Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

Sifa kuu ya kwanza kwa mwana diplomasia ni kuwa diplomatic!.
One doesn't have to be rude without just cause!. Being very confident is always good in diplomatic relations.
P
Hili linahitaji uzoefu kiongozi....sio kila mtu anamudu.

Unakumbuka mahojiano ya Ben..Mkapa (Rip) kule Bbc hard talk, enzi hizo akiwa Rais (top diplomat) ?
 
Una conclusion mbovu sana, utadhani alikuwa anaongea na mume wake...
Unajua maana ya diplomacy? Angekuwa anawakilisha Russia si angeongea upumbavu wa kijinga kabisa...

This is bad, and she should take responsibility.
Hakuna kitu kibaya alichojibu huyo waziri sikiliza tena kama hujui English sema tukusaidie. Ukute unajadili hapa kwa ushabiki tu kama mlivyo hovyo sana wengi wenu pasi na kujua kilichojiri.

Waziri kamjibu kwa hekima sana huyo mwandishi shida ni kwamba mwandishi alitaka ajibiwe anayopenda kuyasikia.

Sema wewe shida ya waziri iko wapi katika hiyo clip? Unataka waziri ajibizane kwa ule utoto? Angemtukana au kumdharau si mngekuja na ujinga mwingine?
 
Hapana PR lazima itumike unapojibu maswali under pressure. Angeweza kurudia tu majibu yale Yale yaliyo "nyutro" mpaka mjadala uishe. Kupanic panic hivyo hakufai kwenye diplomasia
Huo muda waziri anautoa wapi? Aendelee kurudia rudia hata kama watakua hewani for 10 hours?

Tone ya huyo mwandishi kilaza ilionesha kabisa anataka kusikia au kujibiwa nini! Stupid!
 
Jamaa alikua anatulisha tangopori. Nimesikiliza sijaona sehemu katika hiko kipande kilichowekwa kinacho reflect hiyo conclusion yake.
Tafuta hiyo clip ambayo ni ndefu achana na hiyo cropped sikiliza kisha rudi hapa. Wabongo si wadadisi na wafwatiliaji ndo maana wengi mnajadili tu hicho kipande cha sekunde 44. Kuna clip ya zaidi ya dakika saba mwambie mleta mada aiweke ili kuutendea haki uzi wake kisha rudi ujadili.
 
Hakuna kitu kibaya alichojibu huyo waziri sikiliza tena kama hujui English sema tukusaidie. Ukute unajadili hapa kwa ushabiki tu kama mlivyo hovyo sana wengi wenu pasi na kujua kilichojiri.

Waziri kamjibu kwa hekima sana huyo mwandishi shida ni kwamba mwandishi alitaka ajibiwe anayopenda kuyasikia.

Sema wewe shida ya waziri iko wapi katika hiyo clip? Unataka waziri ajibizane kwa ule utoto? Angemtukana au kumdharau si mngekuja na ujinga mwingine?
Can we go further from this point in English Darling,

This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.

Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.

And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.

In short your mom fumbled.
 
Tafuta hiyo clip ambayo ni ndefu achana na hiyo cropped sikiliza kisha rudi hapa. Wabongo si wadadisi na wafwatiliaji ndo maana wengi mnajadili tu hicho kipande cha sekunde 44. Kuna clip ya zaidi ya dakika saba mwambie mleta mada aiweke ili kuutendea haki uzi wake kisha rudi ujadili.
Sawa. Ila ulipaswa kuja na taarifa kamili katika maelezo yako. Bando gharama mkuu kwa akina sisi wa mikopo chechefu.
 
Can we go further from this point in English Darling,

This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.

Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.

And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.

In short your mom fumbled.
Umesikiliza mahojiano yote? Usiwe kama wehu wengine mnadakia analysis kwa kusoma heading tu...

Amemdharau wapi? Nimekuuliza waziri kakosea wapi unashindwa jibu unaleta utoto tu hapa.

Why calling darling? Unanijua?
 
Kazingua kinoma, nawaza kwa mtu calibre yake aliyepata kushika nafasi kubwa SADC. Au ndiyo ukiwa mtawala Tanzania sharti akili uzi download na kuzihifadhi kisha ukiwa nje mfumo ndiyo ufanye kuzi upload tena?
 
Sawa. Ila ulipaswa kuja na taarifa kamili katika maelezo yako. Bando gharama mkuu kwa akina sisi wa mikopo chechefu.
Eti mikopo chechefu 😃😃😃😃

Mwambieni mleta thread awawekee clip yote au awadadavulie kuliko hiko kipande cha waziri kusema asante kwa mahojiano kisha akakata simu..

Kwa ufupi huyo mwandishi alimhoji kwa zaidi ya dakika saba na akawa anafanya repetition za kitoto kiasi cha waziri kuchoka au pengine alikua busy sana lakini jamaa kawaletea hizo sekunde 44 halafu anaconclude!
 
Dah, kumbe!
 
Can we go further from this point in English Darling,

This is just to let you know, your irresponsible Minister just treat the interviewer with disrespect, and this should be condemned by anyone who wishes better for Tanzania internationally.

Cut the interviewer on air without respect and just leave, it was not at all personal, a national level issue kandombo.

And as a matter of fact, never in the history of our country at any point in time we have ever had a minister with such kind of attitude representing us as a chief diplomat.

In short your mom fumbled.
By the way she is not a diplomat by profession.

So, she still has a room to improve.
 
Umesikiliza mahojiano yote? Usiwe kama wehu wengine mnadakia analysis kwa kusoma heading tu...

Amemdharau wapi? Nimekuuliza waziri kakosea wapi unashindwa jibu unaleta utoto tu hapa.

Why calling darling? Unanijua?
Kulikuwa na haja ya ku cut short interview na international media unnecessarily?

Ni kitu gani hakina majibu...
 
Eti mikopo chechefu 😃😃😃😃

Mwambieni mleta thread awawekee clip yote au awadadavulie kuliko hiko kipande cha waziri kusema asante kwa mahojiano kisha akakata simu..

Kwa ufupi huyo mwandishi alimhoji kwa zaidi ya dakika saba na akawa anafanya repetition za kitoto kiasi cha waziri kuchoka au pengine alikua busy sana lakini jamaa kawaletea hizo sekunde 44 halafu anaconclude!
Huyo Razia ni mhindi aliezaliwa Uganda kisha wakahamia huko ughaibuni.

Hawa huwa wakimwona mtu kutoka Afrika Mashariki huwa waanza ile mizaha ile.

Wajiona wao wametuzidi kwa kila kitu hali wao nao walizaliwa Afrika lakini wametoboa.
 
Back
Top Bottom