Mahmoud Abbas amechanganyikiwa. Isingekuwa ulinzi wa Israel Hamas wangemuweka ndani

Mahmoud Abbas amechanganyikiwa. Isingekuwa ulinzi wa Israel Hamas wangemuweka ndani

Mtu mweusi bhana! Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina kafanya maamuzi kwa niaba ya anaowaongoza, eti mtu mmoja mweusi wa Kagongwa anapinga!
kama wewe huna hoja kwenye hili ni kheri tu ukakaa kimya usome hoja za wengine. Heshima ni kitu cha bure, wafundishe wanao hekima na busara utakuwa umelisaidia taifa hili pia kupunguza visirani
 
Mtu mweusi bhana! Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina kafanya maamuzi kwa niaba ya anaowaongoza, eti mtu mmoja mweusi wa Kagongwa anapinga!
Rais Abbasi kachelewa,angalia Palestina ilivyo chalazwa na majeshi ya Israeli.
 
Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.

Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.

Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.

Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.

Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat
Mahmoud Abbas Mungu wa lsrael, lsaka na Yakobo akupe maisha marefu, busara na hekima uendelee kuliongoza taifa lako maana umechagua fungu lililo bora la amani na watu wote bila kujali watasemaje au watanionaje Mungu wa mbinguni akubariki sana sana Amina 🙏🙏🙏
 
Rais Abbasi kachelewa,angalia Palestina ilivyo chalazwa na majeshi ya Israeli.
Angebaki kimya tu akasubiri ushindi kamili kupitia rehma za Allah.
Kama ana uchngu na wapalestina angewafungulia ghala la silaha wapalestina wanaomzunguka ambao kila siku wananyang'anywa ardhi zao na mahamiaji wakilindwa na jeshi la Idf
 
Syria detains two leaders of Palestinian Islamic Jihad​

By Reuters
April 22, 20257:22 PM GMT+8Updated 2 days ago

April 22 (Reuters) - Syrian authorities have detained two senior members of the Palestinian militant faction Islamic Jihad, which took part in the October 2023 attacks on Israel from Gaza, the group's armed wing and a Syrian official said on Tuesday.
In a statement, the Al Quds Brigades said Khaled Khaled, who heads Islamic Jihad's operations in Syria, and Yasser al-Zafari, who heads its organisational committee, had been in Syrian custody for five days.
The Reuters Tariff Watch newsletter is your daily guide to the latest global trade and tariff news. Sign up here.
The group said the men had been detained "without any explanation of the reasons" and "in a manner we would not have hoped to see from brothers", and called for their release.
An official from Syria's interior ministry confirmed the detentions, but did not respond to follow-up questions on why the pair had been arrested. A Palestinian source in Damascus also confirmed the arrests.
Islamic Jihad joined its ally Hamas, Gaza's ruling group, in the attack on Israel in 2023. It is a recipient of Iranian funding and know-how, and has long had foreign headquarters in Syria and Lebanon.
Advertisement · Scroll to continue

But its allies in both countries have recently suffered devastating blows: an Israeli air and ground offensive last year severely weakened the Lebanese Iranian-backed group Hezbollah, and Syria's leader Bashar al-Assad, closely allied to Tehran, was ousted by a rebel offensive last year.
The new Islamist leadership in Damascus has cut diplomatic ties with Iran and is hoping to rebuild Syria's regional and international backing, not least to eliminate sanctions and fund reconstruction after a brutal 14-year civil war.
 
Huyu anaongea kinyume na ugaidi wa dini yenu, atakosa mabikira
 
Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.

Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.

Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.

Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.

Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1915065377253466171
 
Kila siku unalialia tu kuilaumu israel kwa kuvunjwa majengo na Mahandaki wala hujasema kwa nini wanafanya hivyo unajifanya hujui walichofanya wapalestina hao hapo Oct 07,2023?
Na ni kweli kabisa kuna kitengo ki Ewę kwa kuwasaidia wapalestina kuhamishwa kutoka Gaza waendelee sehemu nyingine hiyo ni kweli kabisa na wewe Mmatumbi mwenzangu huna uwezo huo utabaki kulia na kubwabwaja ovyo ovyo tu.
Mahmud Abbas hawezi kusaidia kuachiliwa kwa Wabakaji wezi,Watekaji na wauaji ambao yeye mwenyewe hajawahi kuwatuma kufanya unyama huo hivyo yuko sahihi hata kuwaita hao ni wana wa Mbwa Iran
 
Back
Top Bottom