Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

Hakuna kitu kibaya alichojibu huyo waziri sikiliza tena kama hujui English sema tukusaidie. Ukute unajadili hapa kwa ushabiki tu kama mlivyo hovyo sana wengi wenu pasi na kujua kilichojiri.

Waziri kamjibu kwa hekima sana huyo mwandishi shida ni kwamba mwandishi alitaka ajibiwe anayopenda kuyasikia.

Sema wewe shida ya waziri iko wapi katika hiyo clip? Unataka waziri ajibizane kwa ule utoto? Angemtukana au kumdharau si mngekuja na ujinga mwingine?
Hebu tuwekee hapa hiyo convo ya mwandishi na waziri katika style ya

Mwandishi:
Wazuri:
Mwandishi:
Waziri

Ikikupendeza itafsiri kanisa kuwa Kiswahili
 
Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?

Ni kitu gani hakina majibu...
We unaijua sababu ya waziri kukatisha interview? Dakika 7 za mahojiano kwako ni chache? Then kwa maswali yale alorudia rudia waziri angempa muda gani?

Halafu kauliza petty issues sana kwa ufupi ni mwandishi kanjanja kama kina mwijaku tu!
 
Mtu aliyekua Katibu Mkuu wa SADC kwa zaidi ya 8 years na kuwa Senior Civil Servant unasema bado kujifunza? Pili umesikiliza clip yote au nawewe umedandia mtumbwi wa vibwengo?
Mkuu bado kuwa Civil Servant na kuwa Diplomat ni vitu viwili tofauti.

Huwezi kumfananisha Dr Tax na mzee Membe mmoja ni Civil servant na mwingine ni top diplomat.

Mimi nimeangalia conlusion ya maongezi, na madiplomat huwa hawamalizi kwa namna hiyo kwa kuzingatia hadhira ni dunia nzima.

Ukizingatia kuna ugeni mwingine ulikuwepo kutoka Russia.

Kwenye duru za kidiplomasia huwa kuwakuwa na masuala mengi ya kutaka kuyasikia kutoka kwenye hizi interviews.
 
We unaijua sababu ya waziri kukatisha interview? Dakika 7 za mahojiano kwako ni chache? Then kwa maswali yale alorudia rudia waziri angempa muda gani?

Halafu kauliza petty issues sana kwa ufupi ni mwandishi kanjanja kama kina mwijaku tu!
Unazungumzia Dk7 unaweza sema baada ya ku cut communication huyo wazir wako ameenda kufanya kaz gani ya maana?

Diplomat ana shape dialogue akiwa na int. interviewer ana slip na hiyo ndio inaipa nchi yetu heshima... wewe unamuona huyo mama kafanya la maana kwakuwa unadhan anaemuhoji anapeleka Radio one au Clouds kipindi cha michezo.
 
Huyo Razia ni mhindi aliezaliwa Uganda kisha wakahamia huko ughaibuni.

Hawa huwa wakimwona mtu kutoka Afrika Mashariki huwa waanza ile mizaha ile.

Wajiona wao wametuzidi kwa kila kitu hali wao nao walizaliwa Afrika lakini wametoboa.
Ni kitu nilichokua nikihisi tu kuwa huyu na element za uafrika maana alikua anauliza ki hovyo sana huku akiweka mihemko.. kauliza vitu vingi ambavyo havina relevance na kiushabiki mno...

Baada ya hii short brief yako sasa nimepata jibu mkuu. Ningeshangaa sana style ile ya uulizaji angefanya mwandishi nguli wa ulaya...

Halafu anasema kabisa eti nilikua bado na maswali mengi sana ya kumuuliza waziri kwamba huyo waziri hana shughuli nyingize za kufanya ajibu maswali yake hata yakiwa 100?

Kijitu cha hovyo sana aisee.
 
Mkuu bado kuwa Civil Servant na kuwa Diplomat ni vitu viwili tofauti.

Huwezi kumfananisha Dr Tax na mzee Membe mmoja ni Civil servant na mwingine ni top diplomat.

Mimi nimeangalia conlusion ya maongezi, na madiplomat huwa hawamalizi kwa namna hiyo kwa kuzingatia hadhira ni dunia nzima.

Ukizingatia kuna ugeni mwingine ulikuwepo kutoka Russia.

Kwenye duru za kidiplomasia huwa kuwakuwa na masuala mengi ya kutaka kuyasikia kutoka kwenye hizi interviews.
Mtu amekuwa katibu mkuu wa SADC, katibu mkuu foreign affairs kwamba ana ugeni gani? Ukisikiliza ile clip yote ungeelewa kwanini.
 
