Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.Oa mwanamke saizi yako kuanzia kipato acha kuparamia watoto.wa kike wanaotoka kwenye familia zenye uwezo wakati kwenu maskini wa kutupwa
Kaoe maskini wenzio huko ambako ukilipa mahari elfu hamsini kijiji kizima kinalipuka kwa furaha kuwa kalipa hela nyingi elfu 50
Oa saizi yako kupunguza complications zisizo na lazima kama hizo za ohh wananipangia mahari kubwa wakati mimi maskini Kaoe maskini wenzio
Acha kujipitisha pitisha na kuvizia watoto wa kike watoka familia zenye uwezo
Sio kweli uongoUmenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.
Hii ni butter trade sasa, siyo ndoa.Sio kweli uongo
Mwanamke anakuja kwako anahitaji kula,navazi nk atakula mapenzi na kuvas Mapenzi
Familia zenye uwezo huhakiki kabisa unahojiwa hadi ukome kwanza utaukizwa wewe shughuli zako za kukuingixia kipato ni zipi hawaozi kwa mtu asiyeekeweka kipato chake cha kueleweka sio cha ohh siku moja moja mimi huwa naokota embe dodo chini ya mwembe
Msichana Material sasa hivi akubali kuvua nguo na kutaka kuishi na wewe burebure tu tu sio rahisi sababu wanajua fika wazazi wake hata wawe na pesa vipi akishaolewa hawataleta nyumbani hata robo kilo ya sukari mjinjue wenyewe huko
Usifikiri ukioa mtoto wa mwenye pesa ukishaoa mzazi atahangaika na wewe na mkeo mtajijua wenyewe huko
Huyo mahari yake msahafu tu hana mbwembwe, watu wa mwinyazi Mungu haoneno lako FaizaFoxy kuhusiana na hili tafadhali
nasubiri mchango wakeHuyo mahari yake msahafu tu hana mbwembwe, watu wa mwinyazi Mungu hao
Uongo mnadabganyana vijiweni na huko vijiwe vya watsapp na tiktok muoaji uer na pesa ya kutunza mkeo na watoto vinginevyo kitakachokukuta kwenye hiyo nfoa ni just a matter of time utajuta kuoa na utakia kama mbwa kuwa ohh mwanamke jeuri sijaeahi ona abachonifanyia nitaumwa pressure nkUmenichekesha mkuu, mapenzi hayaangalii utajiri au umasikini.
Mahara yana wenyewe wewe nenda uwanja wa fisi kajitwalie mke wa buleMAHARI SIO LAZIMA, NI MILA POTOFU YA KUPIGWA VITA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya Mila potofu isiyo na maana ni suala la Mahari. Hakuna sababu hata Moja yenye Maana ya MTU kutoa Mahari ndipo akabidhiwe MKE au Mume. Ni ujinga tuu! Na jamii ambayo sio za kiungwana ndio hufanya desturi hizo.
Uliwahi kujiuliza Kwa nini unatoa/unatolewa Mahari?
Mahari inamaanisha nini kwenye mahusiano ya ndoa?
Mahari inaongeza au kupunguza nini kwenye mahusiano ya ndoa Mpya?
Utoaji wa Mahari ni Mila na desturi za kizamani zilizopitwa na Wakati. Zimepitwa na Wakati Kwa sababu hazina uhalisia wowote. Na zimelenga kufanya biashara ya kumuuza MTU(Mwanamke) kama Bidhaa Fulani hivi.
Ni marufuku mabinti wa Tibeli kutolewa Mahari. Marufuku! Mimi kama Baba Yao, nimetamka kuwa Binti zangu hawatatolewa Mahari Kamwe. Kwa sababu Watibeli hawatolewi Mahari wala hawatoi Mahari.
Mfumo dume wa kununua Wanawake Kwa kile kiitwacho Mahari umelenga kuwageuza Wanawake kama Bidhaa fulani, kwamba Mahari ya Binti huyu ni milioni 2 au tatu au Ng'ombe nne. Ndio nini sasa, upumbavu tuu!
