Uchaguzi 2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

Uchaguzi 2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

Hiyo heading isomeke kusimamishwa na tume ya maadili siyo NEC ni upotoshaji.Ondoa neno NEC

TL ndio rahisi. Ni ngumu kuamini lakini Mungu kashamchagua.
Umenena kweli jomba..Lissu ni rahisi na ndio maana Urais hauwezi..Ni mrahisi mno yaani mwepesi, Hana uzito wa kuwa Rais..fullstop
 
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Nafikiri Tanzania hairuhusu uraia pacha
Anyway ulikua unaongea na darasa la saba wanaekuamini
Enyi watanzania wa STD 7 Tanzania hairuhusu uraia pacha huyu ni muongo anawadanganya
Kwa hio kauli zake zote tupa kwenye jalala
 
So what?

Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
 
English ni moja ya official language

Siyo kweli, kama unaongelea nchi ya Uswisi ina lugha Kuu 3/4, ya kwanza Kijerumani ambapo ni zaidi 68% ya Waswisi Kijerumani ni lugha mama yao, halafu ikifuatiwa na Kifaransa na lugha ya tatu ni Kiitaliano kwa maana Uswisi imepaka na Italia pia, lkn Kiingereza siyo lugha rasmi Uswisi , ...
 
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Propaganda nyingine za kitoto. Kama kweli tuna serikali makini, serikali inayojua kuwa sheria zetu haziruhusu uraia pacha, inawezekanaje mtu mwenye uraia pacha akateuliwa kuwa mgombea urais bila kuwekewa pingamizi? Idara ya uhamiaji IPO au haipo? Serikali IPO au haipo?
Kama tunaruhusu mambo haya wakulumiwa ninani? Ni mwenye uraia pacha au vyombo vya ulinzi I link na usalama? Kama vyombo vya ulinzi vimefanya kazi yake ipasavyo, nani anamkingia kifua Tundu Lisu asichukuliwe hatua? Ni mabeberu? Ni Amiri jeshi mkuu?
 
Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Haters et al
 
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Tuwe makini na wagombea wanaoleta ubaguz na kumaliza hela zetu kwa kumpa MAYANGA CONSTRUCTION
 
Uko sawa kabisa, hiyo ni moja kati ya Dalili KUU za mental disorder (ugonjwa wa akili), Binadamu wa kawaida na mwenye akili timamu kama ulivyosema risasi moja tu inamtosha kujitafakari kuhusu maisha yake na Familia yake kwanza, ...
We na vibwengu wanzio naona unekenua kwan ulikiri kushiriki kumpiga risas na ulishangaa kwann hajafa
 
Nashauri Lissu akubali kufungiwa Ili apige kampeni kwa njia ya YouTube, Facebook ,Twitter, Instagram, tiktok, whatsapps, telegram ,Badoo, nyumba kwa nyumba, redio, TV na magazeti,

Kura yangu na mke wangu kapata shaka kwa wengine tu ambao wanavichwa vigumu.
 
Back
Top Bottom