OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii inatosha kuwajibishwa. Katia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na juzi juzi Paul KagameHili linahitaji uzoefu kiongozi....sio kila mtu anamudu.
Unakumbuka mahojiano ya Ben..Mkapa (Rip) kule Bbc hard talk, enzi hizo akiwa Rais (top diplomat) ?
Yaani alikimbia swali 😁😁😁Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Yaani alikimbia swali 😁😁😁
Wasaka fursa watapingaHii inatosha kuwajibishwa. Katia aibu
Mkuu njinjo, unless kama ni yeye mwenyewe ameweka kwenye CV yake vinginevyo huku ni kuingilia the right to privacy za watu!.asisahau kuwa alianza kazi kama secretary
I think she handled herself well, these reporters know our stand on the issue, but they just like to stick it to us. The minister was basically telling her to keep that energy away.Can we go further from this point in English Darling,
This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.
Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.
And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.
In short your mom fumbled.
Mkuu njinjo, unless kama ni yeye mwenyewe ameweka kwenye CV yake vinginevyo huku ni kuingilia the right to privacy za watu!.
Mimi kuna Mhe. Mbunge mmoja mdada na RC mmoja, enzi za ujana walijihusisha na ile biashara na mimi nilikuwa mteja wao, sasa ni waheshimiwa sithubutu kusema walianzia wapi, vitu vingine kama wenyewe hawakasema usiviseme!.
P
Angesema kwa sasa inatosha, nina majukumu mengine, karibu tena wakati mwingine. Asante sana.Hata angemuuliza hadi asubuhi? We unaweza katisha kazi zako ukahojiana na mtu for the whole day?
Ingekua kwenye kipindi maalum tungekubali lakini si kwa mkurupuko kama huo.
Mimi nimeangalia conlusion ya maongezi, na madiplomat huwa hawamalizi kwa namna hiyo kwa kuzingatia hadhira ni dunia nzima.
Hivi huonagi hao madiplomasia wanavyo walk out kwenye UNGA pale anapokuja kuongea mtu wasiye mpenda?Mimi pia nimepitia masuala haya ya diplomasia hivyo hata mtu akitumia lugha gani kuna namna ya kuendeleza mazungumzo.
Teyari msimamo wa Tanzania kuhusu hii agenda uko wazi. Kwanza ilikuwa kwa mama mwenyewe, kuna siku alisema, (na-paraphrase) 'siyo yote ya ulaya ya kuiga, haya kama suti tunavaa tunapendeza sawa, yale mengine tuyaache'.Nadhan Mhe. Tax ni mzoefu sana kwenye platforms za kimataifa. Atakuwa alinusa maswali yanayofuaya... Kama Upunga..akaamua kukwit
Siyo lazima diplomat awe mnafiki, hiyo ni hulka tuu ya mtu. Moja ya top diplomat duniani ni Sergey Lavrov (FM wa Urusi toka 2004), huyu huwa harembi. Mwingine ni Subrahmanyam Jaishankar wa India, huyu amekuwa diplomat toka 1977, yeye hana kabisa tabia za JK za kinafiki anakupa za chembe bila kupepesa macho.Maskini alitaka kukwepa swali la ushoga! Huwezi kuwa diplomat bila kujua kukwepa mishale! Diplomat huwa ni mnafiki hatoi jibu la kuangukia upande mmoja! Majibu ya diplomat huwa ni may be, tutaona, tutajadiliana etc. Tunasema JPM hakuwa diplomat kwa vile alisema anachokiamini ila JK alikuwa diplomat. Huwezi kujua msimamo wake, unafiki mwingi. Tax anatakiwa kuwa kama JK katika meza ile, asisahau kuwa alianza kazi kama secretary
Remember she is a chief diplomatI think she handled herself well, these reporters know our stand on the issue, but they just like to stick it to us. The minister was basically telling her to keep that energy away.
Hawa ndio wanawake walio pewa nchi!!!!Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
View attachment 2571442
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Absolutely, and as a top diplomat she thanked the reporter and ended a conversation with no hard feelings.Remember she is a chief diplomat
She didn't end conversations, she cut the interviewer on air.. that's reprehensible.Absolutely, and as a top diplomat she thanked the reporter and ended a conversation with no hard feelings.
Zile walkouts ni katika vikao vya UN hivyo Korea Kaskazini au Russia balozi akitoka ile ni protest.Hivi huonagi hao madiplomasia wanavyo walk out kwenye UNGA pale anapokuja kuongea mtu wasiye mpenda?