Kiba ana watoto wa 3 na kila mtoto na mama yake, sasa cha ajabu nini kwa Mondi kua na watoto wa 3 na mmoja mama tofauti? Usitetee ujingaMbona Diamond kaweka wazi kabisa kuwa anaendaga kumuona mtoto wake na mpaka mzazi anamjua?
kimenukaa!!!
mbona alitunga hadi verse eti anasikia yeye anaitwa Baba dully wakati yeye ni Baba nillan tu. hata mimi ningekuwa Mama wa mtoto ingeniuma......maana mtoto Atakua na atakuja kusikia hiyo nyimboWe ndo unaamka nini!??
Diamond hakukataa mimba wala mtoto..na amehudumiaa...
We vipi!??
Mobeto toka siku aliyokubali kufanya uhusiano wa siri na Domo huku akiuona uhusiano wa Zari na Mondi ulivyo! angekua na hata akili za kuvukia zebra asingebeba mimba! Mwanamke smart angejua future ya uhusiano wa baba na mtoto utakuajeEti akili zangu ni kama za mobeto hahaha yaani Mimi ningekua na ujasiri ule wa Mobeto nadhani lingenitokea ingelikua funzo kwa wanaume wapuuzi wanaokubali ndani na kukataa nje ,kwanini mkose misimamo? Diamond sio mwanaume wa kwanza maarufu mwanamziki kuzaa nje ya mahusiano yake (tena sio ndoa) hivyo hakupaswa kuwabagua watoto kua hawa wa kujulikana nje na huyu ni wa kujulikana ndani hapo alikosea sana,ni bora angekaa kimya tangu sakata lilipoanza
Angekataliwa ingekuwa shida ila kama jamaa alikubali kila kitu mpaka kuhudumia nini shida..Kilichomponza Hamisa ni cheap popularity!!!Nampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.
Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.
Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
Ni mwanamke mjinga tuu atakaye kubali kumuaibisha baba wa watt wake kisa publicity. Hivi anadhan diamond akishuka kimziki nani atakaye pata hasara?Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
Ndo alichokitaka acha apewe tu hiyo laki 2Hahaa hawezi yaani mjinga hamisa cjapata kuona kapoteza 70 kwa siku sasa mtoto ataanza kupewa lak 2 kwa mwezi HV hamisa ana vidato vingapi jamani maani sio kwa ujinga huu
ye bado hana hata mke mmoja kiislamuHivi Waislam Si wanaruhusiwa kuwa na zaidi ya mke mmoja?
Tatizo lipo hapo kukubali uhusiano wa siri na mume wa mtu au mwanaume wa mtu alafu unategemea mtoto awe publicHapo umeongea ukweli siku baba anadanja mtoto anakosa hata mirasi maana si alikua mtoto wa siri halafu wanataka kutudanganya eti bahati mbaya mara shetani lakini ukisikiliza huo mpango wote walipanga huyo demu abebe mimba
Sifurahii uzinzi wa Mobeto uzinzi wa zari wala uzinzi wa Diamond lakini tulichotaka ni Diamond kuto kataa mtoto kama yeye alivyokataliwa na babake. Ni hivyo tuMobeto toka siku aliyokubali kufanya uhusiano wa siri na Domo huku akiuona uhusiano wa Zari na Mondi ulivyo! angekua na hata akili za kuvukia zebra asingebeba mimba! Mwanamke smart angejua future ya uhusiano wa baba na mtoto utakuaje
Majizzo achukue tu mwanae.... atakua malaya at last, hata sheria hapo itamruhusu akifight vyema[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aisee wanaume nyie shkamooo, domo kaua leo yani waliokuwa wanamuattack zari sijui wanakuja na lipi jipya
Ni mambo ya Williamson mine Mwadui huko, mara wamekamata kifurushi Airport, mara wamefunga mgodi, mara wamefungua ...yaani ni vululuvululu hata mimi sifuatilii.Diamond ndio nani?
Tutakesha! Diamond hajakataa mtoto tatizo ni utoto wa Hamisa kuwasikiliza magwiji wa InstaSifurahii uzinzi wa Mobeto uzinzi wa zari wala uzinzi wa Diamond lakini tulichotaka ni Diamond kuto kataa mtoto kama yeye alivyokataliwa na babake. Ni hivyo tu
Hawawezi achana na hamisa nakuambiaaSasa Hamisa atabaki na nani? Kote kaharibu.