Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kuu ya kwanza kwa mwana diplomasia ni kuwa diplomatic!.Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Mtangazaji wa BBC angesubiri MOUs zisainiwe kwanza.Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Huyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.Sifa kuu ya kwanza kwa mwana diplomasia ni kuwa diplomatic!.
One doesn't have to be rude without just cause!. Being very confident is always good in diplomatic relations.
P
Mmmh hatariiiiHii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Nitaitafute niisikilize nione kama nami nitakuja na conclussions kama hiziHuyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
Una conclusion mbovu sana, utadhani alikuwa anaongea na mume wake...Huyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
Yawezekana alihisi mtangazaji anataka kumpeleka kusiko.Sifa kuu ya kwanza kwa mwana diplomasia ni kuwa diplomatic!.
One doesn't have to be rude without just cause!. Being very confident is always good in diplomatic relations.
P
Jamaa alikua anatulisha tangopori. Nimesikiliza sijaona sehemu katika hiko kipande kilichowekwa kinacho reflect hiyo conclusion yake.Una conclusion mbovu sana, utadhani alikuwa anaongea na mume wake...
Unajua maana ya diplomacy? Angekuwa anawakilisha Russia si angeongea upumbavu wa kijinga kabisa...
This is bad, and she should take responsibility.
Huyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
Huyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasiaHuyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
Watawajibishwa wangapi?Hapo waziri
Amechemka sana. Huyu awajibishwe kama hataki kujiuzulu kwa hiari.