sosoliso umedata wewe,unamtakia nini mke wangu The secretary?
Mh Bishanga.. mie na wewe.. ciwezi katu kumtaka shem wangu kwako.. sema nilikuwa ninawapasha hao wajue wewe sio mwanaume wa ufundi tu.. Bali unashuka vizuri tu.. Juzi nimemuona shem The secretary anaendesha Harrier.. nikakumbuka ule msemo "behind every woman who drives a Harrier.. there must be a disgruntled man with a deep hole in his bank a/c"..
Mamndenyi si tulikubaliana iwe siri?
Mwanamke gani wewe unakatika hadi navunjika?
Sasa siri yetu umekuja kuimwaga huku unadhani ni tabia njema kuwaumiza wenzako na kipaji chako cha kufanyia mapenzi?
Wala siyo wa kutafuta niko hapahapa Paloma, niite nami nitaitika na kukuonesha hayo yote na ziada.
We Erickb52 sema kila kitu ila jua utaishia kunawa.
Kopi: Amyner.......bwanako atamfanzia kitu mbaya we subir
Kopi: mrs The secretary bishanga abashaija
halafu atakaenionea Bishanga amwambie namtafuta. wazima wote humu ndani?
Usiku wa manane ulikuwa unatafuta nini ku internet,
Btw karibu protea st peters mi na maiwaif The secretary tunapata staftah