,,mahali ni zawadi unayompa mwanamke unayemuoa,, nielewe kwanza hapo ni ZAWADI
Zawadi ya aina gani ni huyo mwanamke ataitaja Kwa kuzingatia upendo wenu na wala sio utajiri wako, Kwa maana mahali ni mali ya mwanamke ambaye kimsingi mkishaona ni Mali yenu wote.
Kwa mfano anaweza akukuambia mahali yake anaitaji tu "Msaafu" just Msaafu kile kitabu.
Kwahiyo yale mambo wajomba na mashangazi kukaa kujadili mahali ya binti hayo mambo tumejitungia Kwa tamaa zetu wenyewe
Familia ilibidi imuache binti mwenyew aamua anataka nini au kiasi gani cha fedha kulingana na ananvyoujua uchumi wa mpenzi wake
Kinyume na hapo ni tamaaa tu, na cha ajabu zaidi familia zinazijiweza kiuchumi ndio huwa zinataka fedha nyingi kama mahali ya binti yao, wanahela ni wasomi lakin wanamfanyia biashara binti yao.
Haya mahaangaiko yote duniani ni mawili,,hatufati maelezo ya mungu au tunafanya tuliyokatazwa na mungu
Sent using
Jamii Forums mobile app