Sisi ya kwetu ni maoni tu.Wanaompinga hasa wako huko huko Palestina.Wanamuona kama kibaraka wa Israel.Mtu mweusi bhana! Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina kafanya maamuzi kwa niaba ya anaowaongoza, eti mtu mmoja mweusi wa Kagongwa anapinga!
hii ndio shida yetu kubwaMtu mweusi bhana! Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina kafanya maamuzi kwa niaba ya anaowaongoza, eti mtu mmoja mweusi wa Kagongwa anapinga!
Sisi ya kwetu ni maoni tu.Wanaompinga hasa wako huko huko Palestina.Wanamuona kama kibaraka wa Israel.Mtu mweusi bhana! Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina kafanya maamuzi kwa niaba ya anaowaongoza, eti mtu mmoja mweusi wa Kagongwa anapinga!
Ndg Yangu mbona una uchungu na Palestina kuliko hata wapalestina wenyewe?Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.
Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.
Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.
Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat
Umewahi kutafuta maoni ya wapalestina ukaona kati ya Mahmoud Abbas na genge lake ni wangapi wanaowachukia Hamas na wanaoipenda Palestina.Ndg Yangu mbona una uchungu na Palestina kuliko hata wapalestina wenyewe?
Hivyo wewe ni mpalestina mazalendo kuliko Abbas rais wao?
Ujinga unapokuwa mzigo. Kwahiyo wafungwa 2000 waachiwe halafu walio huru 60000 wauawe hiyo ndio akili. Pumbavu kabisa. Hata hizo ardhi zilizochukuliwa si ni kwasababu ya Hamas, kama sio kuvamia hiyo Oct 7 hizo mambo zingekuwepo? Unajua athari jamii ya Gaza mpaka sasa. Watoto hakuna shule kila siku mabomu ni kukimbia na sasa hiv wanaeda kuhamishwa upuuz kabisa. Hamas ni wasengerema waliochangamkaHajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.
Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.
Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.
Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat
Wewe ndio mwanaharakati wa Kipalestina, nipatie huo utafitiUmewahi kutafuta maoni ya wapalestina ukaona kati ya Mahmoud Abbas na genge lake ni wangapi wanaowachukia Hamas na wanaoipenda Palestina.
Karibuni yataisha hayo.Ujinga unapokuwa mzigo. Kwahiyo wafungwa 2000 waachiwe halafu walio huru 60000 wauawe hiyo ndio akili. Pumbavu kabisa. Hata hizo ardhi zilizochukuliwa si ni kwasababu ya Hamas, kama sio kuvamia hiyo Oct 7 hizo mambo zingekuwepo? Unajua athari jamii ya Gaza mpaka sasa. Watoto hakuna shule kila siku mabomu ni kukimbia na sasa hiv wanaeda kuhamishwa upuuz kabisa. Hamas ni wasengerema waliochangamka
Yataishia wap wewe kama muiran mwenyewe kaamua kukaa mezan na mmarekanKaribuni yataisha hayo.
wewe akili huna kweli ukiangalia hapo Hamas wanasaidia wapalestina wanaendelea kufa kama kuku huku Hamas inawang'ang'ania mateka 59 Sasa Hamas wanapambana Nini kushindwa kulinda raia wa gazaHajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.
Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.
Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.
Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat
Ugaidi una Dini moja tu, UISLAMUHajielewi hata anachosema.

Ilikuea uanze wewe uliyeona Mahmoud Abbas ni bora kuliko Hama.Wewe ndio mwanaharakati wa Kipalestina, nipatie huo utafiti
Mahmoud Abbas yupo eneo la tukio miaka yote hii, na ni kiongozi wa wapalestina. Wewe upo Dar na unaokoteza habari kwenye mitandao na vijiweni. Unafikiri unaelewa zaidi masuala ya wapalestina kuliko yeye?Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.
Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.
Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.
Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat
Hamas ndio wako maeneo nyeti zaidi ya matukio kuliko yeye.Nani anaelewa zaidi kati yao.Mahmoud Abbas yupo eneo la tukio miaka yote hii, na ni kiongozi wa wapalestina. Wewe upo Dar na unaokoteza habari kwenye mitandao na vijiweni. Unafikiri unaelewa zaidi masuala ya wapalestina kuliko yeye?
Kwa hiyo wewe uko na Hamas kwenye hayo maeneo nyeti?Hamas ndio wako maeneo nyeti zaidi ya matukio kuliko yeye.Nani anaelewa zaidi kati yao.