Unajua haya mambo wamefanya Wazee wetu(tunawaheshimu) lakini lazima tukubali kuwa kuna mambo hayakuwa na maana yoyote Ile.
Matokeo yake wazazi walafi na wenye uroho WA fedha waliwauza mabinti zao Kwa wanaume wenye vipato bila kujali hisia za mabinti zao kama wanawapenda hao wanaume au Laah!
Watumwa ndio wanauzwa, Watu huru hawauzwi. Binti za Tibeli ni Watu Huru. Hawauzwi wala kujiuza. Binti aliyehuru au wazazi wenye Hekima kamwe hawawezi mgeuza Binti Yao mtumwa na kumuuza Kwa mwanaume mwingine Kwa Ile biashara yenye jina la Mahari. Hilo halitotokea.
Binti huru anahaki zote za kuchagua Mume ampendaye, akaolewa na kuanzisha mji wake Kwa Moyo WA mapenzi. Na sio Aolewe Kwa Pesa ili baadaye Huko ndoani kitu kidogo tuu nilikutolea Mahari. Kitu kidogo tuu haukunitolea Mahari. Come on!
Ni jamii ya Watu wajinga wenye Akili za gizani wanaolipishana Mahari. Ujingaujinga tuu!
Yaani wazee wazima mnakaa mnajadili na ku-bargain kiasi cha Pesa za Binti yenu. Huo ni ujinga wa kiwango cha juu Kabisa. Alafu mwishowe ati mmoja anakuwa na deni kisa ameshindwa kumaliza.
Sijui mwingine anatolewa Mahari ya laki mbili, mwingine elfu 80, mwingine milioni tano mwingine milioni kumi. Yaani kama Watu waliochanganyikiwa. Hivi kweli Baba mwenye Akili kabisa unayempenda Binti yako unakubali kabisa kujadili thamani ya Binti yako na Pesa. Wanaume tuweni serious kidogo. Tuache mambo ya kijingajinga.
Binti amepata Mchumba, anayoruhusa ya kuja nyumbani kumtambulisha, kisha taratibu za sherehe za kumuaga Binti zianze huku upande wa pili wa Bwana harusi wakiandaa sherehe ya kumpokea Bibi Harusi. Sio lazima iwe sherehe kubwa Ila ni muhimu kufanyika kulingana na kipato chenu.
Kwa Vijana WA Zama hizi mambo yasiyo na maana yoyote yatazidisha mitafaruku isiyo na maana. Ndio maana Wazungu wao walishaachanaga na mambo ya Mahari miaka mingi iliyopita.
Mwanaume unapoenda kuoa sehemu au kwenda ukweni ni lazima uwe na Zawadi kadiri ya uwezo wako. Sio unaenda mikono mitupu kama mjinga. Halikadhalika na Mwanamke uendapo ukweni lazima uende na Zawadi. Hiyo Zawadi haitahesabika kama Mahari. Kumaanisha Hautapangiwa na yeyote Ila utaifanya Kwa mapenzi na uwezo wako WA Wakati huo.
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyoendesha mambo yetu.
Nimemaliza! Mwenye swali aweza kuuliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
TakbirKiislam mahari ni ya mke tu, siyo ya ukoo. Inaweza kuwa chochote kile cha halali, hata aya ya Qur'an tu. Mradi binti mwenyewe karidhia. Simpo.
Kwa imani na mila zingine sifahamu umuhimu wake.
