kuna watu Bishanga ukiwa mmoja wao
wameitia majungu love yangu kwa Mr Rocky
please Mr Rocky usiondoke kama upepo wa kisulisuli,
come back Mr Rocky
Mimi bado nakupenda jamani.
Mamndenyi si tulikubaliana iwe siri?
Mwanamke gani wewe unakatika hadi navunjika?
Sasa siri yetu umekuja kuimwaga huku unadhani ni tabia njema kuwaumiza wenzako na kipaji chako cha kufanyia mapenzi?
Atakuweza wapi sakapoko Judgement wakati wewe umezoea breakfast southern sun lunch serena dinner rodizio mikocheni kwenye minyama ya brazil.
Btw Judgement bado anafanya kazi ya ukuli?
Mamndenyi si tulikubaliana iwe siri?
Mwanamke gani wewe unakatika hadi navunjika?
Sasa siri yetu umekuja kuimwaga huku unadhani ni tabia njema kuwaumiza wenzako na kipaji chako cha kufanyia mapenzi?