Unazungumzia Dk7 unaweza sema baada ya ku cut communication huyo wazir wako ameenda kufanya kaz gani ya maana?

Diplomat ana shape dialogue akiwa na int. interviewer ana slip na hiyo ndio inaipa nchi yetu heshima... wewe unamuona huyo mama kafanya la maana kwakuwa unadhan anaemuhoji anapeleka Radio one au Clouds kipindi cha michezo.
Heshima gani we unafikiri huyo kanjanja na uchwara nani wa maana anamsikiliza kwa huo utoto?

Unasema waziri ameacha interview aende kufanya kazi gani ya maana? Seriously? Utakua mtoto wewe.
 
Waziri alijibu maswali yote aliyoulizwa vizuri sana.
Angevumilia tu mpaka mwisho, kwa vyovyote vile, majibu yake yalionesha ukomavu kidiplomasia.
Hata angemuuliza hadi asubuhi? We unaweza katisha kazi zako ukahojiana na mtu for the whole day?

Ingekua kwenye kipindi maalum tungekubali lakini si kwa mkurupuko kama huo.
 
Ni kitu nilichokua nikihisi tu kuwa huyu na element za uafrika maana alikua anauliza ki hovyo sana huku akiweka mihemko.. kauliza vitu vingi ambavyo havina relevance na kiushabiki mno...

Baada ya hii short brief yako sasa nimepata jibu mkuu. Ningeshangaa sana style ile ya uulizaji angefanya mwandishi nguli wa ulaya...

Halafu anasema kabisa eti nilikua bado na maswali mengi sana ya kumuuliza waziri kwamba huyo waziri hana shughuli nyingize za kufanya ajibu maswali yake hata yakiwa 100?

Kijitu cha hovyo sana aisee.
Mimi pia nimepitia masuala haya ya diplomasia hivyo hata mtu akitumia lugha gani kuna namna ya kuendeleza mazungumzo.

Sasa hawa wenzetu huwa wana vijikaratasi ambavyo vimeandikwa masuali yote na hutumia kuuliza masuali ambayo hujiandaa nayo.

Sasa wewe kama diplomat nawe wapaswa kuwa tayari kwa masuali mengine nje ya yale unoulizwa.

Ukiona masuali yazidi kuna namna ya kukatiza hayo masuali na ni jinsi unavyomjibu muuliza masuali.

Hizi ni mbinu wanadiplomasia hujifunza.
 
Heshima gani we unafikiri huyo kanjanja na uchwara nani wa maana anamsikiliza kwa huo utoto?

Unasema waziri ameacha interview aende kufanya kazi gani ya maana? Seriously? Utakua mtoto wewe.
Unaabudu vitu vya kijinga sana bwanamdogo.

Waziri wa nchi kama Tz ana kaz gani seriously..
 
Mimi pia nimepitia masuala haya ya diplomasia hivyo hata mtu akitumia lugha gani kuna namna ya kuendeleza mazungumzo.

Sasa hawa wenzetu huwa wana vijikaratasi ambavyo vimeandikwa masuali yote na hutumia kuuliza masuali ambayo hujiandaa nayo.

Sasa wewe kama diplomat nawe wapaswa kuwa tayari kwa masuali mengine nje ya yale unoulizwa.

Ukiona masuali yazidi kuna namna ya kukatiza hayo masuali na ni jinsi unavyomjibu muuliza masuali.

Hizi ni mbinu wanadiplomasia hujifunza.
Nimekaa MFA for several years kabla ya kwenda viwanja na huyo mama ni mbobevu mzuri tu. Kumtendea haki nakushauri isikilize ile clip ya dakika 7 kabla ya kufanya conclusions.
 
Hebu jaribu kufikiria alikua kwenye harakati za kuset protocols na ugeni uliopo we ungepoteza muda?

Waziri ni mtu mzito sana kubali au kataa.
mkuu unachoongea sio utaratibu wa kidiplomasia..kama mh alikuwa na haraka mwanzoni kabisa hata kabla hajaanza kuhojiwa huwa anasema ninakupa dk 5 tu maana kuna mahali ninahitajika na mwanahabari angemhoji ndani ya huo muda.

..endapo angekuwa amesahau kumwambia mwanahabari kuwa hana muda mrefu wa mahojiano basi angemwambia in a polite diplomatic language kuwa anakatisha maongezi eg. "I am very sorry I am attending other urgent issues now, please let us talk later".
 
Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?

Ni kitu gani hakina majibu...
Kama ameshajibiwa mwanzoni unataka ajibiwe nini tena? Tafuta full interview achana na hiko kipande ulicholetewa.
 
Back
Top Bottom