Allahu Akbar.Takbir
Waongee wanawake walioolewa kwa mahari akiwemo Maria Nyerere,Mama Samia Suluhu Hassan Raisi wa Tanzania, Spika wa bunge mama Tulia Ackson, Mke wa Raisi Mstaafu Mwinyi na Kikwete,,Wabunge walioolewa wake wa viongozi wakubwa kama mke wa Malecela waziri mkuu na mstaafu mama Anna Kilango na wengineo kama mke wa waziri Mkuu Majaliwa,mke wa Raisi Hussen Nwinyi raisi wa Zanzibar mke wa Makamu wa Raisi ,na waje wa mawaziri kibao ,wanawake majaji ,wanawske maproffessor kibao walioolewa kwa mahari nk ndio watoe tamko.kama mahari ni utumwa na biashara ya slave tradeHii ni butter trade sasa, siyo ndoa.
Huu ujumbe umetulia sana tafuta wa aina yako oaOa mwanamke saizi yako kuanzia kipato acha kuparamia watoto.wa kike wanaotoka kwenye familia zenye uwezo wakati kwenu maskini wa kutupwa
Kaoe maskini wenzio huko ambako ukilipa mahari elfu hamsini kijiji kizima kinalipuka kwa furaha kuwa kalipa hela nyingi elfu 50
Oa saizi yako kupunguza complications zisizo na lazima kama hizo za ohh wananipangia mahari kubwa wakati mimi maskini Kaoe maskini wenzio
Acha kujipitisha pitisha na kuvizia watoto wa kike watoka familia zenye uwezo
Mkuu kule India wanaume ndio wanalipiwa mahari vip hapo wanaume pia tunafanywa bidhaa?MAHARI SIO LAZIMA, NI MILA POTOFU YA KUPIGWA VITA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya Mila potofu isiyo na maana ni suala la Mahari. Hakuna sababu hata Moja yenye Maana ya MTU kutoa Mahari ndipo akabidhiwe MKE au Mume. Ni ujinga tuu! Na jamii ambayo sio za kiungwana ndio hufanya desturi hizo.
Uliwahi kujiuliza Kwa nini unatoa/unatolewa Mahari?
Mahari inamaanisha nini kwenye mahusiano ya ndoa?
Mahari inaongeza au kupunguza nini kwenye mahusiano ya ndoa Mpya?
Utoaji wa Mahari ni Mila na desturi za kizamani zilizopitwa na Wakati. Zimepitwa na Wakati Kwa sababu hazina uhalisia wowote. Na zimelenga kufanya biashara ya kumuuza MTU(Mwanamke) kama Bidhaa Fulani hivi.
Ni marufuku mabinti wa Tibeli kutolewa Mahari. Marufuku! Mimi kama Baba Yao, nimetamka kuwa Binti zangu hawatatolewa Mahari Kamwe. Kwa sababu Watibeli hawatolewi Mahari wala hawatoi Mahari.
Mfumo dume wa kununua Wanawake Kwa kile kiitwacho Mahari umelenga kuwageuza Wanawake kama Bidhaa fulani, kwamba Mahari ya Binti huyu ni milioni 2 au tatu au Ng'ombe nne. Ndio nini sasa, upumbavu tuu!
Unajua haya mambo wamefanya Wazee wetu(tunawaheshimu) lakini lazima tukubali kuwa kuna mambo hayakuwa na maana yoyote Ile.
Matokeo yake wazazi walafi na wenye uroho WA fedha waliwauza mabinti zao Kwa wanaume wenye vipato bila kujali hisia za mabinti zao kama wanawapenda hao wanaume au Laah!
Watumwa ndio wanauzwa, Watu huru hawauzwi. Binti za Tibeli ni Watu Huru. Hawauzwi wala kujiuza. Binti aliyehuru au wazazi wenye Hekima kamwe hawawezi mgeuza Binti Yao mtumwa na kumuuza Kwa mwanaume mwingine Kwa Ile biashara yenye jina la Mahari. Hilo halitotokea.
Binti huru anahaki zote za kuchagua Mume ampendaye, akaolewa na kuanzisha mji wake Kwa Moyo WA mapenzi. Na sio Aolewe Kwa Pesa ili baadaye Huko ndoani kitu kidogo tuu nilikutolea Mahari. Kitu kidogo tuu haukunitolea Mahari. Come on!
