Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hawa wanawake balaa, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media?Recognition kwani lazma iwe kwenye media,kama alikuwa anamtunza na kumgharamia inamaanisha alishamtambua na kumkubali kama wa kwake sasa ulitaka abebe bango wakati tayari yuko kwenye mahusiano na mtu mwengine?,mi haya mambo ya baby mama dramas sio mjuvi sana ngoja niwaache wajuzi.