PostGE2025 Mahesabu Mabovu: Utofauti kati ya mauaji ya Tanganyika 2025 na Zanzibar 2001

PostGE2025 Mahesabu Mabovu: Utofauti kati ya mauaji ya Tanganyika 2025 na Zanzibar 2001

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hiyo Agents walioigiza mkono wao ndo walikua wanateka wakina madude, polepole, Ali kibao punguzeni ujinga kwenye vichwa vyenu
Mkuu kwani hao uliowataja sababu ya wao kupata madhara ina tofauti na sababu ya waliopata madhara octoba?
 
Kila jambo lina wakati wake
Rise and fall
For this time we are falling down..
 
Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, Jina lako nitamu sana, Nilalapo nakuota wewe, Niamkapo ni heri mama wee, Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania, Tanzania, Ninapo kwenda safarini, Kutazama maajabu, Biashara nayo makazi, Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu kabisa, Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania, Tanzania, Watu wengi wanakusifu, Siasa yako na desturi, Zilituletea uhuru, Hatuwezi kusahau sisi, Mambo mema ya kwetu hakika, Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote.
MUNGU LINDA NCHI YANGU NA WANANCHI WAKE UWAPE TUMAINI KTK NYAKATI ZOTE
 
Kauli mbiu ya 09/12 itakuwa tunataka Tanganyika irudi Bibi wa Kizimbani arudi kwao.

Kikwete na Bakwata watembelewe au mnasemaje Ma Gen Z???.
 
Sawa Malcom.... Je machafuko haya kuna mkono wa International agents? Nahisi kama kuna wageni wameingiza sera zao ili wanufaike nashindwa kuamini kama ni maamuzi ya Watanzania dhidi ya watanzania wenzao

Napata wasi wasi na hawa wawekwzaji wa hivi karibuni
Ndo maana mlizoea kuwaita watanzania manyumbu!!
Sasa mnashangaa nyumbu kapata wapi akili ya kupambana na simba?
Uchawi,dawa zimeoza,hakuna zindiko tena juu ya watanzania linalofanyakazi akili zao walizopewa na Mungu zibafanya kazi.sasa watendeeni haki na siyo dhuruma
 
Back
Top Bottom