Mambo ya dunia kwa sasa yatakuwa magumu zaidi kwa bara la Afrika kwani tuna rasilimali nyingi na mataifa makubwa yanazotaka.
Mfano ni Tesla na manufacturers wote wa bidhaa zote barani Ulaya na huko Marekani macho yao yapo Afrika na Russia.
Haya ndo maeneo yenye malighafi zinohitajika na hawa jamaa.
Silaha, mitambo, vifaa vya teknolojia, vifaa vya mahospitalini, PCs kila kitu huko ughaibuni kitategemea malighafi kutoka Afrika au Russia.
Hapo ndipo new scramble and new arms race inapolalia.
Kisha kuna wateja wapya nchi za BRICS na China, India zote zina njaa na malighafi hivyo waafrika tujiandae.