Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Ni kweli Rahisi ni T.LissuTL ndio rahisi. Ni ngumu kuamini lakini Mungu kashamchagua.
Lakini Rais pekee wa nchi hii hadi 2025 ni JOHN POMBE MAGUFULI(rais bora Africa).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Rahisi ni T.LissuTL ndio rahisi. Ni ngumu kuamini lakini Mungu kashamchagua.
Huyu mbeligiji ni mpuuzi sana
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na mcha Mungu sio msaliti wa Nchi km yule wa Chadema
TL ndio rahisi. Ni ngumu kuamini lakini Mungu kashamchagua.
English ni moja ya official languageUswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Umenena kweli jomba..Lissu ni rahisi na ndio maana Urais hauwezi..Ni mrahisi mno yaani mwepesi, Hana uzito wa kuwa Rais..fullstopTL ndio rahisi. Ni ngumu kuamini lakini Mungu kashamchagua.
Nafikiri Tanzania hairuhusu uraia pachaWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Kampeni zinaendelea. Leta hoja nyingine
English ni moja ya official language
Ok ndiyo maana anaroho ya kikatili yuleAhaa mbona tayari wanatutawala kutoka Burundi..People used to die in ze lakes
Propaganda nyingine za kitoto. Kama kweli tuna serikali makini, serikali inayojua kuwa sheria zetu haziruhusu uraia pacha, inawezekanaje mtu mwenye uraia pacha akateuliwa kuwa mgombea urais bila kuwekewa pingamizi? Idara ya uhamiaji IPO au haipo? Serikali IPO au haipo?Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Haters et alMshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Tuwe makini na wagombea wanaoleta ubaguz na kumaliza hela zetu kwa kumpa MAYANGA CONSTRUCTIONWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Mbona yule mmoja yy ana raiya wa rwandaWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
We na vibwengu wanzio naona unekenua kwan ulikiri kushiriki kumpiga risas na ulishangaa kwann hajafaUko sawa kabisa, hiyo ni moja kati ya Dalili KUU za mental disorder (ugonjwa wa akili), Binadamu wa kawaida na mwenye akili timamu kama ulivyosema risasi moja tu inamtosha kujitafakari kuhusu maisha yake na Familia yake kwanza, ...
Tuepuke sana, tusije tukawa Cameroon inayoongozwa na Rais anayeishi uswis