Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Akili nyingi kutambua haki ya mtoto kumtambua na kubainisha mzazi wake. Asipotoa matumizi atapelekwa ustawi wa jamii atoe matumizi kwa % aone kama hajatoa kubwa zaidi ya hiyo.
Kulea ni zaidi ya hela baba ajulikane hata Hamisa akifa mtoto akimbilie kwa babe. Siri ni kama wasingezaa wamezaa mtoto sio siri.
*nasisitiza mimi siyawezi* wanaoweza wakomae.
Mbona Diamond kaweka wazi kabisa kuwa anaendaga kumuona mtoto wake na mpaka mzazi anamjua?