Mahekalu ya maaskofu kufuru

Mahekalu ya maaskofu kufuru

Kuna watu ni waongo...

Yaani upo radhi kukubaliana na kilichoandikwa na magazeti ya kidaku pasipo kushirikisha ubongo wako...

Hivi wewe unajua jumba ambalo lapaswa kufananishwa na hekalu???

Tunasema ni mahekalu kwa sababu hakuna kati ya waumini wao wana nyumba za hadhi kama za kwao. Mbaya zaidi Mch Lwakatare kajenga hekalu lake kwenye mdomo wa mto unapoingia baharini. Wizara ya ardhi na NEMC walipotaka kuibomoa kakimbilia mahakamani. Hakusimamisha ujenzi hadi amemaliza na kuhamia! Sasa sijui serikali inaogopa watu wa dini au vipi maana wale wengine waliojenga pwani visivyo walibomolewa. Serikali haina dini na mtu yeyote akivunja sheria ashughulikiwe ipasavyo.
 
hivi yesu alikua tajiri?
Hakukaa sana katika utumishi wake duniani kwani alitumika miaka mitatu tu kama angekaa angalau miaka 10 au 15 labda angekuwa trilionea wa wakati ule kwani yeye alifanya vitu live kama kufufua alifufua kweli sio hawa wanaochonga watu
 
Jamaa wanakopa benki na marejesho yanafanywa kupitia sadaka za kila wiki kuna mchungaji mmoja .......kachukua bilioni 3 mwaka jana benki ya ......... Mwanzo meneja hakuamini atazirejesha vipi akapitia deposits zake kwa kila jumatatu akashangaa jinsi figure zinavyotisha mkopo ukatoka na dhamana ni hilo kanisa hii biashara ya dini ni balaa mamilionea hawa wataendelea kuongeza utajiri wao hadi baaaaaasssssiiiiii wacha waseme wanachukia umasikini hivi kwakuwa kuna easy money watu wakitoa sadaka kidogo anapiga neno wanarudi tena wanajaza makapu na viroba
 
Mambo ya double double na fungu la kumi, ila hawaulizi watu wamepata wapi pesa za kutoa fungu la kumi ili kama ni chafu zisipokelewe, utafiti nilioufanya mdogo wengi wanaotoa mahela mengi fedha hizo ni chafu, haziitajiki machoni pa Mungu. na wengi wanatoa kwa kujionyesha tofauti na maagizo ya Mungu kwamba mtua napotoa sadaka hata mkono wa pili usione bali awasiliane yeye binafsi na Mungu wake. Vilevile lisemwalo lipo kuwa kuna tetesi kuwa viongozi wa makanisa wanajishghulisha na biashara haramu za madawa ya kulevya..hata Rais Kikwete alishalisema hili kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine hajasema kitu kuhusu Riz.
 
Tunasema ni mahekalu kwa sababu hakuna kati ya waumini wao wana nyumba za hadhi kama za kwao. Mbaya zaidi Mch Lwakatare kajenga hekalu lake kwenye mdomo wa mto unapoingia baharini. Wizara ya ardhi na NEMC walipotaka kuibomoa kakimbilia mahakamani. Hakusimamisha ujenzi hadi amemaliza na kuhamia! Sasa sijui serikali inaogopa watu wa dini au vipi maana wale wengine waliojenga pwani visivyo walibomolewa. Serikali haina dini na mtu yeyote akivunja sheria ashughulikiwe ipasavyo.

pembe;
Acha wivu wa kitoto huo. Hao waliootesha mihekalu hiyo huko pembezoni mwa bahari, huko Mbezi, Salasala, Mikocheni etc. Unamaana ni wapagani?? Wote hao wana dini zao au utuambie kuwa mmeamua tuu kuwachafua Watumishi wa Mungu.
Mbona sijaona Hekalu lolote hapo jamani? Hivyo mbona vibanda tuu? Mtathubutu kuvilinganisha na hayo yanayoitwa ni ya Riz??? Acheni kuwachafua hawa watumishi wa Mungu aliye hai. Hawa wamewekeza hapa hapa Tz. Hao walizificha Uswiss hamuwasemi mnalia na wenye vijibanda.
Kwa ufahamisho wako hata miye ninako kakibanda ka gorofa moja, sasa ni mwaka wanne tangu nilale humo, natoa sadaka saafi wala sina haja ya kuchukia Nabii wa Bwana akilala pazuri.
Kuwa nabii siyo kuishi kimasikini. Nenda kwake akuombee usitafute umaarufu kwa kuwachafua. Utapigwa na Mungu weye. Shaurilo!
 
ETI? NI WAPI ILIANDIKWA KWAMBA BWANA YESU ALIKUSANYA SADAKA NA FUNGU LA KUMI AKACHUKUA?
WAPI?
WAPI?
:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Jamaa wanakopa benki na marejesho yanafanywa kupitia sadaka za kila wiki kuna mchungaji mmoja .......kachukua bilioni 3 mwaka jana benki ya ......... Mwanzo meneja hakuamini atazirejesha vipi akapitia deposits zake kwa kila jumatatu akashangaa jinsi figure zinavyotisha mkopo ukatoka na dhamana ni hilo kanisa hii biashara ya dini ni balaa mamilionea hawa wataendelea kuongeza utajiri wao hadi baaaaaasssssiiiiii wacha waseme wanachukia umasikini hivi kwakuwa kuna easy money watu wakitoa sadaka kidogo anapiga neno wanarudi tena wanajaza makapu na viroba

Halali yao kula maana wanayemtumikia alitoa mwongozo kuwa wa Madhabahuni watakula vya madhabahuni kama vipi unaona wanafaidi sana na wewe anzisha tu kanisa.
 
Mbona hizo ni nyumba za kawaida kabisa kulingana na hadhi yao? Unatataka waishi katika nyumba za nyasi?
Ebwana kweli zakawaida sana sana.Kama ya kakobe hata bank hawakupi mkopo kwa hiyo nyumba.
 
Back
Top Bottom