Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Akili nyingi kutambua haki ya mtoto kumtambua na kubainisha mzazi wake. Asipotoa matumizi atapelekwa ustawi wa jamii atoe matumizi kwa % aone kama hajatoa kubwa zaidi ya hiyo.
Kulea ni zaidi ya hela baba ajulikane hata Hamisa akifa mtoto akimbilie kwa babe. Siri ni kama wasingezaa wamezaa mtoto sio siri.
*nasisitiza mimi siyawezi* wanaoweza wakomae.
We ndo unaamka nini!??
Diamond hakukataa mimba wala mtoto..na amehudumiaa...
We vipi!??
Ni ujinga mtupu kutaka Zari na mondi waachane Mimi nlikua nataka mtoto apate public recognition only thatHehehehe na hili ndo lilikuwa tegemeo la wengi ila Domo amewapiga bao la kisigino ...huko walipo hawaamini masikio yao..Namsubilia mange na post yake itakayokuja sijui atazuga nini
baby tafuta pesa kwanza ntakusimulia baadayeHapa kuna nini mbona songombingo
We ndo unaamka nini!??
Diamond hakukataa mimba wala mtoto..na amehudumiaa...
We vipi!??
Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huuKabisa, na huyu dawa yake ampeleke mtoto kwa zari akose hata hela anayopata now
Kamanda hajui kwamba hiyo ni biashara na ukute Mondi kavuta hela...unadhani Clouds wanatoa airtime ya radio pamoja na tv bure bure tu?
..hata wewe baada ya leo utafuatilia tu,
.na hiyo ndo target!
Tupe ubuyu mkuu wa huko snapJamani zari nae kaanza drama snap chat looh
Hahaa naona hata mie zari kamkana jamaaHaya andaeni matarumbeta mkamsaidie Diamond mgomba msamaha kwa Zari maana Zari kasema ni uongo mtupu huko snapchat
Majibu ya zari kwa Diamond aliyouwasilisha kwa kutumia mtandao wa kijamii Snapchat.....
Kama alikubaliana toka day one kwamba uhusiano wao ni wa siri hadi anabeba mimba anakuja anavunja makubaliano! Toka anabeba mimba alijua mtoto wao atakua wa kujificha, ana bahati huo mkataba ulikua wa mdomo! Huko walioendelea ni vitu vya kawaida! Watoto wa Ronaldo hawajulikani mama zao na hawaendi Insta ili wamuumize demu wa Ronaldo kwamba sisi ndio mama wa hao watoto same to MJ na watoto wake mama yao alijulikana baadae bila mbinde hizi! Mobeto ndio angemzalia Ronaldo asingekaa kimyaNampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.
Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.
Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
Eti akili zangu ni kama za mobeto hahaha yaani Mimi ningekua na ujasiri ule wa Mobeto nadhani lingenitokea ingelikua funzo kwa wanaume wapuuzi wanaokubali ndani na kukataa nje ,kwanini mkose misimamo? Diamond sio mwanaume wa kwanza maarufu mwanamziki kuzaa nje ya mahusiano yake (tena sio ndoa) hivyo hakupaswa kuwabagua watoto kua hawa wa kujulikana nje na huyu ni wa kujulikana ndani hapo alikosea sana,ni bora angekaa kimya tangu sakata lilipoanzaUjinga tena? Publicity kwa msanii au mwanamuziki ni mtaji! Hao watoto wa marais na mawaziri umeona mama zao wanashindana na main chick au wanavujisha info sensitive kama za mama mkwe kuja kuona mtoto! U agombanisha mkwe na main chick na unadhani upo sawa! Akili zako ni kama za Mobeto hakujifunza kwa Majizo!
Ngoja niskrin shotTupe ubuyu mkuu wa huko snap
Aliamua Kuyafanya Haya Ila Ujinga Wa yule Mwanamke Mwenzetu Ndo Umefikia APA..DIAMOND NI MJINGA SANA. HAKUTAKIWA KUKUBALI HADHARANI HATA KAMA MTOTO NI WAKE. ANGEMTAFUTA TU HAMISA KWA SIRI WANGEYAZUNGUMZA UPYA, WAKAELEWANA. HAYA ALIYOZUNGUMZA REDIONI ANGEYABORESHA NA KUZUNGUMZA NA HAMISA.
AKUMBUKUE KUWA, ZARI INGAWA ALIKUWA ANA WASIWAS KUWA MTOTO NI WA MONDI LAKIN HAKUWA NA UHAKIKA, KUMTHIBITISHIA NI DHARAU, KUMDHALILISHA NA KUMFANYA ASIKUAMINI KABISA.
ILA SIMLAUMU MONDI, ELIMU NDOGO KULIKO ZARI.
DIAMOND, MWANAUME KOROMEO (KUVUMILIA)
Hapo umeongea ukweli siku baba anadanja mtoto anakosa hata mirasi maana si alikua mtoto wa siri halafu wanataka kutudanganya eti bahati mbaya mara shetani lakini ukisikiliza huo mpango wote walipanga huyo demu abebe mimbaNampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.
Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.
Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
Sasa hapa kajiharibia officially.... kaishia kupewa child support ya serikali..... kamalaya tatizo na hajui kutumia umaarufu wake kwa faida. Kakosa yote sasa wanaompa kichwa wakampe sasa hizo laki 5 za kila wiki.... Insta inampa kichwa as if ndo inalea mtoto.Duh juzi mpoky kasema si unajua look hanaga break ya mdomo, kumbe majay analalamikaa, siku ya bday hamisa alitaka wakumbushie hehhe ila Lulu anabana kila kona, yani hamisa kula yake ni kupitia wanae lol