Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Recognition kwani lazma iwe kwenye media,kama alikuwa anamtunza na kumgharamia inamaanisha alishamtambua na kumkubali kama wa kwake sasa ulitaka abebe bango wakati tayari yuko kwenye mahusiano na mtu mwengine?,mi haya mambo ya baby mama dramas sio mjuvi sana ngoja niwaache wajuzi.
Hawa wanawake balaa, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media?
 
Hili liwefunzo kwa wa majimama watuwazima, unamsaliti mumeo kwa kitoto kidogo kisa eti serengeti isijui ngorongoro. Imekua fasheni sasahivi kila Mahali bongo. Serengeti kala Kashiba sasa a narudi kwa maadogo wenzake, sasa Nini kinakuchanganya jimama?
 
Hata mim yaan mtoto wangu afanywe wa siri hapana,,nampongeza Hamisa
Sio kwamba mtoto angekuwa wa siri forever no na sio kwamba mtoto asingemjua babaake hapana halafu swali je kuna faida gani kuwafurahisha walimwengu kwamba umezaa na mtu Fulani?? Watakupa matunzo?? Baba kakubali mtoto , japo ni siri lkn kakubali hii ni kwasababu hataki kuharibu uhusiano wake na mke wake tatizo sisi wanawake walio wengi hatutaki kukubali kwamba hatupendwi hilo ndo tatizo mwanaume kulala na ww, mpaka mimba mpaka kukubali mtoto doesn't mean kwamba anakupenda na kukubali mtoto kwa siri hii ni ishara kwamba hupendwi inabidi ukubali as long as unapata mahitaji yote ya mtoto..
Sasa hamisa na upumbavu wake hakuangalia mbele kwamba hizo 70k kwa siku, 500k kwa wiki (as if ni kweli) zinaweza kumsaidia ye na mwanae instead of competing with zari ambaye kampita miles nyingi sana, sasa atakuwa anaambulia laki 2 kwa mwezi, poor hamisa
 
Hawa wanawake vichwa maji sana, mtu anataka upendo na recognition ya aina gani? Mtoto asimamie show toka mimba mpaka labour kisha una option ya kutoa wazo la biashara uwe funded. Ombi ni moja tu mambo yawe low profile kisha unang'ang'ania kupeleka stories kwenye media? Very stupid

Hapo Diamond alishanasa, Hamisa alikuwa na uwezo wa kumuomba chochote cha maana na angetoka kimaisha na kuacha kujiuza uza. Ningekuwa mie ndio Dai, ningemalizana na Zari wangu then nifanye utaratibu wa kumchukuwa mwanangu.
 
Je diamond angemkana leo asingekua mtoto wake?

Mwanaume ameikubali mimba,ameilea na anamuhudumia mtoto shida iko wapi?familia ya dai inajua hakuna aliyekataa mtoto ila hamisa alikua anataka umaarufu aonekane na dunia nzima kua kazaa na daimond
Na ndilo Diamond alitakiwa afanye kukubali au kukaa kimya badala ya yeye na mzazi mwenzie Zari kumshambulia Hamisa mitandaoni suala la kumtunza mtoto sio hisani asipofanya hivyo kwa hiali basi sheria itamlazimisha
 
Sio siri ni kuheshimiana tu, ni agreement tu...Mi sitakuoa ila ntakutunza na mtoto nipo katikati ya mahusiano na Mke wangu, sasa ukishavuruga serious relationshipa na credibility yangu unapata faida gani na wala sitakuoa.
Na pia sitakupenda tena na huduma ntakatisha, who will be doomed?
hamisa hawez kuelewa mkuu tatizo la wanawake walio wengi wanataka kuwa no 1 bila kujiuliza kwa je huyo MTU wake amekufanya wewe no moja?
 
Kupokea laki tano kwa wki.....

Million 7 kwa jili ya delivery...

Brand nyuu car....

.....na kufanya upumbavu alioufanya....

NI KIELELEZO CHA MWANAMKE PUNGUANI ASI NA MFANO...
Eti mpaka amkubali instagram na clauds ndo anakua baba,kumuhudumia na kukubali wakiwa wenyewe ni mbwembwe tu
 
Utoto upi huo nyie kila siku ndo mliokua mnaongoza kumtukana kuna kumita malay.a anayetafuta kiki kupitia Diamond mnafikiri anamoyo wa Chuma? Pesa haina thamani mbele ya Utu.Eti unapokea 500,000 kwa wiki wakati mbele za watu anakuita Malaya unaitafuta kiki hili halivumiliki hata kidogo.
Alimuita hivo baada ya hamisa kuanzisha kutimtim insta kwan angekaa kimya angetukanwa SAA ngap hamisa ndo zile type za wanawake akitembea na MTU fulan anaenda jitangazia
 
Kupokea laki tano kwa wki.....

Million 7 kwa jili ya delivery...

Brand nyuu car....

.....na kufanya upumbavu alioufanya....

NI KIELELEZO CHA MWANAMKE PUNGUANI ASI NA MFANO...

Tusi judge sana kwa kusikiliza stori upande mmoja ngoja Hamisa aitwe tubalance story tuone Nani mjinga kati Yao usikute ahadi zilikuwa hewa hazikutimilizwa je
Au aliahidiwa makubwa zaidi je tuliza munkari
 
Ndio mianaume ya kibongo ni malaya mnooo mpaka inachefua
Hivi uyo Hamisa nae kwanini alikubali mpaka kupata mimba wakati anajua kuwa mwenzake yupo kwenye uhusiano...msitulaumu tu wanaume kuwa ni malaya
 
Hata Mimi hapa najiuliza! Kwa hiyo alitaka Hamisa aendelee kutukanwa ili yeye apone!? Sijawahi ona mwanaume mjinga kama huyu kwa kweli haya ngoja tungojee na kwa Dilish Mathew. Kweli kuna umuhimu mkubwa sana kwa Mtoto wa kiume kulelewa na Baba maana Diamond angelelewa na babake asingeshikiwa akili na mwanamke hata siku moja
Shida hapa ni kupeleka maisha binafsi mtandaoni. Kwani Jackline mengi anafanyaje maisha kimpango wake. Mnasikia chochote toka kwake. Mwanamke akikosa akili ujue familia nzima itavurugika tu it all starts from a woman
 
Mjinga kama hamisa hawez kuelewa mkuu tatizo la wanawake walio wengi wanataka kuwa no 1 bila kujiuliza kwa je huyo MTU wake amekufanya wewe no moja?
Mtu ana mahusiano yake yanajulikana alafu unakubali na wewe kumvulia nguo na mimba unamtegeshea halafu uwe namba moja
 
Back
Top Bottom