Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

Hivi umeisikiliza audio yote? Hayo yote amejibu.

 
Hawa MSM huwa na narrative zao walizozianda, hakuna cha kutengeneza mahusiano wala nini. Hata anapotengeneza urafiki na wewe huwa ni kwaajili ya kutengeneza rapport ili ujiachie halafu wakulime vizuri.
Ndo mambo yalivyo hayo kwenye diplomasia kushindana narrative zenu.

Mwenye hoja nzito mara nyingi hushinda.

Mbona Uganda wamefanya ingawa bado yule kijana ndie threat maana yeye ndie aandaliwa kumchallenge mzee Kaguta.
 
Ndo mambo yalivyo hayo kwenye diplomasia kushindana narrative zenu.

Mwenye hoja nzito mara nyingi hushinda.

Mbona Uganda wamefanya ingawa bado yule kijana ndie threat maana yeye ndie aandaliwa kumchallenge mzee Kaguta.
Nafikiri unaelewa uongozi unaanzia juu, huyu Rais wetu huwa hana kauli, hivyo wa chini yake wanashindwa kutia kibesi. ingekuwa kipindi cha kile, huyu Tax angekoroma kama yule mama wa South alivyokoroma.
 
Nimesikiliza sijasikia straight answer. Wewe ni wapi kajibu Tanzania inakataa ushoga? nionyeshe dak ya ngap. .
Amejibu kuhusu human rights (LGBT) kuanzia dakika ya 5:39
 
China imewekeza zaidi nchini kuliko US
Nchi zisizo fungamana na upande wowote eti wako upande wa Russia 😃 na mengine mengi ya kipuuzi ya kutaka tu kuikweza US
Tax amejibu vizuri kabisa mwandishi wa habari ni bogus abaki na m#%@v! yake huko alipo
 
Nimekaa MFA for several years kabla ya kwenda viwanja na huyo mama ni mbobevu mzuri tu. Kumtendea haki nakushauri isikilize ile clip ya dakika 7 kabla ya kufanya conclusions.
Weka link ya hiyo video ya dakika 7 mkuu
 
Je kam anaitwa darling na mwanaume mwenzake😀
Au unataka kutetea haki anazozungumzia mwandishi mwenzako ndugu mwanasheria?
Mwanaume rijali hawezi ita mtu darling au bebi!, hizo ni gia za wadada na ukijibu tuu, huchelewi kupigwa mzinga!.
P
 
Nafikiri unaelewa uongozi unaanzia juu, huyu Rais wetu hana huwa kauli, hivyo wa chini yake wanashindwa kutia kibesi. ingekuwa kipindi cha kile, huyu Tax angekoroma kama yule mama wa South alivyokoroma.
Mama wa South Afrika amekoroma na yule bwana Blinken akaufyata.

Ndivyo inavyotakiwa lazima ukiisemea nchi uwe tayari kwa kila aina ya lugha na narrative.

Kwa sababu narrative huko nje kwa sisi waafrika haijawahi kuwa nzuri hata kidogo.
 
Mama wa South Afrika amekoroma na yule bwana Blinken akaufyata.

Ndivyo inavyotakiwa lazima ukiisemea nchi uwe tayari kwa kila aina ya lugha na narrative.

Kwa sababu narrative huko nje kwa sisi waafrika haijawahi kuwa nzuri hata kidogo.
Najua unaelewa vizuri jinsi mambo ya dunia yalivyo, BTW huwa na kusoma kule kwenye mada ya vita, ila mimi si mchangiaji.
 
Najua unaelewa vizuri jinsi mambo ya dunia yalivyo, BTW huwa na kusoma kule kwenye mada ya vita, ila simchangiaji.
Mambo ya dunia kwa sasa yatakuwa magumu zaidi kwa bara la Afrika kwani tuna rasilimali nyingi na mataifa makubwa yanazotaka.

Mfano ni Tesla na manufacturers wote wa bidhaa zote barani Ulaya na huko Marekani macho yao yapo Afrika na Russia.

Haya ndo maeneo yenye malighafi zinohitajika na hawa jamaa.

Silaha, mitambo, vifaa vya teknolojia, vifaa vya mahospitalini, PCs kila kitu huko ughaibuni kitategemea malighafi kutoka Afrika au Russia.

Hapo ndipo new scramble and new arms race inapolalia.


Kisha kuna wateja wapya nchi za BRICS na China, India zote zina njaa na malighafi hivyo waafrika tujiandae.
 
Comment yako imetusaidia sisi wa kidomu na fagio Kwa kweli ubarikiwe
 
Sidhani hali ya kunyonywa na mataifa ya ulaya itakuwa kama kipindi kile. Kwa sasa nchi za Afrika zimeanza kupata maendeleo (wasomi wengi na miundombinu imeongezeka), watu wanaanza kujua thamani ya mali walizonazo. Na pia nchi za kufanya nazo biashara zimekuwa nyingi, hivyo bagaining power umeongezeka.
 
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:

View attachment 2571442

Ama kwa hakika shughuli ipo.

Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.

Ya CAG nani hajayasikia?
Hawa waandishi wako very tactic, alikuwa anampeleka kwenye kona ya Ushoga huyu mama akashtuka na hapo ndio utajua uwezo wa kiongozi, unajua hata kama huutaki ushoga kuna lugha za kuongea na hawa watu, mkuu huwezi ongea hizi lugha za mtaani ukiwa na hawa watu au vyombo vyao vya habari utajuta.. Nyerere alisema namnukuu wakubwa hawa hatutwawezi wakikaa kupanga mambo yao wanapanga naya kwetu, wadhani Raisi mama samia akiwa na huyu makamu wa raisi atathubutu kumwabia hatutaki ushoga no! kuna lugha za kidiplomasia, utaharibu...
 
Aisee you are so innocent😀 hapa jukwaani wanaoomba hela na za kutolea kwa asilimia kubwa ni wanaume😀
Duh...!. Basi vitakuwa ni vi benten!. Mwanaume kamili huwezi kupiga mzinga kwa gia ya darling or bebi!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…