Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Nampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.
Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.
Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.