jokalakibisa
Member
- Aug 20, 2014
- 24
- 5
safi sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasema ni mahekalu kwa sababu hakuna kati ya waumini wao wana nyumba za hadhi kama za kwao. Mbaya zaidi Mch Lwakatare kajenga hekalu lake kwenye mdomo wa mto unapoingia baharini. Wizara ya ardhi na NEMC walipotaka kuibomoa kakimbilia mahakamani. Hakusimamisha ujenzi hadi amemaliza na kuhamia! Sasa sijui serikali inaogopa watu wa dini au vipi maana wale wengine waliojenga pwani visivyo walibomolewa. Serikali haina dini na mtu yeyote akivunja sheria ashughulikiwe ipasavyo.
yaaa alikuwa tajiri ili alifanyika maskini ili sisi tuje tuwe matajiri kuelewa mpaka uwe na jicho la Rohoni vinginevyo utaambulia patupu.
Hakukaa sana katika utumishi wake duniani kwani alitumika miaka mitatu tu kama angekaa angalau miaka 10 au 15 labda angekuwa trilionea wa wakati ule kwani yeye alifanya vitu live kama kufufua alifufua kweli sio hawa wanaochonga watuhivi yesu alikua tajiri?
Zako si wanafaidi malaya na pombe
nani tuungane tujenge kanisa?
Maisha ni ya hapa ni nani ajuaye ya huko juu?
Tunasema ni mahekalu kwa sababu hakuna kati ya waumini wao wana nyumba za hadhi kama za kwao. Mbaya zaidi Mch Lwakatare kajenga hekalu lake kwenye mdomo wa mto unapoingia baharini. Wizara ya ardhi na NEMC walipotaka kuibomoa kakimbilia mahakamani. Hakusimamisha ujenzi hadi amemaliza na kuhamia! Sasa sijui serikali inaogopa watu wa dini au vipi maana wale wengine waliojenga pwani visivyo walibomolewa. Serikali haina dini na mtu yeyote akivunja sheria ashughulikiwe ipasavyo.
Teh teh teh..... wajinga ndio waliwao, ati jicho la rohoni. KALAGABAHO
Jamaa wanakopa benki na marejesho yanafanywa kupitia sadaka za kila wiki kuna mchungaji mmoja .......kachukua bilioni 3 mwaka jana benki ya ......... Mwanzo meneja hakuamini atazirejesha vipi akapitia deposits zake kwa kila jumatatu akashangaa jinsi figure zinavyotisha mkopo ukatoka na dhamana ni hilo kanisa hii biashara ya dini ni balaa mamilionea hawa wataendelea kuongeza utajiri wao hadi baaaaaasssssiiiiii wacha waseme wanachukia umasikini hivi kwakuwa kuna easy money watu wakitoa sadaka kidogo anapiga neno wanarudi tena wanajaza makapu na viroba
Ebwana kweli zakawaida sana sana.Kama ya kakobe hata bank hawakupi mkopo kwa hiyo nyumba.Mbona hizo ni nyumba za kawaida kabisa kulingana na hadhi yao? Unatataka waishi katika nyumba za nyasi?