The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwa uelewa wako neno MAHARI wewe unalitafsirije?
Tuanzie hapo kwanza.
Tuanzie hapo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli hivi
Kwa uelewa wako neno MAHARI wewe unalitafsirije?
Tuanzie hapo kwanza.
Muweke mimba, wazazi watakubali mkae mezani. Unalipaje mahari ya 4m kwa maisha yapi hasa?Me mwenyewe ningeshavuta chombo ila mrembo tetesi alinambia mahali wanaanziaga Mill 4 ukipunguziwa 3.5 nikiwaza sina maisha
Mkuu sio kwamba mimba inaweza ikaleta shida zaidi mfano kutoa faini na mahari kulipa ikabaki pale pale nipe uzoefu mkuuMuweke mimba, wazazi watakubali mkae mezani. Unalipaje mahari ya 4m kwa maisha yapi hasa?
Kitu ajabu wanaopinga mahari kuwa zinadhalilisha wanawake ni wanaume ukiwemo weweMahari ni uhuni wa kumdunisha Mwanamke
Ukizalisha mahari inaongezeka unapigwa faini kwa kupiga mimba mtoto.wa mtu bila kuoaMuweke mimba, wazazi watakubali mkae mezani. Unalipaje mahari ya 4m kwa maisha yapi hasa?
Nikiamua kutolipa nitapelekwa mahakamani?Ukizalisha mahari inaongezeka unapigwa faini kwa kupiga mimba mtoto.wa mtu bila kuoa
Umwambie hayo maneno huyo uliyemtia mimba kuwa silipi mahari usikie atakachokujibuNikiamua kutolipa nitapelekwa mahakamani?
Msimamo wangu sio kutolipa mahari, msimamo wangu ni kukataa kulipishwa mahari kubwa kuliko uwezo wangu wakati nampenda binti yao.Umwambie hayo maneno huyo uliyemtia mimba kuwa silipi mahari usikie atakachokujibu
Usiulize humu Jamii Forums wala hata usihangaike kuuliza wazazi wake muulize yeye kwanza kuwa msimamo wako hutaki kulipa mahari
Nyerere alikuwa Mwanaume kama mahari mbaya aachie wanawake ndio wasemeNyerere alikuwa anapinga utamaduni wa mahari, akisema ni utamaduni mbaya unaoshusha utu wa mwanamke.
Ukisoma biographies za Nyerere za kina Shivji wameandika kirefu.
Oa mwanamke saizi yako kuanzia kipato acha kuparamia watoto.wa kike wanaotoka kwenye familia zenye uwezo wakati kwenu maskini wa kutupwaMsimamo wangu sio kutolipa mahari, msimamo wangu ni kukataa kulipishwa mahari kubwa kuliko uwezo wangu wakati nampenda binti yao.
Kitu ajabu wanaopinga mahari kuwa zinadhalilisha wanawake ni wanaume ukiwemo wewe
Wanawake wenyewe wako kimya
Inashangaza kuona eanaume ndio wanakuwa vinara kama wasemaji wa wanawake
Ee Mungu tunusuru watoto wa kiume wengi kugeuka mashoga na kutwa kuongelea mambo ya wanawakr likiwemo hili la mahari badala ya kuwaachia wanawake wenyewe ndio waseme mahari wanaionaje
Kwa mtoto.wa kuume kuongelea kuwa mahari inadhalilisha wanawake wakati wanawake wenyewe wako kimya na hawaoni shida kuna tatizo kwa watoto wa kiume wasema hayo
Inabidi kuwaangalia kwa jicho la pili kama bado ni watoto wa kiume au wamegeukq kuwa mashoga
Waachiwe wanawake wenyewe wayaongelee kuwa wai binafsi wanaonaje swala la kulipiwa mahari
Haya yote yanaletwa na hali ngumu ya maisha,huwezi ukawa na hela alafu ukaanza kulialia kutozwa 2M.
2M inasaidia kama sio yote inaishia kwenye shughuli za harusi
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Exactly
Wanawake ndio waseme kuwa mahari ni biashara ya utumwa na inadhalilisha wanawake or not
Wanaume wakae mbali awe Nyerere au mleta mada au mwanaume yeyote wakae mbali wasubiri kauli za wanawake wenyewe wabaoolewa kwa kulipiwa mahari watoe tamko Maria Nyerere akiwa mmoja wa wanawake waliolipiwa mahari atoe tamko