Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Nampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.

Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.

Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
 
Hehehehe na hili ndo lilikuwa tegemeo la wengi ila Domo amewapiga bao la kisigino ...huko walipo hawaamini masikio yao..Namsubilia mange na post yake itakayokuja sijui atazuga nini

Haya andaeni matarumbeta mkamsaidie Diamond mgomba msamaha kwa Zari maana Zari kasema ni uongo mtupu huko snapchat
 
kila mtu na maisha yake ndugu, hatufanani. kwa heshima uliyonayo humu jf wala hukuwa na sababu ya kuandika thread hii. tusubirie mambo mazito tujadili
 
Hivi Diamond atakua ni mwanaume wa kwanza kua na bad publicity? Acha kuongea ujinga wewe marasi tu watoto wao wa michepuko wanajulikana sembuse wa Diamond? Haya sasa kakubali ngoja tuone akishindwa kufanya show au kukubalika na mashabiki
 
Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu
 
MAB
 
Duuuh!! mkuu sijui umeamkia wapi na kuanza kupost tuu
 
We ndo unaamka nini!??

Diamond hakukataa mimba wala mtoto..na amehudumiaa...

We vipi!??
 
Majibu ya zari kwa Diamond aliyouwasilisha kwa kutumia mtandao wa kijamii Snapchat.....
 
Attachments

  • IMG_4986.PNG
    193.8 KB · Views: 31
  • IMG_4987.PNG
    197.5 KB · Views: 29
Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu

Akili nyingi kutambua haki ya mtoto kumtambua na kubainisha mzazi wake. Asipotoa matumizi atapelekwa ustawi wa jamii atoe matumizi kwa % aone kama hajatoa kubwa zaidi ya hiyo.

Kulea ni zaidi ya hela baba ajulikane hata Hamisa akifa mtoto akimbilie kwa babe. Siri ni kama wasingezaa wamezaa mtoto sio siri.
*nasisitiza mimi siyawezi* wanaoweza wakomae.
 
Hivi Diamond atakua ni mwanaume wa kwanza kua na bad publicity? Acha kuongea ujinga wewe marasi tu watoto wao wa michepuko wanajulikana sembuse wa Diamond? Haya sasa kakubali ngoja tuone akishindwa kufanya show au kukubalika na mashabiki
Ujinga tena? Publicity kwa msanii au mwanamuziki ni mtaji! Hao watoto wa marais na mawaziri umeona mama zao wanashindana na main chick au wanavujisha info sensitive kama za mama mkwe kuja kuona mtoto! U agombanisha mkwe na main chick na unadhani upo sawa! Akili zako ni kama za Mobeto hakujifunza kwa Majizo!
 
Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu
Hata dagaa watakula mtoto atakua,kwani Ye Diamond kwa bi Sandra alikua kwa kula Sandwich? Si hayo hayo mamboga ya majani na Leo hii kawa Star anayeijua vyema historia yake na jamii inayomzunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…