KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Hongera sana Mh Mama Samia&Co
Mmeuthibitishia umma wa Watanzania kuwa mmefuzu masomo kule Cuba nk
Mmeuthibitishia umma wa Watanzania kuwa mmefuzu masomo kule Cuba nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima kujibu kila kituShe didn't end conversations, she cut the interviewer on air.. that's reprehensible.
Je kam anaitwa darling na mwanaume mwenzake😀We Lusungo na wewe unakuwa kama hujui hata JF members ni human beings!, baada ya kuitwa darling, unaitwa bebi, mtu anakushukia pm, mwishowe...
We vipi vitu vidogo hivi huelewi!. Mimi mwenzako nimeisha kirimiwa sana na wana jf!, kuna wana JF wenye roho nzuri huwezi kuamini!, ukiitwa darling, just respond the same!, faida ni nyingi kuliko hasara!.
P
Kam mwafuatilia mambo haya ya diplomasia JK akiwa raisi na ziarani US alikumbana na mwandishi matata wa CNN Christiane Amanpour ambae alimuuliza mambo yafananayo na hilihili la ushoga na kadhalika.Maskini alitaka kukwepa swali la ushoga! Huwezi kuwa diplomat bila kujua kukwepa mishale! Diplomat huwa ni mnafiki hatoi jibu la kuangukia upande mmoja! Majibu ya diplomat huwa ni may be, tutaona, tutajadiliana etc. Tunasema JPM hakuwa diplomat kwa vile alisema anachokiamini ila JK alikuwa diplomat. Huwezi kujua msimamo wake, unafiki mwingi. Tax anatakiwa kuwa kama JK katika meza ile, asisahau kuwa alianza kazi kama secretary
She cut her off because the reporter was trying to put her into a corner.She didn't end conversations, she cut the interviewer on air.. that's reprehensible.
She is just a journalist and you are the minister so, you need to maneuver to come out by using your diplomatic language.She cut her off because the reporter was trying to put her into a corner.
Inawezekana hata hayo mahojiano hayakupangwa walimpigia tuu simu. Waziri kwa uungwana, akapokea na kuwapa hizo dakika sita ila alipoona anaendelea kuulizwa maswali ya siyo na kichwa akaamua kushukuru na kukata simu.Zile walkouts ni katika vikao vya UN hivyo Korea Kaskazini au Russia balozi akitoka ile ni protest.
Hapa twazungumzia interview na mwandishi wa habari kupitia simu.
Lusungo, Waziri ni mtu wa kawaida sana kama wewe na yule, usimvishe Umungu. hujawahi ona mahojiano ya maraisi tight weweHuyo muuliza maswali alionesha utoto wa hali ya juu sana licha ya huyo waziri kuwa calm na very focused kwenye alichoulizwa.
Mtu anafanya repetition zisizo na msingi na anaukiza maswali katika njia ya kutaka kusikia unayopenda au uliyopanga!
Waziri ni mtu mzito sana huwezi kumwekea maneno mdomoni.. huyo mama alifikia hadi kumwambia hawezi predict boss wake angejibu nini bado akaendelea kufanya utoto mbaya zaidi ni kama alikua akifanya mashindano flani na kudhamiria kumu outsmart waziri. Hivi waziri alivyo na ishu nyingi za kushughulikia unamfanyia utoto kiasi kile?
Huyo mwandishi ni wa hovyo sana
hapana, kafanya uto tax kazinguaGood job madam Tax
She already gave her about six minutes of her time and the reporter continued to hammer her with questions about LGBTQ community . We don't know whether, the interview was planned before hand or not. We can't just jump into a conclusion why she cut her off abruptly.She is just a journalist and you are the minister so, you need to maneuver to come out by using your diplomatic language.
This is when communication skills comes around.
Mkuu, a phone call from abroad straight to the minister? C'mon.Inawezekana hata hayo mahojiano hayakupangwa walimpigia tuu simu. Yeye waziri kwa uungwana akapokea na kuwapa hizo dakika sita ila alipoona anaendelea kuulizwa maswali ya kichokozi akaamua kushukuru na kukata simu.
International media ndiyo nini we kidali!!?..acha kupapatikia wazungu,Kama anauliza maswali ya kijuha umjibu tu na uendelee kufanya nae mahojiano!?Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?
Ni kitu gani hakina majibu...
She was right to end the interview if questions were about LGBTQ, we've alot of problems in Africa but our assholes has never been one of themShe already gave her about six minutes of her time and the reporter continued to hammer her with questions about LGBTQ community . We don't know whether, the interview was planned before hand or not. We can't just jump into a conclusion why she cut her off abruptly.
Huyo aliyemwita mwenzake darling kumbe ni mwanaume? Kazi ipoJe kam anaitwa darling na mwanaume mwenzake[emoji3]
Au unataka kutetea haki anazozungumzia mwandishi mwenzako ndugu mwanasheria?
Utakubali uitwe darlin na mtu usiyemjua😀???Huyo aliyemwita mwenzake darling kumbe ni mwanaume? Kazi ipo
Upo sahihi, nafikiri kidiplomasia bado unaweza kuendelea kusisitiza kile ulichokwisha jibu hata kama huyo mtangazaji atataka kukubana, wakati mwingine unaweza kusema, no comment....Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Mnamuonea mama tax, yupo very diplomatic, na professional, Je angekuwa professor WA jalalani si tungekuwa tumejifungia ndani ya jalala!!Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Hawa MSM huwa na narrative zao walizozianda, hakuna cha kutengeneza mahusiano wala nini. Hata anapotengeneza urafiki na wewe huwa ni kwaajili ya kutengeneza rapport ili ujiachie halafu wakulime vizuri.Mkuu, a phone call from abroad straight to the minister? C'mon.
Lazima kulikuwa na enquiries na waziri alikuwa akitegemea hiyo simu.
Hiyo nayo ni sehemu ya "protocols" ambazo zimefuatwa.
Tusitetee tu haya mambo bila kuangalia kwa undani?
Pale Kurasini wana kozi fupi iitwayo Protocal and Public Relations.
Hii kuna topic muhimu na inohusu mahusiano na vyombo vya habari inoitwa Managing Relations with Media.
Kwahiyo wasaidizi wa waziri wana kzaio ya kumuandaa waziri na masuala kama haya kwani wao wamejifunza pale.
Sasa akienda tena huko UK na akombwa aende Bush House na akakutana na huyo mwandishi si itabidi ajiandae kujibu masuali yaleyale?
Its about building relations with media khasa pale inapoongelewa kwamba media relations (khasa foregn media) huja na masuali mengi yenye kutatiza.