Ni jamii ya Watu wajinga wenye Akili za gizani wanaolipishana Mahari. Ujingaujinga tuu!
Yaani wazee wazima mnakaa mnajadili na ku-bargain kiasi cha Pesa za Binti yenu. Huo ni ujinga wa kiwango cha juu Kabisa. Alafu mwishowe ati mmoja anakuwa na deni kisa ameshindwa kumaliza.
Sijui mwingine anatolewa Mahari ya laki mbili, mwingine elfu 80, mwingine milioni tano mwingine milioni kumi. Yaani kama Watu waliochanganyikiwa. Hivi kweli Baba mwenye Akili kabisa unayempenda Binti yako unakubali kabisa kujadili thamani ya Binti yako na Pesa. Wanaume tuweni serious kidogo. Tuache mambo ya kijingajinga.
Binti amepata Mchumba, anayoruhusa ya kuja nyumbani kumtambulisha, kisha taratibu za sherehe za kumuaga Binti zianze huku upande wa pili wa Bwana harusi wakiandaa sherehe ya kumpokea Bibi Harusi. Sio lazima iwe sherehe kubwa Ila ni muhimu kufanyika kulingana na kipato chenu.
Kwa Vijana WA Zama hizi mambo yasiyo na maana yoyote yatazidisha mitafaruku isiyo na maana. Ndio maana Wazungu wao walishaachanaga na mambo ya Mahari miaka mingi iliyopita.
Mwanaume unapoenda kuoa sehemu au kwenda ukweni ni lazima uwe na Zawadi kadiri ya uwezo wako. Sio unaenda mikono mitupu kama mjinga. Halikadhalika na Mwanamke uendapo ukweni lazima uende na Zawadi. Hiyo Zawadi haitahesabika kama Mahari. Kumaanisha Hautapangiwa na yeyote Ila utaifanya Kwa mapenzi na uwezo wako WA Wakati huo.
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyoendesha mambo yetu.
Nimemaliza! Mwenye swali aweza kuuliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kumbe wewe ni mwanamke? Sikujuwa hapo kabla.Waongee wanawake walioolewa kwa mahari akiwemo Maria Nyerere,Mama Samia Suluhu Hassan Raisi wa Tanzania, Spika wa bunge mama Tulia Ackson, Mke wa Raisi Mstaafu Mwinyi na Kikwete,,Wabunge walioolewa wake wa viongozi wakubwa kama mke wa Malecela waziri mkuu na mstaafu mama Anna Kilango na wengineo kama mke wa waziri Mkuu Majaliwa,mke wa Raisi Hussen Nwinyi raisi wa Zanzibar mke wa Makamu wa Raisi ,na waje wa mawaziri kibao ,wanawake majaji ,wanawske maproffessor kibao walioolewa kwa mahari nk ndio watoe tamko.kama mahari ni utumwa na biashara ya slave trade
Wanaume wa shut up.wasubiri kauli ya wanawake wasiwasemee
Wanawake wana Wana midomo sio mabubu na wanajielewa hawahitaji wanaume wawakilishe kwenye hili
Kwa nini unaona mahari ni jambo la wanawake tu?Waongee wanawake walioolewa kwa mahari akiwemo Maria Nyerere,Mama Samia Suluhu Hassan Raisi wa Tanzania, Spika wa bunge mama Tulia Ackson, Mke wa Raisi Mstaafu Mwinyi na Kikwete,,Wabunge walioolewa wake wa viongozi wakubwa kama mke wa Malecela waziri mkuu na mstaafu mama Anna Kilango na wengineo kama mke wa waziri Mkuu Majaliwa,mke wa Raisi Hussen Nwinyi raisi wa Zanzibar mke wa Makamu wa Raisi ,na waje wa mawaziri kibao ,wanawake majaji ,wanawske maproffessor kibao walioolewa kwa mahari nk ndio watoe tamko.kama mahari ni utumwa na biashara ya slave trade