Hawa wanawake balaa, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media?Recognition kwani lazma iwe kwenye media,kama alikuwa anamtunza na kumgharamia inamaanisha alishamtambua na kumkubali kama wa kwake sasa ulitaka abebe bango wakati tayari yuko kwenye mahusiano na mtu mwengine?,mi haya mambo ya baby mama dramas sio mjuvi sana ngoja niwaache wajuzi.
Hamisa ni mpumbavu sana, na nina hakika huo ni ushauri wa mashoga zake. Nachukia janamke lenye akili za kushikiwa tabu tupu
Sio kwamba mtoto angekuwa wa siri forever no na sio kwamba mtoto asingemjua babaake hapana halafu swali je kuna faida gani kuwafurahisha walimwengu kwamba umezaa na mtu Fulani?? Watakupa matunzo?? Baba kakubali mtoto , japo ni siri lkn kakubali hii ni kwasababu hataki kuharibu uhusiano wake na mke wake tatizo sisi wanawake walio wengi hatutaki kukubali kwamba hatupendwi hilo ndo tatizo mwanaume kulala na ww, mpaka mimba mpaka kukubali mtoto doesn't mean kwamba anakupenda na kukubali mtoto kwa siri hii ni ishara kwamba hupendwi inabidi ukubali as long as unapata mahitaji yote ya mtoto..Hata mim yaan mtoto wangu afanywe wa siri hapana,,nampongeza Hamisa
Very smart woman, hana mambo ya kitoto kabisa, thus y i feel that kuna haja ya kuwa na mahusiano na wanawake waliokomaa kiakiliZari ni smart kichwan nadhani umri unachangia usifananishe na hao
Kupokea laki tano kwa wki.....yani kulala na mwanaume/mpenzi wa mtu ni ujinga...kulala nae na kukubali kufanywa dry ni uzwazwa doh..
Hawa wanawake vichwa maji sana, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media? Very stupid
Mie pia nimeshangaa baba hawi baba hadi akutambulishe insta au claudsSikh hizi tunatambulisha baba za watoto istagram ?
Na ndilo Diamond alitakiwa afanye kukubali au kukaa kimya badala ya yeye na mzazi mwenzie Zari kumshambulia Hamisa mitandaoni suala la kumtunza mtoto sio hisani asipofanya hivyo kwa hiali basi sheria itamlazimishaJe diamond angemkana leo asingekua mtoto wake?
Mwanaume ameikubali mimba,ameilea na anamuhudumia mtoto shida iko wapi?familia ya dai inajua hakuna aliyekataa mtoto ila hamisa alikua anataka umaarufu aonekane na dunia nzima kua kazaa na daimond
Kakutana na mtaalam usikute kamtegeshea makusudi
Hili ni funzo kwangu
hamisa hawez kuelewa mkuu tatizo la wanawake walio wengi wanataka kuwa no 1 bila kujiuliza kwa je huyo MTU wake amekufanya wewe no moja?Sio siri ni kuheshimiana tu, ni agreement tu...Mi sitakuoa ila ntakutunza na mtoto nipo katikati ya mahusiano na Mke wangu, sasa ukishavuruga serious relationshipa na credibility yangu unapata faida gani na wala sitakuoa.
Na pia sitakupenda tena na huduma ntakatisha, who will be doomed?
Eti mpaka amkubali instagram na clauds ndo anakua baba,kumuhudumia na kukubali wakiwa wenyewe ni mbwembwe tuKupokea laki tano kwa wki.....
Million 7 kwa jili ya delivery...
Brand nyuu car....
.....na kufanya upumbavu alioufanya....
NI KIELELEZO CHA MWANAMKE PUNGUANI ASI NA MFANO...
Alimuita hivo baada ya hamisa kuanzisha kutimtim insta kwan angekaa kimya angetukanwa SAA ngap hamisa ndo zile type za wanawake akitembea na MTU fulan anaenda jitangaziaUtoto upi huo nyie kila siku ndo mliokua mnaongoza kumtukana kuna kumita malay.a anayetafuta kiki kupitia Diamond mnafikiri anamoyo wa Chuma? Pesa haina thamani mbele ya Utu.Eti unapokea 500,000 kwa wiki wakati mbele za watu anakuita Malaya unaitafuta kiki hili halivumiliki hata kidogo.
Kupokea laki tano kwa wki.....
Million 7 kwa jili ya delivery...
Brand nyuu car....
.....na kufanya upumbavu alioufanya....
NI KIELELEZO CHA MWANAMKE PUNGUANI ASI NA MFANO...
Sio kwamba nyie mnaotaka hamisa angekaa kimya kisa 70 ndo mnanjaa????Sawa ila hatokuwa na njaa itakayozidi kujiharibia fame na reputation yake
Hivi uyo Hamisa nae kwanini alikubali mpaka kupata mimba wakati anajua kuwa mwenzake yupo kwenye uhusiano...msitulaumu tu wanaume kuwa ni malayaNdio mianaume ya kibongo ni malaya mnooo mpaka inachefua
Shida hapa ni kupeleka maisha binafsi mtandaoni. Kwani Jackline mengi anafanyaje maisha kimpango wake. Mnasikia chochote toka kwake. Mwanamke akikosa akili ujue familia nzima itavurugika tu it all starts from a womanHata Mimi hapa najiuliza! Kwa hiyo alitaka Hamisa aendelee kutukanwa ili yeye apone!? Sijawahi ona mwanaume mjinga kama huyu kwa kweli haya ngoja tungojee na kwa Dilish Mathew. Kweli kuna umuhimu mkubwa sana kwa Mtoto wa kiume kulelewa na Baba maana Diamond angelelewa na babake asingeshikiwa akili na mwanamke hata siku moja
Mtu ana mahusiano yake yanajulikana alafu unakubali na wewe kumvulia nguo na mimba unamtegeshea halafu uwe namba mojaMjinga kama hamisa hawez kuelewa mkuu tatizo la wanawake walio wengi wanataka kuwa no 1 bila kujiuliza kwa je huyo MTU wake amekufanya wewe no moja?
Hatar tunaandaa mazingira ya kutesa watotoMie pia nimeshangaa baba hawi baba hadi akutambulishe insta au clauds