Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

Hizo sequence ulizozitaja haitakaa itokee Tanzania labda akina Lema na Tundu Lisu wakiwa madarakani
 
Raisi aliyeko madarakani anapewa umwenyekiti wa chama fasta.

Huyo mtu atakayejaribu kuibua hiyo hoja tutamshugulikia dakika tatu.

Yaaani yeyote atakayejaribu tunamvua uanachama wa CCM, awe spika au mbunge yeyote.

Usicheze na amiri jeshi mkuu tena pia mwenyekiti wa chama.
 
Kuna intervention ya JWTZ pale usidhani itakuwa kirahis rahisi tu.

Jana umemsikia CDF akituma ujumbe kwa watu wenye hako kamtazamo, kuna tetesi zilianza kusikika sasa jana CDF akaweka wazi na anawajua wahuni ndani ya chama wanaoweza kufanya lobbying dhidi ya Mama Samia.
 
Wapinzani katika ubora wenu mmeanza tena kutuletea ramli zenu chonganishi!!!

FYI utabiri wako will never come to pass - Serikali ya CHAMA tawala na Wabunge wake hawawezi kuruhusu mpasuko wowote ndani ya Serikali na kwenye CHAMA,wana inbuilt mechanisms za kuhakikisha hilo halitokei hasilani - kama ulisikiliza vizuri rai ya CDF jana kuna kitu alipaswa kujifunza i.e ungefikiri mara mbili kabla hujatuletea bandiko lako hapa. Good day.
 
Mpaka awahi! Na katiba inasema akivunja bunge uchaguzi unarudiwa. Kama alivyosema "Bwege" (mbunge mmoja wa awamu iliyopita), "ngoma inaanza upyaaaaa". Wasiyemtaka wanamshughulikia huko huko!
Huijui Katiba ya JMT nyamaza!!
 
Ndugai akikubali kujadiliwa naibu spika atamzunguka asubuhi Ndugai Mgonjwa huyoo India Naibu spika anaipiga chini hoja yao, Ndugai ndo kwa heri na Tulia ndio spika kwa kishindo. Akina Mama hoyeeee.Ni timing tu. Tulia kaona mwenzi kalamba dume hatotaka kupoteza. Najaribu kuwaza tu.
 
Tanzania bado hatujafikia hizo level
 
Umeshaona wengine huko wanamtishia asipangue safu. Aendelee na walewale, wakafanye yaleyale, mahali palepale kwa mtindo uleule
Kwani we hutaki unachotaka ni nini, speed ipungue hutaki watu kuwajibishwa wanapokosea au unataka nini mtanzania
 
Hata ambapo kuna democracy hayo mambo kutokea ni nadra sana, sana ndio ije itokee kwa viongozi wanaotokana na wananchi wajinga wa Tanzania??
 
Mambo ni mengi muda ni mchache... Twaweza tarajia visivyotarajiwa lakini maono na ndoto visidharauliwe...
"Nalipata kwandika humu..."
TUSIPOBADILIKA... TUTAKAPOISHI KWA VISASI AMA UONGO KWA MASLAHI YETU BADALA YA TAIFA...
TUSIPOISIMAMIA KWELI NA KUIISHI...
TUMUOMBE SANA MUUMBA "VIKOMBE" VITUEPUKE
 
Kwa utaratibu unaoueleza hapo unaitishwa uchaguzi upya hakuna makamu kuapishwa kuwa Rais isome katiba vizuri ukifukuza Rais ni uchaguzi upya.
 

Ama kweli mhimili uliokuwa umejichimbia zaidi kuliko mingine alikuwa ni jiwe mwenyewe wala si serikali kama mhimili.
 
Ile siku wanakaa kikao, wanapelekewa wajeda ili kulinda usalama wao.

Na wengine wanawekwa ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi

Usicheze na mtu aitwaye Amiri jeshi mkuu
Na Mabeyo kashaji - declare, tupo nyuma yako mama.. [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…