Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mjinga yule. Itakuwa aliogopa kuharibu biashara yake ya musics.
Diamond hawezi kuwa mjinga hata siku moja sifa ya mwanaume lijali ni kuwatumia wanawake wapenda vya mtelezo mtoto ni wa diamond hamisa arud tena kutafuta mwanaume alie singo apige mzigo azae tena maisha yake yaendelee unamuita mjinga wakat anakula papuchi!!!! Hata mm sikuachi ukijileta piga sepa
 
Hahahahaha
Domo kasema hamisa usifate maneno ya watu watakuharibia hehehe uwiii hamisa sikiliza anaekupa rav 4 sio kina mange shauliro
Hata wakitoa bomu gani halina effect tena
Swali ni after this what next hamisa?
 
Amenichekesha sana dimond eti siachani na zari hata iweje ikitokea zari ameniacha ntavua buti nitembee hadi SA huku nasema baby nisamehe baby nisamehe hahahhahahahahhaha
Tena atatembea kwa magoti...nadhan alisharekebisha na mke wake kama anavyosema kuwa walishaongea..
 
Kutumia Surname ya mama huku babako mzazi yupo huo nao ni ujinga tu! Bora ushindie mihogo huku ukimjua babako na kupeperusha jina lake kama yeye Mond alivyomjua babake na mpaka hii Leo ameweza kuwakana wengine ili tu amfurahishe mtu mmoja !
Kwa akili hizi ndio maana tuna watoto wa mitaani wengi! Mwanamke mwenye akili anafikiria future ya watoto wake no matter what na hapa ndipo Zari anapowafunika dada zangu wa kibongo!
 
Nimeshawambia Kuwa Baada ya Interview hioi tayari Dimond atapigwa Vchini na kama hataapigwa chini atakuwa amepoteza credibility za kuwa kwenye mahusiano ya upendoi kama awali..

Yaani huu ni mtegoa mkubwa kwa Dimona na Zari kaucheza vizuri.. Sasas hivi Zari kuja Bongo tena itakuwa kwa masharti.. Amemuambia kuwa a google ajue maana ya neno Deformation
 
Hehehehe na hili ndo lilikuwa tegemeo la wengi ila Domo amewapiga bao la kisigino ...huko walipo hawaamini masikio yao..Namsubilia mange na post yake itakayokuja sijui atazuga nini
Atasema alichokitaka kimetokea amekubali mtoto
 
Duh I feel so sorry for Zari jamani... Duh
ile nimependa hiyo snapchat alivyosema ana respect ndio maana she is silent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…